taarifa za uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Trump aituhumu Iran kutumia AI kusambaza taarifa za uongo kuhusu mgogoro unaoendelea kati yao

    Rais wa Marekani Donald Trump ameishutumu Iran kwa kutumia teknolojia ya akili Unde (AI) kama “silaha ya upotoshaji wa taarifa” ili kupotosha mafanikio yake vitani na kupata uungwaji mkono wa umma. “AI inaweza kuwa hatari sana, hivyo tunapaswa kuwa waangalifu nayo,” Trump aliwaambia waandishi...
  2. Just Pray

    Mmiliki wa Kusaga TV ashikiliwa na Polisi chanzo chadaiwa kuandika taarifa za uongo za kijana aliyebishana na Polisi

    Mwandishi kusaga wa Arusha ashikiliwa na polisi muda huu,chanzo chadaiwa kuandika taarifa za uongo za kijana aliyebishana na polisi Mwandishi wa habari wa alphonce Kusaga mmiliki wa Kusaga TV na mtangazaji wa kituo cha Radio cha Sunrise anashikiliwa kituo kikuu cha polisi Arusha muda huu baada...
  3. N

    Mdau je unafikiri Ai inaweza kuwa njia mbadala ya uhakika kwenye kupambana na taarifa za uongo kwenye jamii?

    Mdau je unafikiri Ai inaweza kuwa njia mbadala ya uhkika kwenye kupambana na taarifa za uongo kwenye jamii? Kumekuwepo na wimbi la kuongezeka kwa taarifa zisizo sahihi kwenye jamii na ukosefu mkubwa wa taarifa sahihi. Je Ai inaweza kuwa suluhisho ili kuhakikisha jamii inabaki salama ? (Picha...
  4. M

    DAR: ‘Polisi wa Mange’ kusomewa maelezo Februari 16, 2026

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Februari 16, 2026 kwa ajili ya upande wa Jamhuri kuwasomea hoja za awali (PH) askari Polisi wawili wanaokabiliwa na mashtaka ya kuchapisha taarifa za uongo katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp wa Mange Kimambi. Hatua hiyo ni baada ya upelelezi wa kesi...
  5. DuaZaMama

    Polisi: Agnes Amos anashikiliwa kwa kutoa taarifa za uongo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Agnes Amos Liku, Miaka 35, Mkazi wa Mwanzongumu, Kata ya Msimbu, Wilaya ya Kisarawe kwa kutoa taarifa za uongo kuwa amejifungua mtoto katika Zahanati ya kijiji cha Mwanzongumu kisha mtoto wake kuchukuliwa na Afisa Tabibu asiyefahamika. Ni, Kwamba...
  6. heartbeats

    PostGE2025 Serikali iifungulie mashtaka CNN kwa uchochezi na kutoa taarifa za uongo

    Wanankumbi mko njema Yule mwanasheria mbobobevu aliejinadi ataenda kumkamata Mange Atatakiwa kuandaa mashtaka ya kwenda kuifungila CiNN kesi kwa kuchafua Taifa linalosadikika halifanyi uovu wa kibinadamu kwa Raia wake, CiNN itabid kutozwa fain ya dolla billioni 10 hii itasaidi kupunguza deni...
  7. Waufukweni

    GE2025 Morogoro: Lucy Shayo afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa tuhuma za kusambaza taarifa za Uongo

    Lucy Simon Shayo amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro asubuhi hii. Lucy Shayo anatuhumiwa na kuchapisha na kisambaza taarifa za uongo mitandaoni kwamba CCM wanatumia magari ya jeshi katika mikutano yao ya kampeni. Kumshikilia mtuhumiwa kwa siku sita bila kumfikisha mahakamani kunazua...
  8. Just Pray

    SI KWELI PreGE2025 Waziri mkuu Kassim Majaliwa ataongea na wanahabari kueleza hatima yake ya kisiasa na uchaguzi mkuu 2025

  9. N

    Humphrey Polepole apuuziwe na taarifa za uongo

    UKWELI KUHUSU KUSIFIWA KUWA TANZANIA NI MOJA YA NCHI YA AMANI NI HUU HAPA. 🇹🇿 Tanzania ni Nchi ya Amani – Ukweli na Takwimu. Kumekuwa na maneno ya kupotosha kwamba sifa za amani za Tanzania “ni maslahi ya mataifa ya nje.” Ukweli ni huu hapa: 1. Global Peace Index 2025 Tanzania imeshika nafasi...
  10. LIKUD

