Watoto watano wamepoteza maisha kwa tukio la moto lililotokea katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Igambilo, kilichopo Kata ya Misha, Manispaa ya Tabora, usiku wa kuamkia siku ya Jumanne.
Watoto hao walikuwa ndani ya bweni lao la kulala wakati moto ulipozuka na kuliteketeza kabisa, huku...