Salaam Wadau?
Katika maisha yetu tunajikuta tunafanya matendo mbalimbali kila siku. Kuna namna fulani unaweza kujikuta wewe ni kijana lakini baadhi ya matendo yake ukijitafakari unaona kabisa hayaendani na umri wako.
Kwa upande wangu najikuta mtu mzima kwa kupenda nyimbo za Wazee wa zamani...