tamisemi

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira la TAMISEMI lina mkanganyiko kwa watu wenye ulemavu

    Maombi ya nafasi za kazi kada ya Afya na Elimu yameanza kupokelewa na TAMISEMI lakini kuna mkanganyiko ambao nimeuona kwa watu wenye ulemavu. Kwa namna ya kuomba. 1. Japo maombi yanapashwa kupitia kiunga cha ajira.tamisemi.go.tz maombi kwa watu wenye ulemavu yametakiwa kutumwa kwa 'nakala...
  2. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI haijapata Waziri

    Ndugu wana jamvi Mimi ni mdau wa elimu kwa mda mrefu ila ninasikitishwa na namna wizara hi inavyoendeshwa 1. Kuna upungufu was watumishi lukuki wewe unaomba 10000 hivi so mzaha huu 2. Unasoma bajeti iliyopita kwa makosa makubwa wewe hukuwa na rehearsal kabla? 3. Hospital hazina watumishi...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yafafanua taarifa ya kununua pikipiki 68 kwa Tsh milioni 789

    Wizara ya TAMISEMI imesahihisha taarifa yake iliyosomwa bungeni leo Aprili 14, 2022 na Waziri wa Wizara hiyo Innocent Bashungwa na kusema kwamba, Pikipiki za maafisa ustawi wa jamii zilizonunuliwa zilikuwa ni 268. Kupitia taarifa iliyotolewa leo Aprili 14, 2022, na Mkuu wa kitengo cha...
  4. Maze runner

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Sheria ya serikali za mtaa, the urban planning act 2007 zimepitwa na wakati

    Kumekuwa na claim nyingi juu ya kupandishwa hadhi kwa vijijj, mitaa, na halmashauri kadhaa kutokana na kutimiza vigezo vya kupanda kadhi vilivoekwa na Sheria na kanuni zetu. Suala hili limechangiwa na kupitwa na wakati kwa Sheria mbalimbali zinazoongoza sekta hiyo. Hivyo Kuna uhitaji was wizara...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    Kutokana na tangazo lilitolewa Jana bungeni kuhusu ajira mpya bira shaka wizara yako ndo mnufaika mkubwa hivyo yafuatayo yazingatiwe 1.wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019 hapa huwa mnatumia njia gani 2. Kwa...
  6. Martin Maranja Masese

    JamiiForums Tanzania Shirika la Masoko ya Kariakoo (SMK) chini ya Ofisi ya Rais, TAMISEMI kutofanyiwa ukaguzi na CAG ni mzaha

    Shirika la Masoko ya Kariakoo (Kariakoo Markets Corporation) lipo chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI. CAG katika taarifa ya ukaguzi 2020/2021 anasema eneo hilo ameshindwa kutoa maoni. Maana yake hakukagua. Je, ni kweli Rais hajui lolote kuhusu Ofisi yake kutofanyiwa ukaguzi na CAG? Shirika la...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Maslahi duni ya Walimu: Waziri wa Elimu na wa TAMISEMI wanafanya nini ofisini?

    Elimu inazidi kudharauliwa na walimu pia. Ile ni profffession Kama zilivyo nyingine. Unakuta mwalimu ana degree lakini hizi English medium analipwa laki mbili. Hivi kwe hii si kuandermine profffession? Kwa Nini waziri asishikilie Sheria kwamba Kuna minimum and maximum wage or salary. Kwenye...
  8. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha dharau ni kumuweka Bashungwa TAMISEMI na mchapakazi kama Jaffo mazingira

    Hizi ndio dharau walizofikia hawa watu kututawala. Wapo tayari kutoa wasimamizi imara ilimradi wasionakane. Bashungwa TAMISEMI ameonyesha umahiri gani mpaka sasa. Hawa jamaa wanatudharau sana,
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Waziri Bashungwa na Rais; Ajira za Tamisemi zimejaa Urasimu na viashiria vya rushwa

    Ajira za Serikali ya awamu ya sita chini ya TAMISEMi zimejaa urasimu wa kutisha, ninapowaambia hapa kuna watu wa kada za uwalimu na Afya wanaendelea kuripoti kwenye vituo vya kazi kimya kimya bila ajira kutangazwa kwa , huu ni ufisadi na mianya ya rushwa bora niongee tu ijulikane. Mimi nina...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi Bashungwa "anatosha" pale TAMISEMI? Pamoja na Rais kutoridhishwa na mambo ya Mkoa wa Mara, bado hajachukua hatua

    Ningekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum. Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI...
  11. F

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI na Wizara ya Elimu, michango mashuleni imerudi?

