taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda ubingwa wa CHAN 2024

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi bilioni 1 kwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania (Taifa Stars) endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa CHAN 2024 na kubeba kombe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi, amesema hayo leo July 24,2025...
  2. Hiyo bilioni tuiombe kwenye uwekezaji timu ya taifa

    Baada ya hicho kibunda kuwekwa kama timu ya taifa itaweza kutwaa kombe la Chan kili nikiitazama hakuna namna tunaweza kushinda hilo kombe . Hivyo hakuna namna hii pesa itapatikana badala yake tuionbe itumike kwenye uwekezaji wa kuboresha timu ya taifa kama kuboresha benji la ufundi kupata...
  3. M

    Askofu Dkt. Benson Bagonza: Taifa ni la kufia, siyo kuua watu. Kama unalipenda jiue mwenyewe

    Askofu Dkt. Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe amewaonya wanaodai kuua watu kwa kisingizio cha kulitetea Taifa akiwaambia kuwa Taifa ni la kufia na siyo kuua watu, na kama kweli wanalitetea taifa basi wajiue wenyewe na si kuua watu. Ameyasema hayo wiki hii aliposhiriki katika ibada ya...
  4. M

    Taifa limepasuka kati ya uovu na uwema, kati ya haki na dhuruma, kati ya ukweli na uongo. Tujitafakari

    Kwa hali iliyop sasa Taifa linapitia kipindi kigumu sana kuna mgongano wa fikra na vitendo kati ya wanaotetea uovu waziwazi na wale wanaopinga uovu. Katiba hazifanyi kazi, watu wanaumizwa, mbinu za kuendeleza uivu zinapangwa na kutekelezwa kilichobaki wananchi watoe maamuzi yao vinginevyo nchi...
  5. Taifa linaumwa lipo ICU, nani mkombozi wake?

    Upo msemo wa wahenga unasema asiyejua kufa achungulie kaburi. Msemo huu umebeba dhima nzito juu ya uumbaji wa Dunia na mwanadamu. Quran tukufu nayo imesema kila nafsi itaonja mauti,Kwa msingi huo kifo ni sehemu ya uumbaji katika kumkutanisha Mja na Muumbaji. Kama kifo ni wajibu kwanini...
  6. Godbless Lema amuandikia Jakaya Kikwete Waraka Mzito

    Mh Rais wetu Mstaafu Jakaya Kikwete. Uongozi wa kweli haujengwi juu ya ndoto za kifamilia, bali juu ya msingi wa haki, utu na ujasiri wa kusema ukweli hata pale ambapo ukimya ni salama zaidi. Leo hii Tanzania inalia. Tundu Lissu, aliyenusurika kuuawa kwa risasi akiwa mpinzani mkuu wa serikali...
  7. Vijana na dira ya taifa

    Vijana wengi leo hii tumeingiwa na uoga kutokana na matukio yanayoendelea siku baada ya siku yakihusisha vijana na watawala,, ni ngumu sana leo hii kijana kujitokeza na kujadili hoja zito zinazohusiana na mustakabali wa maisha yake ya sasa naya baadae,, Leo hii kijana anaonekana kama tishio...
  8. Yoyote anayejaribu kuiyumbisha CCM ni msaliti wa Taifa

    Ukongwe wa CCM umetokana na kukosoana vikali lakini kupitia taratibu za ndani ya chama za kukosoana. Ukimuona anayetoka nje kuikosoa CCM huyo ni msaliti kwa chama na muhaini kwa Mama Tanzania. Tunao wajibu wa kuilinda CCM kwa nguvu zote pale inapokuja suala la kutaka kumbagaza Mwenyekiti...
  9. E

    Anayetaka kulisaidia Taifa ahakikishe Sheria zinazoipendelea ccm zinafutwa

    Taifa litapona endapo zitasimikwa sheria za haki nchini ambazo hazionei chama chochote,,, Rais asiwe m/kiti wa chama cha siasa,,, Mahakama zihakikishiwe Uhuru kwa kupewa vyanzo vya fedha kikatiba na bunge vilevile, hii ndiyo kansa inayosumbua Nchi , mahakama na bunge kutwa kucha kuipigia...
  10. Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

    waTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu. Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula...
  11. R

