taarabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waarabu hawana us taarabu hata kidogo huko Judaea & Samaria!!!

    Mwarabu mmoja huko Yudea na Samaria Ana mwaga maji machafu na kinyesi mtoni kwa majivuno na hata kujirekodi akifanya hivyo. "Wapalestina" wanahusika na aina zote za ugaidi. Wanaharibu kila kitu wanachokigusa. Huu ni Ugaidi wa mazingira!!!
  2. haszu

    JamiiForums Tanzania Mambo ya matashtiti, wanaume msione aibu kuimba au kusikiliza taarabu

    Mtaniona hivi hivi, mtaniona.
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hiki nachosikia ndio 'Hotuba ya Kuponya majeraha na kuunganisha taifa" kutoka kwa Rais aliyotuahidi RC Chalamila?

    Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
  4. kyagata

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa taarabu waja na Usiku wa taarabu Kuthamini Mchango wa Rais Samia

    Mkurugenzi wa Chocolate Princes na Muandaaji wa Matamasha ya Taarabu Ndg. Mboni Masimba Akiwa na Mfalme Muziki wa Taarabu Mzee Yusuph Wameongea na Vyombo vya Habari Hapa Ukumbi wa Serena Hoteli jijini Dar Es Salaam. Lengo Kubwa Hasa ilikua ni Kuwajulisha Juu ya Mkesha wa Taarabu, Watu Wote na...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Namna hii huwezi wakuta Mara na viunga vyake. Wapo sana Tanga& Daslam wapenda Taarabu

    Kwa maana hii Dar mambo haya yamebarikiwa na wakazi wake maana hii sio kificho Tena. Bali mambo hadharani kama wanavyosema msondo ngoma. Lakini mkicheka na Nyani siku ya mavuno mtavuna mabua!
  6. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza mpangaji mwenzangu kanikataa halafu ananipigia taarabu

    Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka. Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Muziki wa taarabu ulipotokea hadi kufika Afrika ya Mashariki

    Mwaka 1850 wakazi waliokuwa wakiishi katika pwani ya afrika mashariki kuanzia mto juba nchini Somalia mpaka msumbiji, walikuwa wakiimba mashairi yao yenye kusifu viongozi wao na familia zao. Tukimaanisha kuwa thamani ya muziki au kazi za mziki wenye radha ya pwani ulikuwepo hata kabla ya mwaka...
Back
Top Bottom