taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia awa mgeni rasmi katika Mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO) Dodoma

    Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu. Rais Samia...
  2. Tanesco: Ni Umbali Gani Mtu Anaruhusiwa Kujenga Nyumba Kutoka Ilipo Nguzo ya Umeme wa Grid ya Taifa?

    Naiona hiyo nyumba inayopauliwa kuwa hatarini kutokana na umbali toka nguzo ya umeme kuwa mdogo sana
  3. Brings back Moses Lijenje campaign

    Wakuu kutokana na yanayoendelea kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake, hatuna budi kupaza sauti zetu kuisaidia familia ya Komandoo Moses Lijenje kujua status ya hali ya mpendwa wao, na pia kupaza sauti zidi ya matendo ovu ya jeshi la Polisi Tanzania dhidi ya RAIA wasiokuwa na hatia. Bring...
  4. Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

    Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya? Mbowe. Lema. Lissu. Upinzani kwa ujumla.
  5. TRA tuacheni Watanzania tukuze uchumi wa nchi yetu mnatubana sana punguzeni njaa zisizo na tija kwa Taifa

    Sio kwamba msikusanye kodi hapana ila Kuna mambo mengi TRA wanafanya ambayo yamekua ni kero kwa wafanya biashara unakuta mtu katoka na mzigo China Ile kutua tu AirPort anakutana na msururu wa TRA apo na wapo serious vibaya mno wanakagua mzigo mmoja baada ya mwingine. Unakuta mtu kabeba simu...
  6. DPP, IGP na polisi kwa ujumla mmelitengenezea sifa mbaya taifa kwa kesi ya Mbowe

    Kwakweli toka moyo wangu na kwa haki ya Mungu, Polisi hii kesi imewaumbua vibaya sana mpaka hata polisi wengine walioko nje wanashangaa sana. Mashahidi upande wenu wamejichanganya kwa kila kitu, wametofautiana mpaka kuna mahali hata raia wa kawaida anajua kuna mambo ni ya uongo wa wazi.Hivi...
  7. B

    UN - Tusidanganyane, kama Taifa Tulipwaya

    Kuna haja ya kuambiana ukweli. Kama taifa UN hatukufurukuta. Siyo siri, madhumuni ya mkutano ule ilikuwa ni kwa mataifa kuweka wazi sera zao za nje zenye kuelezea maingiliano baina ya nchi na nchi. Mkutano ule haukuwa wakutafutia wawekezaji, kutangazia utalii wala kuhusiana na mambo ya ndani...
  8. Uwanja wa taifa aibu tupu, hakuna watu TFF imekula kwenu

    Watu wamejazana huku nje kwenye kontena na vibandani, ni aibu sana wapi TFF mmefeli jamani Shida iko wapi, nini mmefeli TFF nimefurahi kuona watu mmejali maisha yenu kwanza Pili tff walijua derby 10000 watu wataenda tu wanakula backet nje bia saba safi... Kaeni mjiulize kwanini matamasha...
  9. Balile: DPP, IGP, DCI lifutieni taifa aibu kesi ya Mbowe

    Na Deodatus Balile Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa Sh 600,000. Anashitakiwa pia kwa tuhuma za kupanga njama za kulipua vituo vya mafuta katika miji ya...
  10. Deni la Taifa lazidi kupaa na kufikia 77 trillions

    Tanzania's national debt increases by $3.9 billion in one year, July central bank report reveals Twin towers forming part of the complex that is the headquarters of the Bank of Tanzania in the heart of Dar es Salaam. A July central bank report shows that Tanzania’s debt stock rose by $3.9...
  11. Huyu kiongozi kama angelijua CCM iko hivi asingelifanya juhudi kusaidia taifa lake

    Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi. Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm wenzake. Kumbe kwa miaka mitano alikuwa kauzibe wa mikakati yao ya kuwadhulumu na kuwanyonya wanyonge...
  12. Makazi ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kujiuzulu ualimu 1955

    ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955 Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia. Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
  13. TANZIA Mke wa Augustine Lyatonga Mrema afariki dunia

    Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu. --- Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa kufiwa na mkewe Rose Mrema. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa...
  14. Dkt. Yamungu Kayandabila ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDG)

    ‪Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC)‬ ‪ ‪Dkt. Naomi Katunzi ameteuliwa kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kwa miaka mingine...
  15. Miaka 60 na CCM Madarakani: Ujinga, umaskini na maradhi bado havijaondoka

    Tangu tupate Uhuru 1961 sasa ni miaka 59 . Lakini wale maadui 3 ambao ni ujinga, umaskini na maradhi bado wanawatesa Watanzania. Je, tuendelee kuwapa kura CCM ili waendeleze mapambano waliyoyashindwa kwa miaka 59? Tuwanyang'anye mamlaka kwakuwa wameshindwa kutokomeza ujinga, umaskini na...
  16. S

    Kwanini Taifa Halisisitizi na Kuhamasisha Tiba ya Corona badala ya Chanjo?

    Kuna watu wengi wanapona kwa kutumia dawa za hospitalini pamoja na mitishamba kwa gharama ndogo (ya kawaida) lakini dawa hizi hazisisitizwi popote, yaani dunia imeamua kwenda na chanjo badala ya tiba huku wengi wakiangamia wakati tiba ipo. Je, ni kwamba hizi dawa hazifai? Msaada wa chanjo...
  17. Mchango Mmojawapo wa Chadema kwa Taifa

    ............ style ya mavazi yao yanayoitwa magwanda; ya kwangu yako kwenyhe closet, niliyavaa mara chache sana. Vyama vingine vimeanza kuiga style hiyo!
  18. Tatizo la Machinga, Tulikosea, Tunakosea, Tutaendelea kukosea!

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna sehemu tulikosea, tunakosea na tutaendelea kukosea. Wimbo wa Machinga kufanya biashara maeneo yasiyo rasmi kama yupo anayefikiri ni wimbo wa juzi basi ana upungufu wa akili. Nani hapa ambaye anaweza kukataa kuwa kwa mfano mitaa ya Kongo ilivyo leo pako hivyo miaka...
  19. Ni muda muafaka wa kuliokoa Taifa

    Salaam watanzania wenzangu. Dunia imekumbwa na janga kubwa (uviko19) na kila tabaka limepigwa na butwaa lisijue cha kufanya. Baada ya tafakari ya miezi kadhaa, hatimaye suluhisho maridhawa juu ya janga hili limepatikana. Kutokana na maelezo ya wataalamu juu ya ulazima wa kuendelea kujikinga na...
  20. SoC01 Uandaaji wa mazingira tamanishi na uboreshaji wa Sekta ya Elimu kwa tija ya maendeleo ya taifa katika sekta zote

    Habari wanaJF na wasomaji wote wa andiko hili. Hongereni na pilikapilika za ujenzi wa taifa. Utangulizi. Kumekuwa na misemo mingi sana ambayo imekuwa ikielezea maana na umuhimu wa elimu kwa mtu mmoja mmoja, familia, jamii na taifa kwa ujumla. Misemo kama: elimu ni ufunguo wa maisha, elimu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…