taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania imetolewa kwenye taarifa ya habari ya nje

    https://www.facebook.com/share/r/1BykRQbp9J/ Dah hadi huku wamejuaje?? Kumbe fisiem imeingia madarakani tokea 1977 hadi naleo .
  2. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

    Ndugu zangu Watanzania, Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya...
  3. JamiiForums Tanzania Simbaya: UTPC tunashirikiana na JamiiAfrica kutoa elimu ya uhakiki wa taarifa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya amesema kuelekea katika Uchaguzi Mkuu 2025, taasisi yao imekuwa ikishirikiana na Wadau mbalimbali kutoa elimu ya masuala taarifa potofu ili kuhakikisha Jamii inapata taarifa sahihi na kuwasaidia kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Haya fuatilieni haraka tayari Basi la KIDINILO limeshaleta Maafa huko Ubena Zomozi na nasikia kuna Taarifa si nzuri

    Tukisema kutwa hapa kuwa Wakagueni vizuri Madereva kama hawavuti Bangi na Mabasi yao yako Imara hamtuelewi tu.
  5. JamiiForums Tanzania Sativa: Bila video kusambaa mtandaoni mngekaa kimya na hii taarifa ili mfanye vile mnafanyaga siku zote?

    Anaandika Edgar Mwakalebela (Sativa) kupitia ukurasa wake wa X: Kwamba bila video kusambaa mtandaoni mngekaa kimya na hii taarifa ili mfanye vile mnafanyaga siku zote kwasababu waliofanya huu ukatili ni WATUMISHI WENZENU WA SERIKALI. Tunaongozwa na WATU waliojaa Damu Za watanzania wasio na...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa mikoa taarifa zenu zitaje pia changamoto zilizopo

    Tangu juzi tumeona Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali ikiwaleta Wakuu wa Mikoa kueleza kilichofanyika katika mikoa yao katika kipindi cha miaka minne ya uongozi uliopo madarakani. Ni wazi kuwa katika kila mafanikio changamoto hazikosekani. Sasa mimi hupenda kufuatilia mawasilisho hayo, lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Nataka kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa: Mwenye taarifa jinsi ya kufika na gharama zake!

    Kwema? Likizo yangu inakuja mwezi wa nane. Nilipenda nitembelee Morogoro, Milima ya Udzungwa. Nilishawahi kupaona nilivyokua naenda Ifakara, lakini sina taarifa za taratibu na gharama za kuingia izo Hifadhi. Mwenye msaada zaidi itapendeza. Itakua ni day trip, sitalala.
  8. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yafafanua kuhusu Wanafunzi waomba mikopo wanaokwama kujaza taarifa za NaPA

    Mwanachama wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa Jukwaa la Elimu (Education Forum) aliandika “Kipengele kipya cha Anuani ya Makazi (NaPA) katika Fomu ya Mkopo wa HESLB hakieleweki kwa Watendaji wengi, HESLB itoe elimu” Mwanachama huyo alidai kuwa uombaji wa mkopo wa Chuo kuna kipengele kipya cha...
  9. JamiiForums Tanzania Nuzulack Dausen: Kabla ya kusambaza taarifa, hakikisha inatoka kwenye chanzo sahihi

    Mkurugenzi mtendaji wa Nukta Africa Nuzulack Dausen anatukumbusha umuhimu wa kuthibitisha Taarifa tunazokutana nazo ndani na nje ya mtandao kwani kutatuwezesha kufanya Maamuzi Sahihi kutokana na Taarifa Sahihi. Unapokutana na Taarifa unayohitaji kupata msaada wa Uthibitishaji iwasilishe katika...
  10. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuandika taarifa za uongo gesti

  11. JamiiForums Tanzania Wakuu hili taarifa ya ajali iliyotokea mpakani mwa wilaya ya kiteto na kongwa ina ukweli gani?

    Good morning! Jana usiki nilipewa taarifa ya ajali iliyotokea kwenye maeneo ya mpakani mwa wilaya ya kiteto (manyara na )na wilaya ya Kongwa. Inasemekana gari lile lilikuwa linaelekea mkoani Dar es salaam ambapo lilipinduka na kuwaua watu watano palepale na baadhi yao kujeruhiwa. Sasa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna Taarifa zinasema Chaz Lee amekamatwa naomba uongozi wafatilie hizi taarifa kama ni sahihi.

    Chaz Lee inasemekana amekamatwa . Naomba uongozi wa JF ufatilie hili swala. Sehemu za kufatilia ni kwa Malisa GJ n.k
  13. JamiiForums Tanzania Makachero wa jf tukutane hapa. Je Rusia kua na taarifa za mashambulizi ya marekani uko Iran. Ni kudorola kwa ufanisi wa FBI na CIA?

    Bila kubeza ubora wa idara za ki usalama za Rusia toka kipindi cha Coldwar, ikasemekana KGB ndo shirika tishio kwa intelengnce kwa kipindi icho ikafatiwa na wana wa malkia MI6 , CIA walikua wanapata taarifa kutoka kwao, na japo kwa ishikiano wote ila bado walikua wana salimu amri kwa ubora wa...
  14. JamiiForums Tanzania Trump akanusha taarifa za kijasusi kuwa mashambulizi hayakuharibu mpango wa nyuklia wa Iran

    Rais wa Marekani Donald Trump amejibu ripoti kuhusu tathmini iliyovuja ya kijasusi juu ya shambulizi la Marekani dhidi ya Iran. Akichapisha ujumbe kwenye jukwaa la Truth Social, Trump alivisuta vyombo vya habari vya Marekani na taarifa zao. "TAARIFA ZA UWONGO CNN, PAMOJA NA NEW YORK TIMES...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi zijifunze kwa Simba kulinda kuvuja kwa Taarifa Nyeti

    Hadi sasa hakuna anayejua kama Simba italeta timu uwanjani kesho tarehe 25 June pale kwa Mkapa. Jamaa wapo vema sana kwenye kulinda taarifa. Hata MOSAD wasingepata taarifa kama Simba itacheza au haichezi
  16. JamiiForums Tanzania MCT: Wadau wa kukabiliana na taarifa potishi kama wanavyofanya JamiiAfrica wanahitajika

    Akizungumzia umuhimu wa kuwa na Watu wanaohusika na suala la uhakiki wa taarifa, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura amesema “Uwepo wa Wadau kama JamiiAfrica unahitajika kutumika kusaidia kutoa elimu ya Uhakiki wa Taarifa kama ambavyo wamekuwa wakifanya (kupitia...
  17. JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka IDF (Israel defence forces)

    Hii ndio the latest report kutoka IDF.
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa ya hali ya utoaji wa Huduma katika Taasisi ya MOI kwa kipindi cha Februari 2025 hadi Mei 2025

  19. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA fanyieni kazi taarifa za kiinteligensia mnazopenyezewa, sio kulalamika mitandaoni tu

    Mtu wenu ametekwa, jeshi la polisi limekana kuwa hawahusiki. Mpaka hapo ina maana yeyote anayemshikilia mtu wenu ni jambazi kama jambazi mwingine yoyote, mnayo haki ya kumdhibiti mkimpata. Mmepenyezewa intel kuwa mtu wenu anashikiliwa 'safehouse' ndani ndani huko wilayani Chunya sijui...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tumeona tangazo la Marekani, Tumeanza kufanya Mashauriano

    Kufuatia taarifa ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu la kutaka nchi 36 kutaka kufanyia kazi baadhi ya mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kuzuia raia wa Kitanzania kuzuiwa kuingia Marekani Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema " Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…