tamisemi

  1. Ningepata nafasi ya kushauri TAMISEMI

    Nitoe ushauri kwa upande wa ajira hizi za ualimu na wataalamu wa afya Mpaka sasa kada ya ualimu nafasi ni 9800 na waombaji wa hiyo nafasi ni laki moja na elfu kumi na tisa (119000). Roughly ni kwamba nafasi moja inagombaniwa na watu 12, pia upande wa afya naona hali sio mbaya saana kama kwenye...
  2. Siku nne zaongezwa kuomba ajira TAMISEMI

  3. A

    TAMISEMI mfumo umeruhusu wasio walimu kuomba ajira

    Kwenu watendaji wa Tamisemi. Kuna vijana wengi wameomba ajira za ualimu ambao sio walimu na mfumo umewakubali kabsa bila shida Sasa kwa ushauri tu muanze na mchujo wa vyeti vya chuo kabla ya kitu kingine mtanishukulu badae
  4. Kigezo kipi hutumika kuajiri watumishi kupitia Tamisemi tofauti na connections?

    Kuna jamaa tuko naye home kashadharaulika sana mtaani yeye ni Clinical officer kamaliza 2017 ana miaka 30 na kaambatanisha barua ya kujitolea toka kwa Daktar mkuu wa wilaya kakitolea takriban miaka mi3 lakn safar hii ndo Dr mkuu wa wilaya akaamua kumpa barua sababu kasota sana pale hospital bila...
  5. TAMISEMI kama mmeshindwa kuandaa mifumo mizuri ya watu kuomba ajira ni bora mkarudisha zama za posta. Mfumo umekuwa usumbufu

    Wanabodi salaam! Serikali kupitia Tamisemi wametangaza ajira tar 20 mwezi huu kwa kada ya afya na elimu.Tunaishukuru serikali kwa hizi ajira kwani kimsingi hali ya ukosefu wa ajira imekuwa janga nchini. Tatizo lililopo ni mfumo(system) kwenye uombaji hizi ajira unamatatizo yanayopelekea watu...
  6. N

    Waombaji wa kazi za Kada ya Afya TAMISEMI, kuna tatizo kwenye mfumo wa maombi ya ajira

    Hili tatizo tangu mfumo ufunguliwe! Ni nani ameshafaulu hapa? Kwenye kuchagua mahala pa kufanyia kazi hapafunguki kabisa.
  7. S

    Mchunguzeni huyu kwanini anaharibu maisha ya watu. Rais ikikupendeza unaweza ukamhamisha hapo TAMISEMI

    Katika vitu ambavyo Katibu Mkuu wa TAMISEMI anakosea kulifanya suala la uhamisho wa wafanyakazi kwa matakwa yake amekuwa hatoi uhamisho majina ya wanaohama kwa wakati. Mfano sasa hivi kigezo cha mtumishi kuhama ni kwa kubadilishana lakini hata hivyo amekuwa akitoa majina ya uhamisho...
  8. B

    diploma in education (arts) kwenye mfumo wa ajira tamisemi

    kuna mtu amefanikiwa kuweka masomo ya kufundishia
  9. N

    TAMISEMI

    Kuna yoyote humu amefanikiwa ku apply nafasi za ualimu kupitia huu mfumo wao ? Kama yupo naomba anipe mbinu ni muda gani system inakua imetulia mana me kila nikijaribu naona mapichapicha tu
  10. Naomba ufafanuzi juu ya hili la ajira za afya Tamisemi

    Nilipata changamoto ya kukataliwa Registration namba yangu tangu juzi lakini nimejaribu leo ikanletea neno kua Registration number verification failed nilipo bonyeza option ya ok nikarugusiwa kuapload transcript pamoja na cheti na wakanijazia 100. Wasiwasi wangu ni neno Registration number...
  11. A

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni (1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
  12. A

    Changamoto ya system ya TAMISEMI juu ya chuo cha MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni (1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
  13. A

    Waziri wa Elimu na TAMISEMI kwa nini mnawatenga walimu wa Computer Studies?

    Ndugu wanna jamvi kuna changamoto inatokea kwa baadhi ya walimu kutokupewa vipaumbele kabsa. Kuna vijana wamehitimu udom 2015 wakiwa wamesoma computer studies na masomo ya sanaa ila wamebaguliwa kila ajira. Serikali inatoa kipaumbele kwa Chinese language unaacha computer studies? Je, mbona...
  14. Eti nyiee, Inakuaje matajiri wa JF wanaomba ajira za TAMISEMI?

    SCENARIO Eeh bwana eeh TAMISEMI wametangaza ajira kwa nafasi ya walimu na afya. Kuna jambo limenishangaza sanaa kwenye hizi ajira... FLACK BACK Ila humu ndani raia Zinaponda sanaa walimu. Humu ndani ni kuponda tu, mara walimu hawajielewi, mara walimu masikini na vitu kama hivyo. Hebu cheki...
  15. Tatizo la courses katika mfumo wa ajira za TAMISEMI

    Katika kufanya maomba ya kazi zilizotangazwa na TAMISEMI, waombaji wengi tumekutana na changamoto hii kubwa. (Hasa upande wa elimu, sijui upande wa afya kukoje) Katika kipengele cha kujaza taarifa za chuo, Baada ya ku-search chuo then unatakiwa kuselect course uliyosoma, lakini kwa bahati...
  16. Viambatanisho vya ajira Idara ya Elimu - TAMISEMI

    Jamani nipo kijijini maporini huku natumia opera mini. Naombeni mnijulishe ni vitu gani niviandae ambavyo vimeambatanishwa kwenye tangazo la ajira? Je,barua ya kujitolea nayo ni muhimu?
  17. Mfumo wa Tamisemi unabadilisha mwezi wa kuzaliwa wa muombaji

    Hii kitu ilijitokeza 2020, mfano mtu unaitwa John Mutalemwa Koku, umezaliwa, 7/9/1996, ukisave pale kwenye personal details. Jina linabadilika na kuwa John Mtalemwa (wameondoa U) Koku. Kwenye tarehe itasomeka 7/8/1996, what is this folks
  18. TAMISEMI, boresheni mfumo wa maombi ya ajira

    Habari wana jamvi Nasikitika kusema kwamba leo nimekesha usiku kucha for nothing, mfumo wa maombi ya ajira haufunguki na hata ukifnguka mzigo una load tu bila response yoyote. Jana nilijua labda pengine ni kwaajili ya watu wengi kuutumia mchana nikasema usiku nitakesha nimalize kila kitu...
  19. A

    TAMISEMI kwanini mnatangaza ajira kabla ya kuweka sawa mfumo wa kutuma maombi?

    Kuna vitu vinafikirisha na kuvunja moyo hivi 1. Inakuwaje mnaachia tangazo la kuomba ajira na mfumo wenu haujakaa sawa? 2. Je mnajua kuwa kuna watu wamesafiri kutoka vijijini kuna mjini kufanya maombi kwa kukopa tu nauli? 3. Kabla hamjaruhusu tangazo hamkufanya tathimin ya mfumo kabla? 4. IT...
  20. Tangazo la ajira la TAMISEMI lina mkanganyiko kwa watu wenye ulemavu

    Maombi ya nafasi za kazi kada ya Afya na Elimu yameanza kupokelewa na TAMISEMI lakini kuna mkanganyiko ambao nimeuona kwa watu wenye ulemavu. Kwa namna ya kuomba. 1. Japo maombi yanapashwa kupitia kiunga cha ajira.tamisemi.go.tz maombi kwa watu wenye ulemavu yametakiwa kutumwa kwa 'nakala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…