    Madhara ya kuandika taarifa za uongo gesti

  11. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge Deo Sanga kufikishwa kamati ya maadili kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwa wananchi

    MBUNGE wa Jimbo la Makambako, Deo Sanga (Jah People) anatarajiwa kufikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Wilayani Njombe, kufuatia tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwa wananchi. Sanga anatuhumiwa kujinasibu hadharani kuwa ndiye aliyegharamia safari...
  12. Mtunza siri zako

    Taarifa za uongo zinavyoenea haraka mtandaoni - A case of Tundu Lissu na Bunge la Ulaya

    Watu wengi tunafurahia kujadiliwa kwa kesi ya Tundu Lissu Bunge la Ulaya, binafsi nafikiri ni hatua nzuri kwa ajili ya check and balance za uwajibikaji wa Serikali. Ila taarifa hii kwa namna ilivyowasilishwa si kweli na imepotoshwa (nikimaanisha sehemu ya yale yaliyoripotiwa ni kweli na...
  13. Carlos The Jackal

    Kwa hiyo Mrisho Gambo, kuomba kwako MSAMAHA unakiri kua Umetoa Taarifa za Uongo Bungeni zenye chuki na kisasi dhidi ya Makonda na Mchengerwa?.

    Duuhh Gambo Gambo Gambo !!
  14. Carlos The Jackal

    Hizi hapa Taarifa za Uongo Tatu anazotuhumiwa kuzisema Lissu

    Fikiria DPP ,anakaa anashauriana na Polisi ,wanaamua kumkamata MH LISSU na kumpa Kesi za kusema Uongo. Uongo wenyewe Sasa 1-Mh LISSU kusema Wagombea wa Upinzani walienguliwa Kwa maelekezo ya Rais. 2-Mh LISSU kusema Polisi nchini wanatumika Kuiba Kura. 3-MH LISSU kusema Majaji wa Nchi hii ni...
  15. Heparin

    PreGE2025 Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi

    Leo Aprili 10, 2025, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mwanasheria Tundu Lissu amehojiwa kwenye na Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa makosa mawili ya Uhaini na kutoa taarifa za Uongo. Pia Lissu hajatoa maelezo yoyote isipokuwa taarifa zake binafsi pekee. Polisi wamesema watampandisha...
  16. Roving Journalist

    PreGE2025 Wakili Madeleka: Kisutu kuna danadana za kumnyima haki ya dhamana Dkt. Slaa tumeenda Mahakama Kuu

    Jopo la Mawakili wanaomwakilisha Dkt.Wilbrod Slaa kwenye Kesi ya Jinai Namba 993 ya Mwaka 2025 wamewasilisha maombi mawili kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo ombi la kwanza ambalo limesikilizwa leo Januari 23, 2025 walikuwa wanapinga kunyimwa dhamana kwa mteja wao. Katika ombi...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 VIDEO: Dkt. Slaa ndani ya Kizimba cha Mahakama Kuu, akikabiliwa na kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni

    Dkt. Willbroad Slaa tayari amefikishwa kwenye chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza maombi yake aliyowasilisha Mahakamani hapo. Soma, Pia: Dkt. Slaa akosa dhamana, kuendelea kusota rumande hadi Januari 23, Kesi ya kusambaza taarifa za...
  18. W

    Chris Brown kuipeleka Warner Bros. mahakamani kwa kuchapisha taarifa za uongo kwenye Documentary ya "Chris Brown: A History of Violence"

    Mwanamuziki Chris Brown amewasilisha kesi dhidi ya kampuni ya filamu, Warner Bros. Discovery akiidai kampuni hiyo kiasi cha Tshs. Trilioni 1.2, akidai kwamba kampuni hiyo imechapisha taarifa za uongo na zinazomdhalilisha kupitia "Documentary" ya "Chris Brown: A History of Violence" Ni baada...
  19. Mkalukungone Mwamba

    Mkazi wa Mabwepande Kortini kwa utapeli akijifanya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

    Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimbani Mkazi wa Mabwepande Jijini Dar es salaam, Shembiu Shekilaghe (38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na kujifanya yeye ni Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete huku akijua sio kweli. Wakili wa Serikali, Salma Jafari amesema...
  20. Kamanda Asiyechoka

    Aliyekamatwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia ahukumiwa faini Tsh. Milioni 5 au miaka miwili jela

    Kijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Sh5 milioni au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa faini hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni. Hukumu hiyo imetolewa leo Alhamisi Julai 4...
Back
Top Bottom