taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Kailima: Taasisi na asasi zitoe elimu ya mpiga kura kwa weledi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imezitaka taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi na weledi. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndugu. Kailima...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uwajibikaji wa taasisi zinazohudumia wananchi; Je, wanafanya inavyotakiwa?

    Ni miezi 6 sasa nafuatilia usajili wa kikundi chetu kwa mkuu wa wilaya ya kinondoni chini ya wizara ya mambo ya ndani. Kila nikienda nipate majibu wananiambia taarifa zetu hazijarudi na hawajui ni lini zitarudi tumeamua kusajili kwa njia ya mtandao online tumelipia elfu 50 ya fomu ya huduma ni...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Desemba 2024 Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) hatujapewa Vyeti wala AVN Number

    Chuo cha Taasisi ya elimu ya watu wazima (IAE) kimekuwa na changamoto ya kuto kutoa AVN Number kwa wahitimu wake toka Mwaka wa masomo 2023/2024 na hakuna majibu mazuri yanayotelewa wakiulizwa.
  4. JamiiForums Tanzania WASOMI HAPA VIPI? WALE WAJUVI WA LUGHA KAOMBENI KAZI HESLB; kwa haya makosa ya kawaida ni wazi Taasisi haipo serious.

    No greetings kwa Leo, Nina hasira sana! Nadhani dhana ya utumishi wa umma iendane na uwezo. Unaweza ukasema ni kosa dogo lakini Kuna watu wamepewa madeni yasiyo Yao kwa uzembe wa namna hii. Kosa dogo nyuma au mbele yake Kuna kosa kubwa. Hii ni kuhusu image ya Taasisi kufanya makosa ya kawaida...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR

    Wakuu hbr za Leo naombeni msaada mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR kuhusu ajira zake huwa zinatangazwa na kwa degree ya lab technician anaeanza mshahara wake ni kiasi gan
  6. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR

    Hbr za Leo wakuu naombeni msaada mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR kuhusu ajira zake huwa zinatangazwa ? Na vip kuhusu mishahara kwa upande wa degree ya lab technician anaeanza?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa X kwenda mkoa Y ndani ya taasisi moja

    Mimi ni mwajiriwa kwenye taasisi X na nimepangwa mkoa ambao mazingira yake sio mazuri kuendana na afya yangu. Nataka niombe kuhama kwenda mkoa Y. Je, inawezekana ikiwa bado sijathibitishwa kazini? Na nifanye nini ili uhamisho wangu uweze kukubalika?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ili tukubali uongo wa Polepole, CCM, INEC, NIDA jitokezeni hadharani

    Rungu la Polepole limerushwa na kuangukia CCM, NIDA na INEC. Kwamba watatu hawa ndio wapindishaji wa haki na maamuzi ya watanzania kwa viongozi wanaowataka kupitia sanduku la kura. Baada ya madai haya ya Polepole, mapema tu ukaanza mtifuano na majibizano humu. Wapo wanaopinga hoja za Polepole...
  9. JamiiForums Tanzania Ethiopia Wanasiasa Marafuku PhD Za Heshima

    Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa Mwongozo mpya unaopiga marufuku Viongozi wa Serikali na viongozi wa Kisiasa nchini humo kutunukiwa Shahada za Heshima (Honorary Doctorate). Agizo hilo ambalo limetiwa saini na Waziri wa Elimu Nchini Ethiopia Profesa Berhanu Nega kuwasilishwa kwa Vyuo vikuu...
  10. JamiiForums Tanzania Vyovyote vile, yakitokea Mabadiliko nchini, hatuna budi kuziunda upya Taasisi zifuatazo ili kuliokoa Taifa na Watu wake

    Kwa mahali tulipofika Tanzania, haijalishi hili litafanikiwa mwaka gani, ila kwa uozo uliopo kwenye hili Taifa na mifumo yake endapo mabadiliko yakitokea, iwe kwa njia halali au zisizo halali, baada ya kuipatia nchi Katiba Mpya, hatuna budi kuzifanyia mabadiliko na kuziunda upya kabisa Taasisi...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Rais ni taasisi, tuheshimu ofisi ya urais

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, sio lazima apendwe na kila mtu — hiyo ni kawaida katika uongozi. Lakini ni LAZIMA aheshimiwe na kila raia bila kujali tofauti za kisiasa, kiimani au mitazamo ya kijamii. Kuongezeka kwa lugha za matusi, kejeli na dhihaka dhidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania DAWASA yawa mfano kwa Taasisi za Umma kuhusu Mawasiliano

    Leo nilitembekea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) Kinondoni, nikakuta wameweka Bango kubwa lenye majina na namba za Viongozi. Hii si kawaida, kukuta majina ya Viongizi yamewekwa wazi na namba zao za simu. Nashauri hata taasisi nyingine zifanye hivi ili kiondoa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shirika la Uwakala Wa Meli Tanzania (TASAC) kutangaza ajira mpya bila ya kuwarudisha baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake sio sawa

    Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Kanuni ya usawa si kanuni ya kimaumbile, kanuni hii haiwezi kutumika katika Taasisi yoyote ile

    Salam! Kila Taasisi Lazima kuwepo na Mgawanyo wa Madaraka na Mgawanyo wa Majukumu ndani ya Taasisi Hiyo. Yaani Lazima Kuwepo na Bosi Mwenye Mamlaka Ya Juu na Kuwepo na Wafanyakazi Wenye Mamlaka ya chini au ya kati na wenye Mishahara tofauti kabisa. Hili Jambo ndio linafanya Taasisi zote...
  15. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma tupeane ushauri kuhusu mikopo inayotolewa na Taasisi mbali mbali za kifedha

    Moja kwa moja kwenye mada. Leo ni mapumziko nikaamua kuzurula kwenye akaunti yangu ya ESS(Watumishi Portal). Kilichonishtua hadi kuandika mada hii ni kitu kinaitwa "Processing Fee" baada ya kuona ni Tsh871,053.93/= wakati mkopo unaombwa kwenye mfumo. Na gharama zingine kama bima ni kubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) watembelea Taasisi ya Mwenza ya Madagascar

    Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) wakiongozwa na Meneja wa Masoko ya Kikanda, Bi. Nabila Hemed wametembelea Bohari Kuu ya Dawa ya Madagascar (SALAMA) na kuzungumza na uongozi wa bohari hiyo, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Claude Eric Ramanantoanina kuhusu njia bora za kuimarisha...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Taasisi za Serikali hazilipi tena pesa ya likizo kwa watumishi wake

    Heshima yenu wakuu , Rejea kichwa cha habari hapo ,kuna hili jambo limekua sana kwa sasa ,tangu baadhi ya Taasisi kupokea barua ya kufutwa kwa pesa ya likizo maarufu kama mshahara wa 13 kwa mwaka ..Basi na pesa ya nauli ya likizo hawalipi tena . Kulingana na mwongozo wa serikali ni lazima...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa ndo watanzania Elimu yao haijaleta Impact yoyote katika nchi wala katika taasisi walizoziongoza

    Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF. Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania . Prof Tibaijuka ...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kwamba kazi za IT / Computer serikalini wana muda mwingi sana wa kupumzika bila kazi ?

    Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri. Yani wakishaseti Server, Database na Network kinachobaki huwa ni kutazama kila kitu kinaenda...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo inayotolewa na taasisi za fedha rate margin wanaitolea wapi?

    1. Je, wanajiwekea tu? 2. Au wanapewa na BoT 3. Ikiwa BoT ndio wanatoa hizi rates, serikali haioni umuhimu wa kupunguza hizo riba. Karibuni Kwa mjadala GTs
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…