Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, sio lazima apendwe na kila mtu — hiyo ni kawaida katika uongozi. Lakini ni LAZIMA aheshimiwe na kila raia bila kujali tofauti za kisiasa, kiimani au mitazamo ya kijamii.
Kuongezeka kwa lugha za matusi, kejeli na dhihaka dhidi ya...