taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars ibadili mwonekano wa jezi zake

    Inashangaza kuona kuwa wakati timu za Mataifa mengine, hata ya Kiafrika, kuja na mwonekano mpya wa jezi za timu zao za Taifa, Taifa Stars imekuwa ikija na jezi za mwonekano huo huo kwa miaka zaidi ya minne mfufulizo. Inasemekana kuwa TFF ilimpa tenda Kassim Dewji kuivalisha Taifa Stars, lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna pengo kubwa sana la Zawadi Mauya Taifa Stars

    Yule dogo Nivatus ni Mzuri ila anahitaji kuoneshwa namna mpira unaotakiwa kuchezwa. Na mtu pekee hapa Tanzania mwenye uwezo wa kumfundisha mpira dogo Novatus ni Zawadi Mauya. Pia pengo la zawadi Mua limeonekana kwa kuwa ni aina a mchezaji ambaye hakatiki pumzi kama Mzamiru Yasini. Ombi langu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars tafuteni kipa mahiri na siyo Manula

    Leo nimeshuhudia mtanange baina ya Taifa Stars na Benin kupitia luninga. Kusema ukweli Taifa Stars wamecheza vizuri kuliko wapinzani wao aliyewaangusha ni kipa Manula. Namshauri Kocha wa Taifa Stars kutafuta kipa mahiri badala ya Manula. Kipa gani anashindwa kudaka mpira uliopigwa mita 30...
  4. JamiiForums Tanzania Kibu Denis amemzidi nini Ditram Nchimbi?

    Leo sikuwa na ratiba ya kutazama mechi ya Taifa Stars dhidi ya Benin. Ila baada ya kusikia watu wakiwa na hamu na shauku ya kumuona Kibu Denis, nikaona nayo ni fursa ya kuweza kumtazama. Lengo pia ni kutazama ni kipi ambacho Taifa kama Taifa tumekiona kwa Kibu Denis hata tukafikia hatua ya...
  5. JamiiForums Tanzania Timu ya taifa haina chama, tumuige Zitto Kabwe

    Zitto kabwe nae inaonekana alifanya mazoezi kwa vitendo hapo akiwa na meneja wa staz Nadir haroub canavaro jasho la kwapa machozi na damu lazima stazi icheze qatar world cup!
  6. JamiiForums Tanzania Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

    Kuna Mjadara Unzazungumzwa Sana Pasi na Kuangaliwa na Kutazamwa Kwa Jicho la Ziada. Suala la Idadi kubwa ya wachezaji wa Simba SC kuitwa kwenye Timu za Taifa. Kiufupi iko hivi: Dar es Salaam Young Africans SC Ina Idadi Kubwa ya wachezaji wanaotokea katika Mataifa yaliyopiga hatua kubwa sana...
  7. JamiiForums Tanzania Lyatonga Mrema ni shujaa wa taifa. Alifanya kazi kubwa kudhibiti misingi ya rushwa

    Ndio maana hata Remmy Ongala akatunga wimbo kumsifia kwa kazi nzuri ya kudhibiti rushwa, magendo na uzembe alipokuwa waziri wa mambo ya ndani. Sisi wanaCHADEMA huwa tunasahau kuwa Mrema ni mmoja wa watanzania wazalendo ambao walitumika kwa moyo mkuu. My take; Tunafanya kosa kubwa kumuona Mrema...
  8. JamiiForums Tanzania Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania

    Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha. === Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna kundi limejipanga kuliibia taifa letu kwa udi na uvumba. Watanzania tuwe macho

    Hili kundi ni wanaCcm ambao wanajifanya wanaakili nyingi za kutuibia watanzania. Huko nyuma wametuibaia sana kwa kila namna, kwa kukwepa kodi, kukwapua pesa za umma na kujilimbikizia mali. Hawa watu hawafai kwa udi na uvumba. Sasa hivi ndio wanamuongoza chief wetu kwa kila namna. Kama taifa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia awa mgeni rasmi katika Mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO) Dodoma

    Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu. Rais Samia...
  11. JamiiForums Tanzania Tanesco: Ni Umbali Gani Mtu Anaruhusiwa Kujenga Nyumba Kutoka Ilipo Nguzo ya Umeme wa Grid ya Taifa?

