taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usimamizi wa mtihani wa taifa walimu walipwe perdiem sio vinginevyo. Tuache ujanja ujanja.

    Kumlipa mtu 50k kwa siku ???? Sio sawa.
  2. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani mwanafunzi wa kidato cha pili kufanya mtihani wa Taifa???

    Mimi naona hakuna ulazima. Halafu pia hata wakifanya wasirudie darasa.
  3. JamiiForums Tanzania Nani anahusika na kutunza kumbukumbu na Historia ya Baba wa Taifa?

    NANI ANAHUSIKA NA KUTUNZA KUMBUKUMBU NA HISTORIA YA BABA WA TAIFA? JIWE LA KUMBUKUMBU YA NYUMBA YA MTUMWA SULEIMAN ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE 1954 Mmoja kati ya wafuatiliaji wa Maktaba kanitumia picha ya jiwe linalotumika kama kumbukumbu kueleza nyumba ambayo alifikia Mwalimu Nyerere, Mtaa wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi za NIDA Ilemela - Mwanza kuna uzembe kwenye utoaji Vitambulisho vya Taifa, Mamlaka zifuatilie

    Nilijiandikisha na kupata Namba ya NIDA Mwaka 2020 nikaenda kufuatilia kitambulisho Mwaka 2022 nikaambiwa bado nikarudi Disemba 2025 nikaambiwa bado nilipohoji kwanini inachukua muda mrefu kiasi hicho nikaambiwa itakuwa kilisahaulika. Sasa inawezekana vipi taarifa zilizopo kwenye mfumo...
  5. JamiiForums Tanzania Wafungwa 142 kujadiliwa na Bodi ya Taifa ya Parole mkoani Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole, Mhe. Balozi Khamis Kagasheki, leo Februari 12, 2026, amefungua rasmi kikao cha bodi hiyo kitakachofanyika kwa siku mbili, kuanzia Februari 12 hadi 13, 2026, katika ukumbi wa Panama Garden Resort, mkoani Kilimanjaro. Katika kikao hicho, jumla ya majalada...
  6. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Taifa wa ACT, Othman Masoud afanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza, 10/02/2026

    Mwenyekiti wa Taifa wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, leo Februari 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza. Ujumbe huo ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Marianne Young, uliowajumuisha pia Bw. Jack Fenwick, Katibu wa Pili...
  7. JamiiForums Tanzania Makonda: Serikali yampitisha Gamondi timu ya Taifa

    #onemediaupdates🇹🇿 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda ameweka wazi kuwa Serikali imempitisha Kocha Miguel Gamondi kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, kutokana na uwezo wake aliouonyesha kwenye Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 iliyofanyika...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Rweyongeza: Hakuna taifa litakaloweza kuiangusha katoliki

    “Taasisi yetu ya Kanisa Katoliki ni ya miaka mingi, taasisi ya Katoliki ndio mama wa taasisi zote, ndio mama wa serikali zote. Imekuwapo haijaanguka tangu Yesu zaidi ya miaka elfu mbili na hakuna taifa lolote litakaloweza kuiangusha Kanisa Katoliki. Warusi walijitahidi kuangamiza Kanisa Katoliki...
  9. JamiiForums Tanzania Tangu alipofariki Shujaa wa Afrika John P Magufuli taifa la Tanzania lina mpasuko mkubwa kisiasa, kidini na hata Ideologically

    Mwenye akilpi ndogo kama punje ya haradali atabisha. Ukweli ni kwamba rais Magufuli alikuwa ameliunganisha taifa kwa kila namna. Na ndio maana hata aliposema tuweke siasa kando hata Wananchi wa kawaida hawakulalama. Maana waliona anapiga kazi kwa wananchi wote. Aliunganisha wananchi wote wa...
  10. JamiiForums Tanzania UNCTAD Yatabiri Ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) la Tanzania Kufikia 5.8% Mwaka 2026