    Nimeona nilete hii hoja hapa jukwaani ili wahusika waweze kuipata na ikiwezekana kuitolea ufafanuzi. Huko mashuleni sasa hivi kuna Michango ya hapa na pale. Je, bila malipo imeisha?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa nafasi mbalimbali TAMISEMI

    Naamini kwa uwezo wa maanani mpo vyema na mnaaendelea vizuri na kulijenga taifa letu pendwa la Tanzania. Huko Tamisemi kwa Katibu mkuu huwa kuna nafasi za uteuzi anazifanyaga mfano wakuu wa idara n.k. Kwa upande wa idara yetu ya elimu huku kwenye halmashauri kuna nafasi kama afsa elimu taaluma...
  13. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Tamisemi ndani ya Bashungwa

    Aisee kama ni kipele kimempata mkunaji, Bachungwa najua kwa uweza wa Mwenyezi Mungu utaimudu, uko serious sana mzee hasa pale unapokabidhiwa jukumu na mkuu wako, ni mtu unayeongozeka mzee baba! Watanzania tumepata dume .....Ila wejamaa sijawahi kukuona unacheka! Mwenye kapicha Bashungwa akicheka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tamisemi kupewa Bashungwa , hii imekaaje?!

    hii wizara inaitaji MTU mzoefu na mfuatiliaji kwelikweli..kumpa ndugu Bashungwa ni kama kumtega kwa Bomu dizaini ya lile la Hiroshima na Nagasaki... MTU aliyekuwa wizara ya burudani umuweke Tamisemi.. anyway ngoja nijiandae kwenda kuuza supu ya makongoro muda umefika.!
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali: Wanaoficha Watoto kuanza Shule wachukuliwe hatua

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameagiza Mikoa kutosita kuwachukulia hatua Wazazi/Walezi ambao wanaficha Watoto walio na umri wa kuanza Shule Akizungumza leo Januari 06, 2022 amesema hadi kufikia Desemba 31, 2021 Wanafunzi 488,780 wa Darasa la Awali wameandikishwa katika Shule za Serikali, na...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais unahujumiwa na Ummy Mwalimu kupitia TAMISEMI. Sio mtenda haki

    Kupitia ukurasa wa ofisi ya Rais TAMISEMI,imeripotiwa kwamba waziri wa TAMISEMI amatoa maelekezo kwa katibu tawala mkoa wa Tabora kumshusha cheo mwalimu mkuu wa shule ya Makazi iliyopo wilaya ya Uyui mkoani Tabora. Ummy amedai kwamba mwalimu huyo ana hana maadili na sio muadilifu. Ninaviarifu...
  17. polokwane

    JamiiForums Tanzania Waziri TAMISEMI tunaharibu elimu siasa zisiharibu utaratibu uniform zina sababu ya kuwepo tikiruhusu hilo mabint wataishia kwenye magheto

    tusipeleke mambo kienyeji na kuharibu mifumo iliyo kuwepo itatugharibu baadae kuirudisha pale itakapo bainika inaharibu utaratibu waziri TAMISEMI nikuombe sana mifumo ya shule iliyopo ilisha tengenezwa, siasa zisifanye tuanze kuivuruga tena sare za shule zina umuhimu sana kwa usalama wa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wizara za TAMISEMI na Elimu liangalieni hili, watu wananyanyaswa

    MHESHIMIWA UMMY MWALIMU: UNAJUA KUWA WITNESS MAKOTI ALIYEPIGWA NA MWALIMU MKUU NA KUVUNJWA JINO SASA AMESIMAMISHWA KAZI KULE MOROGORO? Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu! Amani iwe kwako! Miezi michache iliyopita, Ofisi ya Haki ya Askofu Mwamakula, ilifichua taarifa za kupigwa kwa Witness...
  19. Njaa kali30

    JamiiForums Tanzania Tumelisikia Tangazo la Waziri wa TAMISEMI kuhusu michango ya wananchi kwa ujenzi wa madarasa na zahanati

    Habari wadau, Nimemsikia waziri wa TAMISEMI akitoa angalizo kuhusu michango ya wananchi kwa ujenzi wa madarasa na zahanati. Akisitiza wananchi wasitozwe pesa katika ujenzi wa zahanati na madarasa. Ni kweli ni wazo zuri lakini litatukosesha ulaji sisi watendaji wako wa chini. Kwani kuna...
  20. polokwane

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Haiwezekani kuandaa mfumo kuhama wa tumishi wakubadilishana vituo wakafanya online transfer

    Napendekeza TAMISEMI wangeanzisha mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi yaan kuwe na mfumo ambao unawatambua watumish wote na vituo vyao vya kazi kwa kila idara halafu watumushi waweze kuutumia Mfano:mfumo unakuwa na transfer request hivyo mtumishi anaye taka kuhama ana request wilaya au kata...
Back
Top Bottom