Jafo toa tamko kwa watendaji wako wanaokataa kupokea fomu

saidi kindole

JF-Expert Member
Sep 21, 2012
310
792
Jafo waziri wa Tamisemi hizi kelele na video clips zinazozunguuka mitandaoni huoni au maagizo ya Bwana Mkubwa yanakupofusha? ukiiharibu nchi wewe ndio tutakaekubebesha uchafu wote
 
Jafo waziri wa Tamisemi hizi kelele na video clips zinazozunguuka mitandaoni huoni au maagizo ya Bwana Mkubwa yanakupofusha? ukiiharibu nchi wewe ndio tutakaekubebesha uchafu wote
Ni JIWE kamuagiza. Nikupe mashahara, gari, nyumba bure halafu umtangaze mpinzani kushinda.... goes all the way to the roots!
 
Hayo ni maagizo kutoka juu, Jafo akijitia kimbelembele kuongelea hili swala lazima atumbuliwe, atageuziwa kibao kuwa amekuwa dhaifu ndio maana zoezi limekuwa la hovyo, na mkuu anavyopenda kusifiwa wajinga watamsifia kumtumbua Jafo na watamuona kweli dhaifu, ndio yale ya unaniibia penseli halafu unanisaidia kuitafuta!.
 
Back
Top Bottom