tamko

  1. Jidu La Mabambasi

    Chawa Philosopy: Serikali Awamu ya 6 inaweza kutoa tamko la kupiga marufuku kuwashangilia au kuwaenzi wastaafu wenye utumishi uliotukuka!

    Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii. Sitaingia katika sababu za kufikia hapo. Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu wanajua viongozi wanao wapenda. Kwa kushangiliwa kwa upendo na bashasha kubwa Mpango, Makamu wa...
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums tegemeeni tamko kutoka kwa Makonda muda sio mrefu.

    Ni suala la muda tu , makonda anakuja kutoa tamko kuhusu jamiiforums. Tutegemee zaidi uhuru wa habari ukiminywa chini ya uongozi wake.
  3. stakehigh

    Tamko la Senator Mike Lee kwa Trump

    Republican Senator Mike Lee said the US has completed its military action in Venezuela after capturing its leader, Nicolas Maduro. “He anticipates no further action in Venezuela now that Maduro is in US custody,” Lee wrote on X after what he said was a telephone call with US Secretary of State...
  4. stakehigh

    Tamko la Cuba kwa Marekani baada ya kuvamia Venezuela na kumkamata Rais Maduro

    President Miguel Diaz-Canel issued a sharply worded condemnation on social media, accusing Washington of carrying out a “criminal attack” against Venezuela and calling for an urgent international response. In a post on X, Diaz-Canel said Cuba’s so-called “zone of peace” was being “brutally...
  5. stakehigh

    Tamko la IRAN kwa Marekani baada ya kuvamia Venezuela na kumkamata Rais Maduro

    In a statement posted on X, Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei wrote, “What’s important is when one realises an enemy wants to force something on one’s govt. or nation with false claims, they must stand firmly against that enemy.” “We won’t give in to them. With reliance on God & confidence...
  6. stakehigh

    Tamko la Indonesia kwa Marekani baada ya kuvamia Venezuela na kumkamata Rais Maduro

    Indonesia is monitoring developments in Venezuela to ensure the safety of its citizens, Foreign Ministry Spokesperson Yvonne Mewengkang said. “Indonesia also calls on all relevant parties to prioritize peaceful resolution through de-escalation and dialogue, while prioritizing the protection of...
  7. stakehigh

    Tamko la Ujerumani kwa Marekani baada ya kuvamia Venezuela na kumkamata Rais Maduro

    In a statement to AFP news agency, Germany’s foreign ministry said it is “monitoring the situation in Venezuela very closely and following the latest reports with great concern.” “The foreign ministry is in close contact with the embassy in Caracas,” Berlin said adding that the government’s...
  8. stakehigh

    Tamko la SPAIN kwa Marekani baada ya kuvamia Venezuela na kumkamata Rais Maduro

    ‍Madrid called for de-escalation, moderation and ⁠respect for international ‍law in Venezuela, the Spanish ‍⁠Ministry of Foreign Affairs said in a statement. It ‌also offered itself as a ‌negotiator ‌to help ⁠find a peaceful solution in ‌Venezuela.
  9. JamiiForums

    Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
  10. Cyclopedia

    CDF toa tamko bado mapema

    Hadi muda huu bwana Mkunda yupo kimya. Anasubiri ngoma itoe GG, (mambo yavurugike) ndo aje na matamko uchwara😉
  11. Richard

    Balozi za China, Saudi Arabia, Russia, Korea Kaskazini na UAE bado twangojea tamko lenu juu ya mauaji na madhila yanofanywa na serikali ya Tanzania.

    Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini. Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini. Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
  12. mirindimo

    PostGE2025 Masheikh mko wapi? Kuna tamko la nchi za Ulaya, inatakiwa mkawajibu

    Balozi 17 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa Pia soma > PostGE2025 - Balozi 17 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa
  13. DuaZaMama

    PostGE2025 Waziri Kombo: Tanzania hatutakufa kwa kukosa fedha za EU

    Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za binadamu ulioripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya...
  14. Chizi Maarifa

    TEC wanatoa Tamko moja. Wananyamaza. Sisi tunatoa mia moja hawajibu hata moja. Ni Dharau

    Inatia hasira. TEC wanadharau sana. Serikali iangalie jambo hili kwa ukaribu sana. Hawa TEC wakitoa tamko kisha wakaja jibiwa wala hawahangaiki kufafanua au kujibishana. Hiyo ni dharau na kiburi kuonesha wao hawajibishani na vilaza au wasiojielewa. Hili jambo linanikwaza. Serikali imejaribu...
  15. The Burning Spear

    Tamko moja tu la TEC, wametokeza Mashekh 100. Je, wakitoa la pili si mtakufa kabisa?

    GT Hao maaskofu wana msemo wao unasema " Don't argue with the fool"( Yaani usibishane na mjinga). inawezekana ikawa slogan fupi lakini ina ujumbe mzito sana. TEC wameshasema mara moja na hawajaja tena kusema lolote lakini BAR KWATA taasisi zote zime chomoza hadi za mchongo in short wanaongea...
  16. ngara23

    Sisi waislam wenye akili tunaunga mkono tamko la TEC

    Asalam Alyekum.. Naona wameibuka mashehe ubwabwa wanaotumiwa ili kujaribu kupinga dhuruma na mauaji ya Raia TEC walimtoa tamko la kisomi kabisa Hawa mashehe badala wawajibu wao wanapandikiza chuki Hivi hii Taasisi ya BAKWATA inayoshindwa kuweka mawakili kuwatetea mashehe wanaosota gerezani...
  17. M

    PostGE2025 Wahadhiri Dini ya Kiislam: Lissu aliposhambuliwa Dodoma, TEC hawakutoa tamko sababu rais alikuwa Mkatoliki; Ushahidi wa Tamko la TEC

    Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
  18. T

    Mivutano na kukosoana visisababishe utengano wa kidini. Tunahitajiana sote

    Umuofia kwenu wanabodi! Kutokana na uhuru wa kikatiba tulionao wa kutoa mani, siku za hivi karibuni kumekuwa na watu binafsi au makundi mbalimbali ya kijamii yanayojitokeza kusajili (register) hisia zao mbele ya umma - Jambo jema kabisa kwa jamii inayoheshimu na kustawisha fikra mbadala...
  19. JoJiPoJi

    PostGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) wametoa tamko yaliyotokea Oktoba 29, 2025

    Leo tarehe 15/11/2025, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kupitia Rais wake Askofu Wolfgang Pisa, limetoa tamko zito kufuatia matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29 na siku iliyofuata TEC imekemea vikali utekaji na mauaji ya raia yaliyijitokeza wakati wa...
  20. Doctor Mama Amon

    GE2025 Tamko la Tume ya Haki za Binadamu Kenya: Hakuna Uchaguzi Unaofanyika Tanzania Leo 29 Oktoba 2025

    Ndugu Raia wa Afrika Mashariki, Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote. Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...
Back
Top Bottom