Akiwa Mkoani Kagera leo Jumanne Oktoba 14, 2025, Mwenyekiti wa Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Bw. Geofrey Kiliba amesema Ushiriki wa Vyama 18 kati ya 19 katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 pamoja na mamilioni ya Watanzania wanaohudhuria mikutano ya kampeni za Vyama mbalimbali vya siasa...
Mwenyekiti wa CHASO (CHADEMA Student Organization) mkoa wa Dar es Salaam Martin Samson Abduli ametoa tamko kwa waandishi wa habari akilalamikia mwenendo wa Rais wa TAHILISO Geofrey Kiliba akidai kuwa unakiuka misingi ya Katiba ya umoja huo wa wanafunzi wa vyuo na vyio vikuu nchini
Akizungumza...
Naibu Kamishna wa Katiba, Sheria na Utawala Bora wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini Tahliso Bw. Aron Mzelela Seni amewaambia waandishi wa habari leo Jumatatu Julai 28, 2025 kuwa Jumuiya hiyo inamuunga mkono Dkt. Samia Suluhu Hassan kama Rais wa Tanzania katika shughuli za maendeleo...
Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !.
Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao haufungamani na Chama chochote Cha kisiasa .
Huyu Pimbi, alipoanza kujitokeza, alianza kama Genge la...
Rais wa jumuiya ya wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania Bwana Geofrey Kiliba asema kwamba Mwaka 2025 ni mwaka wa Uchaguzi na hakuna anayeweza kurudisha nyuma Watanzania katika kushiriki mchakato huo muhimu ndani ya Taifa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka.
Vijana machawa walijikusanya na kutoa majibu kwa kauli hiyo, wakidai kuwa amekosea na kuidhalilisha Elimu ya Tanganyika.
Na...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya juu nchini Ndg Geofrey Kiliba amewajibu wale waliokosoa ziara yao kama taasisi kutembelea wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mikoani, wamesema wanachokifanya ndio msingi wa utatuzi wa changamoto za Wanavyuo nchini.
Ndg Kiliba amesema katika kazi...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu nchini kupuuza wanasiasa wanaopandikiza chuki na kuhamasisha vurugu kwa lengo la kupata madaraka.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), Ndg. Geofrey Kiliba, ametoa wito kwa wanafunzi wa vyuo na jamii kwa ujumla kuhakikisha wanaendeleza amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza leo Aprili 13, 2025 jijini...
TAARIFA KWA UMMA
18 Septemba 2024
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania, Mhe. Zaynab Iddy Kitima ametengua uteuzi wa Ndg. Ibrahim Shukran Aloyce, Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili.
UFAFANUZI WA RAIS WA TAHLISO
Alipoulizwa na JamiiForums.com kuhusu maamuzi...
UTANGULIZI
TAHLISO ni Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu (Vyuo na Vyuo Vikuu) Tanzania. Ilisajiliwa mwaka 2004 ili kuwa sehemu ya kuziunganisha serikali hizi/wanafunzi hawa kwa ajili ya kuwasilisha changamoto, maoni na mapendekezo yanayogusa maslahi ya wanafunzi wote wa Elimu ya Tanzania...
UTANGULIZI
TAHLISO ni Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu (Vyuo na Vyuo Vikuu) Tanzania. Ilisajiliwa mwaka 2004 ili kuwa sehemu ya kuziunganisha serikali hizi/wanafunzi hawa kwa ajili ya kuwasilisha changamoto, maoni na mapendekezo yanayogusa maslahi ya wanafunzi wote wa Elimu ya Tanzania...
Baada ya vyuo vingi ikiwemo DIT (Dar es salaam Institute of Technology) Sasa ni SAUT (St. Augustine University of Tanzania) Mwanza.
Huyu Anaitwa Kabado C. Kabado Rais wa Serikali ya Wafunzi SAUT Mwanza
Tar. 21 Nov, 2023 Usiku Nlipokea simu na Jumbe za Maandish nyingi kutoka kwa Wanafunzi wa...
KAMISHENI YA MIKOPO TAHLISO
06/11/2023
MASWALI YANAYOULIZWA KUTOKA KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA NA MASOMO WALIOOMBA MKOPO, ( CONTINUING STUDENTS )
1. Mimi ni mwaka wa pili nimeomba mkopo lakini nimeandikiwa kujiandaa na zoezi la kukata rufaa, lakini bado Batches za continuing students...
Picha: Nusura Abdala enzi za uhai wake
Vumbi la kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Abdalah bado linazidi kutimka baada ya ndugu kutilia mashaka uharaka wa mazishi yake huku baba mkubwa wa marehemu akija na maswali matano.
Wakati umma ukiendelea kupaza sauti ukitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.