    Tumsikilize mchambuzi kuhusu ustawi wa watu ,taifa, na Uongozi/viongozi wetu na matumizi ya fedha zetu na uhalisia wa mipango yetu ya maendeleo 2050

    Gari V8 moja ni kipato cha mtu mmoja kwa miaka 30 kama kilivyowekwa kwenye mpango wa 2050 at a rate of 1.6 milioni Tsh per month HATUTAFIKA POPOTE , NI KUJIDANGANYA
  12. CCM na Ukatili wa Kimfumo: Taifa Linalozama Katika Giza la Haki Kukanyagwa, Raia Kudhalilishwa na Demokrasia Kugeuzwa Kichekesho

    TUMECHOKA! Kwa herufi kubwa kabisa. Tumechoka kunyanyaswa, tumechoka kuonewa, tumechoka kuishi kama watumwa kwenye nchi yetu wenyewe ilhali tunaambiwa tuna Uhuru wa kuishi, kuongea, na kuamua. Kwani ninyi wa CCM, mko made of what? Si ni binadamu kama sisi? Au damu yenu ni dhahabu na yetu ni...
  13. Nchi yetu na taifa letu Tanzania

    Tulipo sio tulikotoka kisiasa, kielimu na hata kiuchumi. Yapo mazuri yamefanyika lakini yapo mabaya yamefanyika na kuacha majeraha katika mioyo na fikra zetu. Hatuna taifa lingine isipokuwa Tanzania tunayoweza kujivunia na kuona fahari kwayo. Nini kifanyike angalau kufanya mioyo yetu iwe na...
  14. K

    No reform no Election ndiyo msemo wa taifa 2025

    Hakuna cha 4R Hakuna cha miradi Hakuna kingine chochote nchi nzima na hata diaspora ujumbe na Watanzania wanahitaji mabadiliko ya sheria za nchi na kuanza na sheria za chaguzi. Bila hivyo Watanzania hawataona tena kama chaguzi ni za huru na haki hata kama watawala watalazimisha huu ndiyo ukweli
  15. Operesheni Okoa Taifa Tanzania (Tanganyika)

    Hii ni Operesheni ya kuliokoa Taifa dhidi ya Wanasiasa ambao siku zote kazi yao ni kuwaza mambo kwa maslahi yao na familia zao. Hii ni operesheni ya kuokoa rasilimali za Taifa ambazo zinagawiwa kwa wageni kwa mikataba isiyo na faida kwa Wananchi. Huku wachache wakijinufaisha binafsi na...
  16. Wazalendo wasiruhusu kabisa Uhuni wa Dodoma kua Desturi , itaangamiza Taifa , MTU mmoja' anaweza mpitisha Mwanae 2030 kugombea Urais na asihojiwé !!

    Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!. Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga, Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi. Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele. Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
  17. GE2025 Samia Suluhu Hassan, sisi hatuna deni nawe, ila wewe ndie unayetudai, na mwaka huu wa uchaguzi tutakulipa deni lako kama Taifa

    Asante kwa 4RS zilizo unganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu. Asante kwa maendeleo ya uhakika ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa kwa muda mfupi tu. Pongezi kwa kua champion wa nishati safi ya kupikia na rafiki wa mazingira Africa. Shukrani kwa kuipa...
  18. PreGE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Pia, Kimbisa amesema Makamu Mwenyekiti Zanzibar wa CCM, Dk...
  19. L

    Video: Jinsi Baba wa taifa Nyerere Alivyoweka Msingi wa Uchaguzi wa Mgombea Rais wa CCM

    Baba wa Taifa la Tanzania, aliweka msingi thabiti wa mchakato wa uchaguzi wa mgombea wa urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). msingi wake uliwekwa na Nyerere wakati wa uongozi wake. Mwalimu Nyerere, kama mwanzilishi wa TANU (ambayo baadaye ilijumuika na ASP na kuwa CCM mwaka 1977)...
  20. Ni UWENDAWAZIMU kutaka taifa la Tanzania liandaliwe kutawaliwa kwa sheria za dini fulani

    Asije akajitokeza mtu kufanya uwendawazimu huu. Vyombo vya ulinzi na usalama mkiona viashiria tu mtimueni haraka sana mwenye fikra za KIPUMBAVU kama hizi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…