tamisemi

  1. DOKEZO Wizara ya TAMISEMI ni “Empire" ya vigogo. Mfumo wa kujuana umeota mizizi

    Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa Afisa Elimu. Haya ni maajabu na uabunuasi. Unamuacha mwalimu mwenye sifa zake za muda mrefu unamchukua Voda fasta? Mwl amewekwa kama daraja bovu wakubwa wapite na watu(ndg) zao hii sio sawa. Ukifuatilia utagundua maafisa Elimu na vitengo vyao hawana "A"...
  2. Msaada wa mawasiliano TAMISEMI Idara ya Elimu Dodoma

    Kwa aliyepo Tamisemi au kama unaweza niunganisha na mtu wa tamisemi idara ya elimu Dodoma tafadhali naomba msaada.
  3. T

    Meseji ya TAMISEMI

    Nimepokea meseji hii kutoka TAMISEMI naomba tujadili hapa serikali inakwama wapi kuhusu hilo suala la watoto kutokwenda shule pamoja na kujengewa madarasa mapya,je imefanya utafiti yakinifu kujua chanzo au wameamua tu kuendesha msako bila kujua sababu ni nini hasa inayowakwamisha wazazi/walezi...
  4. TAMISEMI - Hizi meseji zenu za kampeni ni ukiukwaji msingi ya faragha

    Kwanini mchukue namba zetu za simu kutoka kwenye makampuni ya simu na kuanza tu kutuma tuma meseji bila consent?
  5. Mkurugenzi Jiji la Mwanza ashtakiwa TAMISEMI madai ya kuuza viwanja

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'amemshtaki' mkurugenzi wa jiji hilo, Sekiete Yahya kwa Wizara ya Tamisemi ambayo ndio mamlaka yake ya nidhamu, akimtuhumu kuhusika na uuzaji wa viwanja viwili vyenye thamani ya Sh1 bilioni. Wakati barua ya mashtaka ikitua Tamisemi, Malima ameagiza watumishi...
  6. TAMISEMI mnapaswa kujiongeza

    Nikiwa natembea mitaa ya mji leo siku ya sikukuu nikawa nimejionea ni jinsi gani serikali imegharamia kutengeneza miundombinu na mazingira ktk miji yetu ili iwe safi na salama kwa wakaaji Lakini juhudi hizo za serikali zinaishia kudumu kwa muda mfupi sana kwani utunzaji wa hiyo miundombinu...
  7. TAMISEMI yapiga 'stop' wanafunzi wa Shule za kutwa kuhamishiwa Bweni

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Profesa Riziki Shemdoe amesema hakutakua na uhamisho wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kwenye shule za kutwa kuhamia bweni. Taarifa iliyotolewa na Tamisemi imesema, Profesa Shemdoe ametoa agizo hilo...
  8. Shule inayotembea

    Tuition nyumbani Karibu sana kwa maelezo zaidi kuhusu kufundishiwa watoto nyumbani katika mda wao wa ziada. Elimu nzuri ya mtoto inaanza na support kutoka kwa mzazi. Mpambanie ili afike mbali zaidi. PM now. Usisite ili ujue kila kitu kuhusu shule inayotembea Dsm. 0622374787 or PM to get my email
  9. Waziri wa TAMISEMI umelala wapi milioni 500 za miradi ya afya zinatafunwa Singida

    Wasalaam wanajukwaa! Na Gregory Jumbe Mahanju, Nataka kutuma ujumbe kwa wateule wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwemo Waziri wa TAMISEMI Ndg Angela Kairuki, Katibu mkuu wa TAMISEMI,Mkuu wa mkoa wa Singida ndugu Petter Serukamba na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi ndugu Jery Cornel Muro ya kwamba Pesa...
  10. Meatu: Madiwani wamtaka Waziri TAMISEMI afanye ukaguzi maalumu wa fedha za Halmashauri, wanusa harufu ya ubadhirifu mkubwa

    BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Meatu wamemwandikia barua waziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa hapa nchini (TAMISEMI) Angela Kairuki ili atume timu maalumu ya ukaguzi iweze kufanya ukaguzi maalum katika Halmashauri hiyo ya wilaya kukagua matumizi ya fedha ambazo zilipangwa...
  11. Madiwani Meatu wamuangukia Waziri TAMISEMI, wataka ukaguzi maalumu wa matumizi ya fedha za Halmashauri, wahofia uwepo ufujaji wa fedha za wananchi

