Habari wanajamvi.
Leo nimeona ni vyema tujumbushane fujo la vurugu za mwaka wa uchaguzi. Mambo huwa ni mengi sana yanayofikirisha na yanayozua maswali mengi yasiyokuwa na majibu.
Rai yangu kwa watanzania wenzangu wote, tusiingie kwenye mtego wa wanasiasa, wao kama wanataka kuzuia au kukinukisha...