tafiti

Tafiti was an animated search engine launched by Microsoft Corp. and TrappsInteractive to showcase the Silverlight animation and video player.
It was launched in 2007 and was discontinued in 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. Tafiti zanaonyesha wanaume weupe hawapendi mapenzi

    Hapo vip! Kuna utafiti mmoja umefanywa na shirika moja la kimarekani,linasema wanaume weupe hawapendi ngono sana kama wanaume weusi. Wanasema wanaume weupe wanapenda sana kumiliki vitu vizuri kama mali,biashara kubwa,technology,utawala ,magari mzuri,majumba ya kifahari n.k Wanasema ndio maana...
  2. REDETI tupeni Tafiti za kupaisha Wagombea wa CCM

    Mmesahau wajibu wenu wa kusifu Wagombea wetu CCM kipindi cha Uchaguzi kwa asilimia (%). Mnakwama wapi?
  3. Tafiti isiyo rasmi inaonesha kwamba wanawake wenye nyusi nyingi juu ya jicho wanapenda kufanya mapenzi sana (high sex drive a.k.a libido)

    Copy code; Photo by: AI
  4. Tafiti Zinaonyesha 75% ya Matajiri Tanzania ni Wajasiliamali

    📊 TAFITI ZINAONESHA! ✅ 75% ni Wajasiriamali ✅ 15% ni Wawekezaji ✅ 7% ni Wanamichezo ✅ 3% ni Wasanii ❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tu 👉 Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia sahihi ya kuelekea kwenye utajiri? Ni wakati wa kuanza kuwekeza, kuanzisha biashara, au kuongeza...
  5. Tafiti: Vijana chini ya miaka 35 huamini zaidi Conspiracy theories

    Utafiti mpya uliofanywa kwa ushirikiano kati yangu na Daniel Stockemer kutoka Chuo Kikuu cha Ottawa, uliotolewa katika jarida la Political Psychology, umeonesha kuwa umri ni miongoni mwa vihisishi vikuu vya kuamini Conspiracy theories — lakini si kwa namna ambayo wengi wangetegemea. Watu walio...
  6. Tafiti ya IMF yashauri Crypto-currency kutotumika kama fedha halali (Legal tender)

    Utafiti wa IMF kuhusu Malipo ya Kidigitali - Sub Saharan Afrika, imeshauri kutotumia Crypto Currency kama fedha halali ya malipo. Suala hili linakuja wakati ambapo duniani Crypto Currency zinaongezeka kila uchao na baadhi ya nchi zikiwa zinaitumia fedha hizo kwa malipo ya kawaida. Suala la...
  7. TAFITI: Wanaume walio single wanafanikiwa haraka

    Utafiti mpya unaonesha wanaume wengi walio chini ya umri wa miaka 30 ni Hawako kwenye mahusiano ya kimapenz na wengi hawatafuti kabisa,na kwa sasa wanaume wengi wanaishi bila shinikizo la mahusiano wala ndoa sasa kutokana na hilo wanasaikolojia wanasema mwanaume anapokuwa single anapata muda...
  8. Tafiti: Matumizi ya fedha taslimu yanasababisha mfumko wa bei

    Utafiti uliochapishwa katika Jarida la Advanced Research in Economics and Business Strategy umeonesha matumizi ya fedha taslim yanaathiri jamii katika mipango ya kuunda bei na kusababisha mfumuko wa bei. Utafiti huo uliofanywa na Francis Nyonzo, Mchumi ambaye pia alikuwa mshiriki wa moja ya...
  9. Tafiti mpya yabainisha ubora wa kinywaji kijulikanacho kama mbege!