    HALMASHAURI ya Wilaya ya Meatu kama ilivyo maeneo mengine ya Serikali za Mitaa inasimamiwa na kuongozwa kwa kuzingatia Sheria mbalimbali za nchi ikiwemo Sheria ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982 na Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Meatu za Mwaka 2014 ambazo zinaelekeza mambo...
  12. Wabadhirifu 3 tu kati ya 585 walifukuzwa kazi kwa ripoti ya CAG, 384 wakihamishwa vituo

    Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema watumishi 116 wamechukuliwa hatua kutokana na ubadhirifu fedha za umma. Kairuki ameyasema hayo Jumamosi Novemba 5,2022 wakati akichangia taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za Hesabu...
  13. J

    DOKEZO TAMISEMI ingilieni kati sakata la walimu kutapeliwa na Afisa Elimu wao huko Katavi

    Walimu waliofanya kazi ya kusahihisha Mtihani wa Kidato cha Nne Kanda ya Nyanda za Juu mwezi Julai mwaka 2022 hawajalipwa pesa yao hadi leo na wamekuwa wakipewa ahadi hewa na bosi wao ambaye ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Katavi. TAMISEMI wasaidieni walimu walipwe haki yao maana inaonekana kama bosi...
  14. DOKEZO Nyagabona ni Afisa Elimu Taaluma (W) mla rushwa wilayani Magu

    Ingekuwa ni amri yangu; huyu Afisa Elimu Taaluma (W) Magu angeondolewa mara moja kwa sababu ni mla rushwa aliyekithiri na ayependelea waalimu wa kabila lake (Wajita). Amekula fedha kwa walimu wengi sana aliowaahidi kuwapa ualimu mkuu (hao nao wanastahili kushughulikiwa kwa sababu kutoa rushwa...
  15. Kwako Waziri wa TAMISEMI, Angellah Kairuki

    Ndugu mheshimiwa hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa TAMISEMI. Umepata cheo hiki wakati ambao vijana walioajiriwa mwezi wa saba mwaka huu wa 2022 wakiwa wanalalamika kila upande wa hili taifa kuwa wamedhulumiwa hela zao za kujikimu. Zipo wilaya zimewapunja waajiriwa kiasi Kikubwa kweli...
  16. C

    Ushauri kwa Serikali, TAMISEMI na Wizara ya Elimu

    Kwanza naishukuru sana serikali na wizara ya elimu kwa kujitahidi kuhakikisha kuwa kila mtanzania anapata nafasi ya kufikia walau elimu ya sekondari bila malipo. Nikiwa nimefundisha shule za umma kwa miaka 15+ na kujua na kuona changamoto za mashuleni nimeona niandike kile ambacho katika...
  17. DOKEZO Waziri wa TAMISEMI, miezi 3 sasa baadhi ya walioajiriwa ajira mpya hawajapata mishahara

    Baadhi ya walimu walioajiriwa mwezi Julai 2022 katika halmashauri mbalimbali nchini hawajapata mishahara yao, wengine hata hela ya kujikimu hawajapata. Maisha ni magumu kila mtu anatambua hilo. Waziri angalia Hizi Halimashauri, uwajibikaji hakuna. Mishahara ya mwezi wa 9 imelipwa ila baadhi ya...
  18. DOKEZO TAMISEMI na upendeleo uhamisho wa walimu Karagwe

    Naam! Nadhani inajulikana kuwa Innocent Bashungwa ni Waziri wa TAMISEMI. TAMISEMI iliweka utaratibu wa uhamisho wa watumishi wa umma, mfano walimu wanapotaka kuhama vituo vyao vya kazi, sharti wapate walimu wenzao wa kubadilishana nao. Sasa ni hivi, inakuwaje mmeruhusu watumishi hasa walimu...
  19. B

    Kwenu Wizara ya Elimu na Tamisemi

    Lengo la Serikali ni kusaidia wananchi wake kwa makundi mbalimbali na serikali yenyewe ndo nyinyi katika idara za Elimu. Naomba mlitupie macho swala la uhamisho wa mwanafunzi wa sekondari na yeye aweze kuwa huru kwenye kuhama shule kutoka shule ya private na kuingia shule ya serikalini. Kama...
  20. Walimu wanataka Katiba mpya kama sheria mama ili iisimamie maslahi yao na sio blah blah za Waziri wa TAMISEMI

    Waziri wa TAMISEMI ndugu Inocent Bashungwa, tumezisikia blah blah zako kuhusu walimu na matatizo yao ambayo ni sugu tangu Uhuru. Walimu ndio waasisi wa Taifa hili lakini serikali ya CCM ndio imewanyonga sana na kuifanya jamii iwatukane na kuwaaibisha hadi imefikia hatua hakuna mtoto anaetamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…