taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Ujumbe wa kizalendo: Tujitambue kama taifa, tuachane na mambo ya mpira

    habari za leo nyie MADUNDUKA A.K.A MAKOLO na UTOPOLO A.K.A CHURA...... Wakati wenzetu Wakenya wanajitokeza barabarani wakipigania haki zao, uhuru wa kisiasa, mabadiliko ya kiuchumi, na mustakabali wa watoto wao, sisi hapa Tanzania bado tumejifungia kwenye majukwaa ya...
  2. Kwa maslahi mapana ya TAIFA uchaguzi haupaswi kuwa HURU

    Kama ni kweli tunaendeshwa na Tume ya taifa ya uchaguzi ISIYO HURU basi nipo pamoja na hiyo tume ya taifa I S I Y O H U R U. Ngoja nieleweke vizuri hapa, Yaani ni hivi:- kama ni kweli KUNA WATU WACHACHE wanaokaa mahali na kupanga nani awe rais na nani awe mbunge na wanafanikiwa basi...
  3. Mwigulu afafanua utofauti wa deni la Serikali na deni la Taifa

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa. Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati...
  4. Ukienda kwenye wall ya dada wa Taifa iliyopo Instagram utawashangaa watanzania wengi wanavyomlalamikia mtu anayeishi marekani

    Mimi natembelea wall yadada wa Taifa iliyopo instagram jambo ambalo linanifikirisha sana hivi wale watu ni wazima kweli wanompelekea malalamiko yao mtu anayeishi marekani hivi wanajitambua kweli mbona tun watu waajabu sana Jambo ambalo watanzania wanatakiwa wajue hatima ya nchi yao ipo mikononi...
  5. Mbunge wa CCM wa Jimbo lililoko shule hii ,ninaomba Kamati Kuu ya CCM Taifa isimpitishe kugombea ubunge 2025-2030

    Angalieni hii video! Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho. CC: Prof Adolf Mkenda
  6. Haki ya Wananchi Kukosoa, Kudai Mabadiliko na Kukataa Uchaguzi Usio Huru: Tathmini ya Kikatiba na Kisheria kwa Mustakabali wa Taifa

    Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya kuwaona watawala kama miungu wasiogusika, tukasahau kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
  7. Ni kweli kabisa Luhaga Mpina ni Mbunge wa taifa

    Nakubaliana na maneno ya Luhaga Mpina kuwa yeye ni mbunge wa taifa. Angalia anavyopambana kwa ajili ya kupigania maslahi ya umma na taifa kwa ujumla. Angalia alivyopambana juu ya zao la pamba kwa manufaa ya watu wa jimbo lake. Hii ni wazi kuwa ni mbunge wa taifa na jimbo lake kwa ujumla.
  8. R

    Pale taifa la linalodhaniwa ni la Mungu linapokua chokozi na sio peacemaker Kwa kigezo Cha unabii kutimizwa!!Linatia udadisi kwenye bongo huru!!

    Mi nilidhani kwakua ewe Israel wa Sasa unaedhaniwa umtakatifu mteule wa Mungu kama wengi wasemavyo basi ungekua peace maker na sio kuwa chaos inducer Kwa ulimwengu!! Ukifikiri kwa kina unakosa uhalali was utakatifu wa taifa hili hasta katika zama hizi za "vita vyetu sio vya mwilini,Bali vya...
  9. Ukiona taifa lina mwanasiasa ambaye hapendi taifa lake liwe na katiba ambayo italinda maslahi ya taifa ujue huyo yupo kwa ajili ya tumbo lake

    Naona WanaCCM hawataki kuwa na katiba kama ilivyopendekezwa na tume ya Jaji warioba. Mfano , taifa letu kuwa na Mawaziri wasio wabunge na hata kuwa na tume huru ya uchaguzi. Kwa katiba hii na Philp Mpango ameona kuna mizengwe baada ya uchaguzi 2025 tutarajie ufisadi kama ule wa Kagoda...
  10. Alichokifanya US Jana imeonyesha Israel ni Taifa Dhaifu na halina uwezo wa kuulinda uwepo wake

    Mwanzoni nilidhani ni uongo, nimeshangaa kumbe kweli Israel ilikuwa haina uwezo wa kulipa mitambo ya Nyuklia Fordow. Licha ya kumiliki Bunker Boosters lakini vyote vinauwezo wa kukwangua tu maandaki. Hili tukio maana yake ni nini? Israel haina uwezo wa kujilinda na hailindwi na Mungu bali US...
  11. Angalia jinsi CCM wanavyochezea hela zetu hapa lazima deni la taifa lifike trilion 107