    UNCTAD Yatabiri Ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) la Tanzania Kufikia 5.8% Mwaka 2026 Huku Mfumuko wa Bei Ukishuka Hadi 2.8% Licha ya Kudorora kwa Uchumi wa Dunia. Umoja wa Mataifa ya Hali ya Uchumi Duniani na Matarajio ya Mwaka 2026 (UNCTAD’s World Economic Situation and Prospects 2026) inatabiri...
  11. JamiiForums Tanzania Nassor Hamdan Seif, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki Dunia

    Mfanyabiashara Nassor Hamdan Seif, Maarufu kama Mzee NBS, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam Mwili wa Marehemu Mzee NBS utasafirishwa kuelekea Tabora kwa Mazishi yake. Apumzike kwa Amani
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais wa TLS: Kila anayatakiwa kuwajibika awajibike kwa maslahi mapana ya Taifa letu, viongozi msizungumze kutonesha mioyo ya wananchi

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
  13. JamiiForums Tanzania Taifa leo linaenda kuaibishwa vibaya sana

    Fisi S.C ndo team pekee kutoka TZ kwenye group lake haina point hata moja. Ni aibu sana kwa Taifa. Na leo inaenda kuchabangwa tena uwanja wa Taifa kama kawa ikigawa furaha kwa wengine. Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana na kuhuzunisha. Mnakuwa na team bovu lisindikizaji tu kwa wenzie...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atembelea hifadhi ya Taifa ya Arusha

    WAZIRI MKUU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA ▪️Lengo ni kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia kuhamasisha utalii WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumamosi, Januari 31, 2026 ametembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu...
  15. JamiiForums Tanzania Moderators wa JF rudisheni uzi wangu niloshauri Samia Suluhu Azuiwe kuuza Sehemu ya Akiba ya Dhahabu ya Taifa

    Ni Lazima Watanzania Wajue, nini maana ya HAZINA ya Dhahabu, umuhimu wake hasa katika Usalama wa NCHI kwa kuzingatia SIASA na Mabadiliko ya Kisera ya Dunia. HAZINA ya Dhahabu, haitakiwi kamwe Kuuzwa kwa ajili ya Miundo mbinu, Huu ni ZAIDI YA USENGEE !! Kwa akili ya Samia na Genge lake maana...
  16. JamiiForums Tanzania Je, tukishamaliza kuuza Dhahabu, tutauza nini tena?

  17. JamiiForums Tanzania Kuuza Dhahabu ya Taifa: Wezi wakikosa Fedha, Huuza Urithi wa Watoto Wako

    Uamuzi wa kuuza sehemu ya hazina ya dhahabu ya Tanzania si mpango wa kiuchumi. Ni tamko la kushindwa kwa dola. Ni kukiri wazi kwamba serikali imeshindwa kuendesha nchi kwa uadilifu, imeshindwa kudhibiti wizi, na sasa imeamua kuuza urithi wa taifa ili kuendeleza mfumo wa ulaji wa wachache...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Katambi akemea tabia ya kila mtu kuwa Msemaji, asema hali hiyo inachangia mpasuko wa Taifa

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amekemea tabia ya kila mtu kuwa msemaji nchini hali inayopelekea utolewaji wa Matamko ambayo yamekua yakihatarisha hali ya Amani hapa nchini. Ametoa kauli hiyo wakati wa Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,Maafisa na Askari...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiria kumhujumu na kumkwamisha Rais wetu wanajisumbua

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapeni tu taarifa ya kuwa kama kuna mtu ama watu ama kikundi cha watu iwe ni ndani ya Nchi ama kutoka nje ya Nchi kinachoweza kuwa na mawazo ama Dhamira ya kumhujumu Rais wetu na Kumkwamisha Rais wetu Mpendwa katika kulitumikia Taifa letu. Ni lazma wafahamu ya kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Anne Kilango: Watanzania tujue Rais Samia anaongoza Taifa kubwa sana Afrika Mashariki

    Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kufahamu kuwa Rais anaongoza taifa kubwa na lenye idadi kubwa ya watu Afrika Mashariki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…