tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa. Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
  2. JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF. Tunafahamu kuna ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…