Mkuu umetaja na Allah kabisa. Nitajie AYA yoyote kwenye KITABU inayoitambua palestine, halafu pia nitajie AYA inayopinga Wayahudi na ardhi yao. Fanya hivo fasta mkuu
[
Huo ni ujahili wa hali ya juu. Je Tanzania imo? Au Kenya? Au America?
Acha kuimini pandikizi potofu eti watoto wa Mungu , kwani wewe ni mtoto wa shetani?😂
Watoto teule walihusishwa walimuua Yesu. Warumi ( Romans) waliwaua saana
Warumi ni wakiristo. Mkiristo mwingine Hitler mjerumani miaka ya 1940-44 aliua mayahudi milioni sita. Dola za kikiristo 100 ziliwafukuza mayahudi ksbisa kwa ukorofi wao. Wayahudi hawamtambui Yesu maana wanamuona ni mwana haramu, hawamtambui Mary( mama wa Yesu) wanamuona ni malaya aliebeba mimba haramu na hawautambui ukiristo. Mbona ujinga wa hali ya juu kupandikizwa uteule.
Kwa nini wakiristo wamewauwa watoto wa Mungu?