Kufuatia kuripotiwa kwa matukio ya kuuawa na kuporwa kwa pikipiki za maafisa usafirishaji (bodaboda) mkoani Tabora, Umoja wa Maafisa hao (UMUTA) mkoani humo umelaani vitendo hivyo huku wakiviomba vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua madhubuti kudhibiti hali hiyo.
Akizungumza na waandishi...
Mechi ya Simba dhidi ya Tabora United inachezwa uwanja wa General Isamuhyo
=====
Timu ya Simba imeichapa TRAUnited magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na hivyo kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kukimbizana na Yanga (inaongoza ligi, pointi 38...
Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Mkoa wa Tabora limeiomba Serikali kuruhusu kuendelea kwa mkutano wa injili unaotarajiwa kufanyika kuanzia Machi 19 hadi 22, 2026 ukiongozwa na Mchungaji Dkt. Dana Morey kutoka Marekani.
Ombi hilo limekuja baada ya Serikali ya mkoa kusitisha...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amesitisha mkutano wa injili uliotarajiwa kuanza Machi 19 hadi Machi 22 mwaka huu na Mchungaji Dana Morey kutoka nchini Marekani, baada ya kubaini kuwepo kwa viashiria vinavyodaiwa kuhusishwa na mapenzi ya jinsia moja.
Akizungumza na waandishi wa habari...
Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New Model.
Hatua hii imekuja kama ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa marehemu Kanumba katika kukuza...
Mimi kama mtumishi wa umma katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tabora, nalazimika kuripoti kero inayotusumbua baadhi ya walimu tulioshiriki zoezi la usajili wa wanafunzi mwezi Novemba 2025.
Baada ya usajili, tulianza kufundisha kwa wiki kadhaa, tukibeba jukumu la kuhakikisha wanafunzi wapya...
Habarini,
Je Kuna mtu ana ufahamu wa mabasi ya kutoka Mbeya kwenda Tabora? Je ni safari ya muda gani kama tukianza asubuhi?Barabara ni Rafiki au?
Ahsante
Huku Tabora kuna watu wanajitambulisha kuwa ni Warwanda na wanapaspoti za Rwanda wanauza hayo madongo kwenye picha wakidanganya watu kuwa ni makaa ya mawe.
Wanauza hayo madongo Matano kwa Tsh 5,000, mamlaka ziwafuatilie kwa haraka.
Anonymous
Thread
feki
jirani
makaa
makaa ya mawe
mawe
nchi
nchi jirani
raia
tabora
Alipewa kwa sababu baba yake alinya kazi na Magu pale Nyanza.
Awamu ya sita ikamtumbua sijui kwa sababu gani.
Akamburuta Rais Samia na serikali yake mahakamani.
Alikuwa rapa wa CCM!
Yupo wapi? Mbona kimya? Alishinda kesi?
Mfanyabiashara Nassor Hamdan Seif, Maarufu kama Mzee NBS, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam
Mwili wa Marehemu Mzee NBS utasafirishwa kuelekea Tabora kwa Mazishi yake.
Apumzike kwa Amani
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali imetoa Shilingi Milioni 675 kutekeleza mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kituo cha Afya Mailimoja cha Manispaa ya Tabora, ili kuboresha huduma za utoaji tiba kwa wananchi zaidi 45,107 wa kata ya Ipuli katika...
Kwa muda sasa hatupatiwi call allowance,, Extra duty allowance hali inayopelekea kukosa morali ya kazi.
Mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi wa 10/2025 nayo hayo malipo yalikuwa ya extra duty na call allowance za mwezi wa 03/2025.
Hivyo hadi sasa tunadai extra na call allowance za miezi...
Binti aliyejulikana kwa jina la Tatu Mgeta (23), mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College, amefariki dunia huku dereva wa bodaboda akijeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea wakati walipokuwa wamepakizana kuelekea chuoni,kugongana na treni ya abiria iliyokuwa ikitokea mkoani Tabora kuelekea...
Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imeanza zoezi la kulipa fidia ya Shilingi bn 3.66 kwa wananchi 2,471 wa Mikoa ya Simiyu ,Mwanza, Shinyanga na Tabora, ambao maeneo yao yametwaliwa kupisha Umeme wa msongo mkubwa utakaotumika katika mradi wa SGR kipande cha 5 (Isaka-Mwanza)...
Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya..
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha...
Mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi- Tabora imesema hali ya ukavu iliyojitokeza kwa wiki mbili katika mkoa wa Tabora ni mabadiliko ya kawaida ya hali ya hewa ambayo hutokea katikati ya msimu wa masika. Akizungumza na CG FM Menena wa mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi Tabora...
Kandarasi wa Mkoa wa Tabora aliyefanya ubadhilifu wa zaidi ya 100ml akumbwa na kadhia kubwa ya aibu na adhabu kali baada ya kushtukizwa na mamlaka za ukaguzi wa miradi nakupelekea kupewa adhabu kali na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh Paulo Chacha kwa makosa ya ubadhilifu wa fedha za mradi wa soko...
Kituo kipya cha abiria katika Uwanja wa Ndege wa Tabora kimekamilika kwa asilimia 98 na kimekusudiwa kuanza kufanya kazi, ikiwa ni maendeleo muhimu katika miundombinu ya usafirishaji wa mkoa.
Waziri wa Usafirishaji Prof. Makame Mbarawa alikagua na kutembelea kituo hicho, akionyesha kuridhishwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewakamata na kuwashikilia watu watano kwa tuhuma za kupanga njama za kuleta vurugu ikiwemo kuchoma moto vituo vya mafuta, vituo vya mabasi, ofisi za CCM na nyumba za watumishi wa serikali mkoani humo siku ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025.
Taarifa hiyo...
Maafisa wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora wakiongozwa na SACP Richard Abwao, Kamanda wa Polisi mkoani humo wamefanya mazoezi ya kawaida ya mwendo wa pole na haraka katika viunga vya Manispaa ya Tabora yakilenga kujiweka tayari kulinda amani na usalama kwa wananchi hususani kuelekea uchaguzi mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.