taarifa za uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    Ni aibu kwa chombo cha habari kama Times FM kutuma taarifa za uongo

    Picha inayosambazwa mtandaoni ikidaiwa kua ni raisi mteule wa senegal enzi hizo akiwa shambani na mke wake. Kwa akili ya wastani tu hata ukiwaangalia hawa ni qatu wawili tofauti. Picha ya kijana anaelima ilitumwa mwaka 2021 katika ukurasa wa facebook wa Zambia report, post hiyo yenye picha...
  2. JamiiCheck

    Yoon Suk Yeol: Taarifa za uongo zinaathiri wananchi kufanya maamuzi sahihi wakati wa uchaguzi

    Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol akiwa katika Mkutano wa Tatu wa Demokrasia uliofanyika Machi 18, 2024 ametoa wito kwa viongozi wote Ulimwenguni kuunga mkono jitihada za kukomesha taarifa potofu Yoon ameeleza Taarifa zisizo za kweli wakati wa Uchaguzi huweza kuathiri mchakato mzima wa...
  3. JamiiCheck

    Hatua za kuchukua unapohisi Taarifa ni Potofu

    Baada ya kukutana na taarifa yoyote unayoitilia shaka, kuna hatua kadhaa unaweza kuchukua ili kujiridhisha uhalali wa taarifa hiyo. Kuchukua hatua za haraka na kutoa habari sahihi ni muhimu ili kuzuia kuenea kwa habari feki au gushi. Hizi ni baadhi ya hatua za kuchukua unapokutana na taarifa au...
  4. Masai wa Town

    Taarifa za uongo kutoka BBC

    Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi...
  5. saidoo25

    Makamba unampa taarifa za uongo Rais kwa faida ya nani?

    Kwa Mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nishati kwa mwaka 2021/2022 nanukuu "Kuendelea na Ujenzi wa Mradi wa Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) MW 2,115 ambao hadi kufikia mwezi Mei, 9 2021 utekelezaji wake kwa ujumla umefikia asilimia 52'" mwisho wa kunukuu. Sasa juzi Januari...
  6. Natty Bongoman

    Taarifa za uongo ni silaha kubwa ya Mzungu tangu enzi

    WENGI wetu hata humu jukwaani wanameza kirahisi sana taarifa za habari za uongo na elimu za uongo, espesheli, historia. Ili mradi zimeletwa na mzungu... afu Cha kusikitisha, ndo wanakuwa wabishi wakubwa. Historia za uongo wa mzungu tunazijua sana sana, ila sielewi kwa nini kila kukicha akatoa...
  7. beth

    Urusi: Wanaosambaza taarifa za uongo kuhusu Jeshi kufungwa hadi miaka 15

    Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine unaweza kusababisha wimbi kubwa la wakimbizi karibu milioni 10 wanaokimbia nchi. Taarifa hiyo imetolewa na msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephane Dujarric, aliyedai watu milioni 4 kati yao wanaweza kuingia katika nchi jirani Kamishna wa Umoja wa Mataifa...
  8. Mshana Jr

    CHADEMA, Jeshi la Polisi na Nipashe; taarifa hizi zilizosambaa mitandaoni zinawahujumu

    Kuna taarifa zilizosambaa mitandaoni leo kuwa zaidi ya Askari 10 wakiwa na silaha za moto walikuwa wamezingira Ofisi za CHADEMA Mbeya ambako kulikuwa na Kikao cha Ndani cha BAWACHA! Taarifa hizi ziliripotiwa na NIPASHE na kusambaa katika mitandao ya kijamii. Ni kawaida yetu kutaka kujiridhisha...
Back
Top Bottom