taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ushawahi jiuliza kwa nini taasisi za Bank tunaziamini kutuwekea/hifadhia mahela yetu, ila huduma ndogo tu kama kuchimba dawa hawawezi kukupatia!?

    Hallo wana JF!? Ulishawahi patwa na dharura ya kutaka kuchimba dawa pindi uwapo Bank unataka Ku deposit muamala wako!? Je! Kuna Bank yoyote iliyowahi kukupa hii huduma hata kama wewe ni VIP wao!? Kingine, kinachoniudhi, ni pale unaweza ukawa upo Bank, unapigiwa na mtu ambaye mnataka ku...
  2. JamiiForums Tanzania Unavyoweza kuuza siri zako/za taasisi yako kwa mifumo iliyomo kwenye simu yako.

    Dondoo chache muhimu unazopaswa kuzielewa; Utafutaji Mtandaoni: Software za AI zinatumia bots maalumu zinazopitia tovuti mbalimbali duniani ili kukusanya taarifa zinazohitajika. Bots hizi huchambua maandishi, picha, video na sauti zilizopo kwenye tovuti hizi. Mitandao ya Kijamii: AI hukusanya...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji taasisi ya kufanana na DOGE ile ya Marekani ya Elon Musk; uzembe na matumizi mabovu ya rasilimali hapa nchini unaenda ukikithiri

    Wanamjengo, Kuna matukio makubwa Trump kafanya leo terehe 21 March, kwa kusaini executive order ya kuvunja Department of Education na pia kutangaza kupunguza idadi ya wafanyakazi wa idara ya Small Businesses Administration kwa asilimia 40. Sera hizo mbili zina mchagizo wa kazi nzuri...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu (BoT) Arusha nani anailinda hii taasisi inayoitwa IVOJ inayotoa mikopo maeneo ya Kilombero!

    Kuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja...
  5. JamiiForums Tanzania Nini tofauti ya Muhimbili na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete

    Haya majina mawili yachanganya watu, huenda kupitia hapa wengi wanaweza kujifunza jambo. Kwamfano nimeiona hii👇
  6. JamiiForums Tanzania Taasisi za mikopo ESS

    Hivi naruhusiwa kuchukua mkopo kwa taasisi yoyote iliyoko ESS hata kama mkoani kwangu hakuna tawi lao?
  7. JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

    Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha. Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji. Najua mnajua namna gani nchi hii...
  8. JamiiForums Tanzania Watoto 13 wafanyiwa upasuaji wa Kunyoosha Kibiongo katika Taasisi ya MOI

    Dkt. Bryson Mcharo, Daktari bingwa wa mifupa kwa watoto- MOI Taasisi ya Tiba ya Mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha kibiongo ambapo watoto 13 wamefanyiwa upasuaji huo kwa mafanikio makubwa. Kaimu Mkurugenziu Mtendaji wa MOI, Dkt. Laurent Lemeri...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Taasisi zinazohitaji tujaze fomu za karatasi taarifa zetu nyeti za NIDA ni hatari, taarifa zinaweza Kutumika kwenye utapeli, wizi, kuomba mikopo, n.k.

    Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA. Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
  10. JamiiForums Tanzania Taasisi ya ZAMHSO yatembelea Iringa Girls, yaelezea kuguswa na ushirikiano wanaopata wenye mahitaji maalum

    Sisi Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO)Tulipata nafasi ya kutembelea Iringa Girls, shule ya mjumuisho inayowakaribisha Wanafunzi wa kawaida na wale wenye mahitaji maalum. Ni jambo la kuvutia kuona jinsi shule hii inavyokuza usawa na mshikamano kupitia elimu. Wakati wa kutoa...
  11. JamiiForums Tanzania Elon Musk awa mbogo kwa watumishi wakaidi wa serikali kukaidi kumtumia kwa email taarifa zao za kila wiki kuhusu kazi zao!

    Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha! Taasisi zilizokaidi amri yake ni pamoja Pentagon, FBI na State Department(Ofisi ya mambo ya nje) ambao...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

    Habari wadau, Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi? Naomba muongozo wenu natanguliza shukrani
  13. JamiiForums Tanzania TAASISI ZA UMMA ZENYE MASLAHI

    Habari za wakuu, Naomba niende kwenye mada moja kwa moja tunafahamu kwamba taasisi hizi zipo vizuri kwenye maslahi je ni wapi kuna maslahi zaidi ikiwa mtumishi anataka kuhamia huko. TBS, NSSF, TMDA, EWURA, MSD, WCF, TPDC, TIRA Maslahi zaidi ya posho na safari kidogo. Naomba msinishambulie kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili Tanzania Aviation Authority

    Hamjambo humu? Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali. Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected. Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
  15. JamiiForums Tanzania M23 yazitaka taasisi za kiserikali kuendelea kutoa huduma

    Jeshi la M23(siliiti kundi tena, kwa walivyofanya, wana hadhi ya kuitwa wanajeshi), huko Kivu kusini, limezitaka taasisi zote za kiserikali kuendelea kutoa huduma kama kawaida. Kuna taasisi ambazo, wafanyakazi walikimbia na kwenda mikoa au nchi jirani, wengine wakienda Kinshasa jijini. Baada tu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wengi wa taasisi hawana busara ya kuongoza watumishi wa Umma

    Mimi ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini wapo baadhi ya ndugu zangu ambao ni watumishi wa umma katika taasisi mbalimbali. Malalamiko ya ndugu zangu kuhusu namna ambayo viongozi wao wa taasisi wanavyowafanyia yanafanana karibu kila taasisi. Viongozi wanafanyia kazi habari za...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Taasisi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Zinafanya Vizuri sana na Kufanikiwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amesema ya Kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Uanzishwaji wa taasisi ya kusaidia jamii

    Niko kwenye prosses za kusajili taasisi ya kusaidia jamii hasa wanafunzi na vijana walioko kwenye mazingira magumu. Taasisi hiyo itaitwa NOVA INUA ORGANIZATION (NIO) yenye lengo la kusomesha wanafunzi na kuwapatia mahitaji muhumu na kuendeleza ustawi wa jamii kwa kutoa elimu ya afya bora na...
  19. JamiiForums Tanzania Mbozi: Taasisi za elimu zahimizwa ubunifu wa miradi ya maendeleo ili kujiendesha

    Viongozi wa Taasisi za Elimu wakiwemo Wakuu wa Shule, wilayani Mbozi, wametakiwa kuwa wabunifu wa miradi ya kimaendeleo, katika maeneo yao ya shule, hali ambayo itawasiaidia wanafunzi kujifunza stadi za maisha pamoja na kuwapatia kipato ambacho kitasaidia kuendesha shughuli za shule ikiwemo...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?

    Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati? Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…