    -UTAFITI UNAPINGWA NA UTAFITI-- Utafiti mpya uliofanyika nchini Tanzania na kuchapishwa na jarida kubwa la Nature Medicine la nchini Uingereza, umebaini kuwa lishe ya asili ya Kiafrika ina faida kubwa kwa afya ya binadamu ikilinganishwa na lishe ya Kimagharibi. Utafiti huo uliofanywa na...
  10. Tafiti Zinaonesha,Nzi Watakuwa Wanatengeneza Asali Kama Nyuki Ifikapo Mwaka 2400

    Kutoka kwa nzi ambao wamejulikana kwa kusambaza magonjwa na kuwa kero kubwa kwa jamii, hadi kuwa viumbe wanaozalisha asali,hili linaweza kuwa mabadiliko yasiyoweza kuaminiwa, lakini tafiti za kisasa zinatoa dalili za mabadiliko makubwa ya kijenetiki. Ikiwa mabadiliko haya yataendelea, je, dunia...
  11. A

    PreGE2025 Tafiti zangu wabunge rahisi kurudi/ ngumu kurudi bungeni 2025-2030

    Wadau mambo? Naomba twendeni kwenye mada. Shughuli zangu zinanipa fursa kufika mikoa na wilaya mbalimbali za nchi yetu ya Tanzania. Na katika kufika huko niliamua kufanya UTAFITI WA KAWAIDA kuhusu wabunge wa majimbo ambao ni ngumu kurudi bungeni 2025-2030 na wale ambao kurudi ni mteremko...
  12. Tafiti zaonesha kuwa wanawake wanahitaji usingizi wa kutosha

  13. Tafiti zinaonesha vijana wengi wa Africa hawajitambui

    Ni tafiti tu sijui za kweli au ni figisu tu za kutudhoofisha waafrica
  14. Dkt. Abbas afanya ziara TAFORI, ahamasisha watafiti kufanya tafiti za kimaendeleo

    Na Mwandhishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amewahamisisha Wataalamu wa utafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), kuandaa miradi mbalimbali ya utafiti yenye kuleta maendeleo chanya ndani ya Taasisi na katika sekta ya Misitu na ufugaji...
  15. M

    Nilichogundua katika tafiti wangu kuhusu kinachoendelea chadema

    Baada ya kumsikiliza Lissu ktk mahojiano yake ya vybombo vya habari kabla na baada ya kuchukua fomu na kurudisha. Pia baada ya kumsikiliza Mbowe , Nimepitia faceboook, twitter ambayo X ya sasa, instagram, Jf kwa account maarufu za kisiasa, na mijadala mbali mbali Nimdgundua yafuatayo Wengi...
  16. Ofa ya kuchapisha (publish) maandiko ya tafiti kwenye jarida la nishati bure kabisa (MDPI)

    Habari marafiki, Nimepewa ofa ya kupublish tafiti (papers) kwenye Journal ya Energies ya MDPI bure kabisa (free of chaji) katika topic zifuatazo: 1. Natural Gas Resources and Exploration 2. Natural Gas Reservoirs 3. Natural Gas Drilling Technologies 4. Natural Gas Processing and Optimization...
  17. Mwani kutumika kama tiba, kuna utafiti wowote kuthibisha hilo?

    Mwani (sea moss) ni mojawapo ya mimea inayoota baharini na inalimwa sana zanzibar na mafia. Nimeona kutoka sehemu mbalimbali wauza dawa mbadala wakiusifia mwani kutibu magonjwa mengi na kuwa chanzo kizuri cha madini joto. Napata kigugumizi akilini kuamini bila kuwepo kwa tafiti kuthibitisha...
  18. Tafiti za vyuo vikuu huishia wapi?

    Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo, afya, elimu, uongozi, kisiasa n.k). Je, matokeo ya utekelezaji wa tafiti hizo nani anafuatilia...
  19. Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia!

    Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia! Nina furaha kubwa kushiriki kwamba nimepokea cheti cha kuthamini mchango wangu kama mtoa tathmini wa tafiti (peer reviewer) kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia. Hii ni hatua kubwa na...
  20. Uzi wa tafiti na Saikolojia

    Saikolojia: Mtu akikutukana, kubaliana nae. Itamfanya ashindwe kuendelea kufanya hivyo! Mfano: 'Una sura mbaya' Jibu: Ndio, najua!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…