Kumkamata Lisu, kumdhalilisha na kisha kumtengenezea kesi ya uhaini kwa sababu tu Tundu Lisu anapigania haki ya Watanzania wote, wakiwemo wanaCCM, na wasio na vyama, ili wakati wa uchaguzi kila anayetangazwa kuwa amechaguliwa kuwa kiongozi, awe amechaguliwa kweli, na ili watu wasiumizwe...