Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Agnes Amos Liku, Miaka 35, Mkazi wa Mwanzongumu, Kata ya Msimbu, Wilaya ya Kisarawe kwa kutoa taarifa za uongo kuwa amejifungua mtoto katika Zahanati ya kijiji cha Mwanzongumu kisha mtoto wake kuchukuliwa na Afisa Tabibu asiyefahamika.
Ni, Kwamba...