    GT Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
  12. R

    Kikwete, kwa heshima na taadhima hujatimiza wajibu wako kama Mzee wa Taifa, Rais Mstaafu kumshauri Rais wetu

    Nadhani ni wajibu wako mkubwa , tena wa heshima kumhsauri Rais wetu unapoona kuwa kuna kitu hakiendi vizuri. Washauri wake wengine wanaangalia inclination yake na wao wanapitiliza humo humo. Hawawezi kumwambia ukweli kuwa hili achana nalo, halitaleta afya kwa Taifa. Wanaogpa kumkasirisha...
  13. T

    Deni la taifa linalipwa na nani

    Nimemskia rais samia akisema kuwa ufaransa wapo tayari kuendelea kutupa mikopo zaidi kwa maendeleo ya nchi yetu. Mpaka sasa deni la taifa limeshavuka trillion 107 na bado tunaambiwa nchi yetu itaendelea kukopa kwa sababu deni la nchi bado ni stahimilivu. Najiulizaga maswali mengi sana juu ya...
  14. Nchi moja Afrika wao kuitana kwa Titles za Daktari wa Falsafa au Profesa hadharani ni Ufahari, wakati Taifa lao ni Masikini na Wapumbavu wanaongezeka

    Na Historians akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE alias "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" tunajua kuwa Taifa la Kwanza kwa Kujitambua Afrika ni Ghana na Taifa la Kwanza Afrika kwa kuwa na Demokrasia bora na Katiba safi kwa Wananchi wake ni Ghana na mwisho kabisa...
  15. Mchinjita: Kasi ya ongezeko deni la taifa chini ya Rais Samia haijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru

    "Hadi kufikia Aprili 2025 deni la Serikali limefikia shilingi trilioni 107.70 ikilinganishwa na shilingi trilioni 91.7Machi mwaka 2024. Hili ni ongezeko la shilingi trilioni 16. sawa na 17.23% kutoka mwaka wa Fedha uliopita. Ambapo Deni la Nje ni Trilioni 72.94 na Deni la Ndani ni Trilioni 34.76...
  16. Utekaji, Mauaji na Hofu ya Kunyamaza: Taifa Linaangamia Kwa Saikolojia ya Uoga wa Kimfumo

    Je, kuteka raia wasio na hatia, kuwaua wanaharakati wa haki za binadamu, na kusaka watu kwa sababu tu wamekosoa mfumo dhalimu ni halali? Hivi tumefikia hatua ya kuwa taifa ambalo linaogopa hata kupumua kwa uhuru? Taifa ambalo linahitaji kibali hata kwa fikra huru? This is the psychological...
  17. Wazee wa Chama Mpo Wapi? Mfundisheni Mama Aache Siasa za Rafu, Taifa Halichezewi Hivyo!

    Katika kila jamii yenye uongozi wa kisiasa, kuna wakati ambapo busara za wazee wa chama huzidi kuwa na thamani kuliko mbinu za kisasa za kisiasa zinazokosa maadili. Hili ni wito mahsusi kwa wazee wa chama—wale waliobeba misingi ya harakati na falsafa ya uongozi wa kizalendo. Swali langu ni moja...
  18. Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    PART 1 Kuna ukweli mmoja usiofichika wala kupingika kwamba watu wengi sana wanapenda kazi ya ushushushu, yaani Uafisa Usalama wa Taifa.Hiyo sio kwa Tanzania pekee bali sehemu nyingi duniani. Ukiingia mtandaoni utakutana na watu wengi wanaozungumzia taaluma ya intelijensia au/na wahusika katika...
  19. Serikali: Watanzania waliopo Israel na Iran kurejeshwa nchini

    HALI YA WATANZANIA NCHINI ISRAEL NA IRAN KUFUATIA MASHAMBULIZI BAINA YA TAIFA LA ISRAEL NA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN DODOMA, 19 JUNI 2025 Kufuatia mashambulizi yanayoendelea kati ya Taifa la Israel na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyoanza tarehe 13 Juni 2025, hali ya usalama katika mataifa...
  20. Kwanini Serikali haiwekezi Mbeya licha ya kuwa ni mkoa wa 3 kwa kuchangia pato kubwa la Taifa

    Tafadhari mi si wa mbeya Angalia takwimu hizi Dar es Salaam: 17% (Sh32.1 trillion) Mwanza: 7.2% (13.5 trillion) Mbeya: 5.58% (Sh10.5 trillion) Morogoro: 4.8% (Sh9 trillion) Arusha: 4.7% (Sh8.9 trillion) Tanga: 4.65% (Sh8.8 trillion) Mbeya ni mkoa ambao hauna project kubwa ukiringanisha na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…