taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sikujua kama Taifa Stars inacheza leo

    Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ya Wachezaji wa ndani imepoteza mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2025 kwa changamoto ya mikwaju ya penati 5-6 dhidi ya Sudan. Tanzania licha ya kufunga goli 1-0 lililofungwa na Crispin Ngushi dakika ya 33 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kutokana na kupoteza...
  2. JamiiForums Tanzania Kufuzu CHAN | Tanzania 1 (5) - (6)0 Sudan | Uwanja wa Mkapa

    Timu ya Tanzania, inacheza na Sudan, hivi ni Tanzania hii hii au ni ya mabwepande? hawajui mpira, na aliyechagua wachezaji hawa anapaswa akae lock up kabisa. Timu ya Tanzania, inacheza na Sudan, mchezo bado unaendelea hadi sasa CHAN 2024 QUALIFIERS 70’ Tanzania 🇹🇿1️⃣-0️⃣🇸🇸 Sudan ⚽️ Chrispine...
  3. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Msumbiji(SISE) Bernardo Lidimba afariki kwa ajali ya gari

    Kifo cha ghafla cha Bernardo Lidimba, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Msumbiji (SISE), katika ajali ya gari iliyotokea jana kimetikisa sekta ya kisiasa na kiusalama ya nchi. Tukio hili la kusikitisha limetokea wakati kuna maandamano makubwa yanayoendelea kufuatia matokeo ya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Majeneza ya kisiasa yasiyo na watu na hatma ya Taifa

    Mwenyezi Mungu ametupa macho na ufahamu ili tusifanye makosa hayo tena. History inatuambia hakuna mahali popote mauwaji ya kisiasa yalileta amani au mataifa hayo kuwa nabutulivu. Mauaji yakisiasa ni sawa na time boom 💥 ndio maana ma diktator wengi walikufa vifo vibaya au mataifa mengi...
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni, Maarifa ya kusimamia mtihani wa taifa.

    Msaada kwa wale wazoefu wa kusimamia hizi kitu of course zipo sensitive sana, umakini unatakiwa, naona masharti makali sana, vitu vya msingi kuzingatia ili niwe salama. Of course ni mara yangu ya kwanza, semina nimeelewa ila humu naweza pata maarifa zaidi. Alaf umepigwa biti hatari Asanteni.
  6. JamiiForums Tanzania Swali la Wiki: Uzushi una athari gani kwenye Siasa za Taifa?

    Taarifa za Uzushi zina athari za moja kwa moja kwenye Siasa za Taifa. Je, athari gani unazozijua? Pia soma:Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?
  7. M

    JamiiForums Tanzania FYI: Israel ni taifa la pili kwa kuiuzia silaha China baada ya Urusi

    Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry. Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza...
  8. JamiiForums Tanzania Azam kashakubali kichapo. Haina mjadala hiyo. Anacheza na Team ya Taifa. Ahadi yangu

    Huu ni Mwembe wa uani. Sisi tunajichumia tu tunakula maembe. Kifupi Yanga hatuna mshindani katika ligi ninyi wenyewe mmeona. Ikitokea hata Azam kutoa draw mi najisaidia hadharani pale mnara wa askari. Muone mashine gun yangu ikitema risasi za moto. Azam ni team rahisi sana kwetu. Wanatupa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Uonevu tangu 1948 Palestine

    Waziri mkuu wa Zamani wa Israel Golda Meir anathibitisha kuwepo kwa taifa la Palestine. https://youtube.com/shorts/EIIKBbl9F2U?si=Fq2OslOjpmOpTMuv
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna haja na kila sababu ya kuipumzisha CCM maana ni kama inalizamisha taifa

    Habari zenu ndugu wana jukwaa letu pendwa. Kama mada inavyojieleza ukiangalia mambo yanavyoendelea nchini unaona kabisa kuna kila sababu ya chama cha mapinduzi kuwekwa likizo maana hawana mbinu tena za kuliendeleza taifa hili. Nina sababu zifuatazo kuisupport hoja yangu katika hili. 1. Chama...
  11. JamiiForums Tanzania Eliakim Maswi aitaka Wizara na TLS kushirikiana kwa maslahi ya Taifa

    Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi katika kikao kazi kilichowakutanisha Wizara, Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) na Kitengo cha Kuzuia Utakatishaji wa Fedha Haramu kwa lengo la kujengeana uwezo wa utekelezaji wa masharti ya Sheria...
  12. JamiiForums Tanzania Clouds Media katika mahojiano yake na Israel Mbonyi wamefanya vitu unprofessional, unethical na vitu vya kijinga na kuliabisha taifa

    Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Wakili Haji Nanduli: Kila Lita ya Petrol na Dizeli kuna Tsh. 50 inayoenda Mfuko wa Taifa wa Maji

    Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Maji, Wakili Haji Nanduli ameeleza kuwa kwenye kila lita moja ya mafuta ya Petrol na Dizel ukatwa Tsh. 50 kama tozo kwa ajili kupelekwa kwenye Mfuko wa Taifa wa Maji ili kuwezesha utekelezaji wa mradi ya maji nchini. Ameongeza kuwa ili kuwezesha upatikanaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi BBC wanaposema pato la Taifa la Dunia wanamaanisha nini?

    Ama kweli hali ni ngumu duniani kote. Si tu kwa nchi yetu Tanzania, hata dunia kwa ujumla Shida sio faini waliotandikwa google, tatizo limeanzia kwenye Pato la Taifa la Dunia
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

    HALIJAWAI KUWAPO TAIFA LINALOITWA PALESTINA! NI HAKI YA WA ISRAEL KUKOMBOA ARDHI YAO! Kama hujapita shule au kufuatilia historia huwezi Jua haya 1. Kabla ya Taifa Kuundwa Upya na kuitwa Israel (1948) Lilikuwapo Taifa linaitwa British mandate yaan eneo Lilikuwa chini ya Uingereza 1920-1948 wala...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kujitolea hakufai kua kigezo cha taifa watu kupewa ajira; Badala yake serikali iongeze ajira kutaondoa tatizo

    Hoja ya Kujitolea Kama Kigezo cha Ajira Serikalini: Je, Ni Suluhisho au Tatizo? Hivi karibuni, Spika wa Bunge aligusia suala la kuwazingatia wale waliojitolea kama kigezo cha kuajiriwa katika nafasi za serikali. Ingawa nia ya serikali ni kusaidia kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana, hatua...
  17. JamiiForums Tanzania Mzalendo aliytumikia taifa lake kwa moyo wote

    Heroiic Agustime Mrema
  18. JamiiForums Tanzania Ufanyike uchunguzi kwa Wanafunzi wanaoandika matusi kwenye mitihani ya taifa

    Mhadhara - 51: Inaleta ukakasi kwa mwanafunzi mdogo (kiumri) anayefanya mitihani ya taifa ya kuhitimu elimu ya shule ya msingi kuandika matusi kwenye karatasi la majibu (Answer sheets). Napendekeza ufanyike uchunguzi kwa wanafunzi ambao wanaandika matusi, huenda nyuma ya hii tabia kuna watu...
  19. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Bunge la Marekani ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti

    Serengeti. Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea Ujumbe wa Wafanyakazi wa Bunge la Marekani ukiongozwa na Bi. Courtney Butcher, ambao wamefanya ziara nchini kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa Serengeti kuanzia tarehe 26 hadi 28 Oktoba 2024. Dhumuni la ziara hiyo ya miadi ni kujadili namna...
  20. JamiiForums Tanzania Najitolea bure kwa Idara za Usalama wa Taifa zote Barani Afrika katika Kuwatafutia Watu mahiri wa kufanya Kazi huko kwani hata Israel wameshanitumia

    Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa... 1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu 2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu 3. Awe na uwezo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…