    Naiona hiyo nyumba inayopauliwa kuwa hatarini kutokana na umbali toka nguzo ya umeme kuwa mdogo sana
  12. JamiiForums Tanzania Brings back Moses Lijenje campaign

    Wakuu kutokana na yanayoendelea kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake, hatuna budi kupaza sauti zetu kuisaidia familia ya Komandoo Moses Lijenje kujua status ya hali ya mpendwa wao, na pia kupaza sauti zidi ya matendo ovu ya jeshi la Polisi Tanzania dhidi ya RAIA wasiokuwa na hatia. Bring...
  13. JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

    Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya? Mbowe. Lema. Lissu. Upinzani kwa ujumla.
  14. JamiiForums Tanzania TRA tuacheni Watanzania tukuze uchumi wa nchi yetu mnatubana sana punguzeni njaa zisizo na tija kwa Taifa

    Sio kwamba msikusanye kodi hapana ila Kuna mambo mengi TRA wanafanya ambayo yamekua ni kero kwa wafanya biashara unakuta mtu katoka na mzigo China Ile kutua tu AirPort anakutana na msururu wa TRA apo na wapo serious vibaya mno wanakagua mzigo mmoja baada ya mwingine. Unakuta mtu kabeba simu...
  15. JamiiForums Tanzania DPP, IGP na polisi kwa ujumla mmelitengenezea sifa mbaya taifa kwa kesi ya Mbowe

    Kwakweli toka moyo wangu na kwa haki ya Mungu, Polisi hii kesi imewaumbua vibaya sana mpaka hata polisi wengine walioko nje wanashangaa sana. Mashahidi upande wenu wamejichanganya kwa kila kitu, wametofautiana mpaka kuna mahali hata raia wa kawaida anajua kuna mambo ni ya uongo wa wazi.Hivi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania UN - Tusidanganyane, kama Taifa Tulipwaya

    Kuna haja ya kuambiana ukweli. Kama taifa UN hatukufurukuta. Siyo siri, madhumuni ya mkutano ule ilikuwa ni kwa mataifa kuweka wazi sera zao za nje zenye kuelezea maingiliano baina ya nchi na nchi. Mkutano ule haukuwa wakutafutia wawekezaji, kutangazia utalii wala kuhusiana na mambo ya ndani...
  17. JamiiForums Tanzania Uwanja wa taifa aibu tupu, hakuna watu TFF imekula kwenu

    Watu wamejazana huku nje kwenye kontena na vibandani, ni aibu sana wapi TFF mmefeli jamani Shida iko wapi, nini mmefeli TFF nimefurahi kuona watu mmejali maisha yenu kwanza Pili tff walijua derby 10000 watu wataenda tu wanakula backet nje bia saba safi... Kaeni mjiulize kwanini matamasha...
  18. JamiiForums Tanzania Balile: DPP, IGP, DCI lifutieni taifa aibu kesi ya Mbowe

    Na Deodatus Balile Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa Sh 600,000. Anashitakiwa pia kwa tuhuma za kupanga njama za kulipua vituo vya mafuta katika miji ya...
  19. JamiiForums Tanzania Deni la Taifa lazidi kupaa na kufikia 77 trillions

    Tanzania's national debt increases by $3.9 billion in one year, July central bank report reveals Twin towers forming part of the complex that is the headquarters of the Bank of Tanzania in the heart of Dar es Salaam. A July central bank report shows that Tanzania’s debt stock rose by $3.9...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu kiongozi kama angelijua CCM iko hivi asingelifanya juhudi kusaidia taifa lake

    Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi. Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm wenzake. Kumbe kwa miaka mitano alikuwa kauzibe wa mikakati yao ya kuwadhulumu na kuwanyonya wanyonge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…