syria

  1. Miss Zomboko

    Uturuki kulipiza kisasi kwa Syria baada ya kuua wanajeshi wake

    Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameionya serikali ya Syria kwamba italipa gharama kubwa kutokana na mashambulizi yake dhidi ya majeshi ya Uturuki katika eneo la kaskazini mashariki mwa Syria. Wanajeshi watano wa Uturuki waliuawa katika mji wa Idlib unaodhibitiwa na upinzani siku ya...
  2. FRANC THE GREAT

    Israel yafanya mashambulizi ya anga Damascus nchini Syria

    Shirika la habari la serikali ya Syria, SANA, limeripoti mapema Alhamisi kuwa Israel imeshambulia maeneo kadhaa karibu na mji mkuu Damascus huku shirika hilo likidai kuwa mifumo ya ulinzi wa makombora ya nchi hiyo iliangusha idadi kadhaa ya makombora. Taarifa kutoka SANA ilieleza kuwa...
  3. Analogia Malenga

    Syria: Waasi wauwa wanajeshi 40 wa serikali jimboni Idlib

    Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema waasi nchini Syria wamewauwa wanajeshi 40 wa serikali na kuwajeruhi wengine zaidi ya 80, katika mashambulizi waliyoyafanya katika jimbo la Idlib. Shirika la habari la Urusi, Interfax limenukuu tangazo la wizara hiyo, lililosema kuwa waasi walizikamata kambi...
  4. FRANC THE GREAT

    Missile strike kills eight pro-Iranian militia members on Syria border

    Eight pro-Iran militia have been killed by an airstrike on the border between Iraq and Syria according to reports. Eight pro-Iran militia have been killed by an airstrike on the border between Iraq and Syria according to reports. The eight victims were allegedly apart of the Hashed al-Shaabi...
  5. FRANC THE GREAT

    Putin invites Merkel to Russia over Iran crisis

    The German Chancellor will travel to Russia to meet President Vladimir Putin this coming Saturday. The pair plan to discuss the Iran escalation as well as the conflicts in Ukraine, Libya and Syria. Russian President Vladimir Putin on Monday invited German Chancellor Angela Merkel to Russia...
  6. Nyendo

    Macron kutoa heshima kwa wanajeshi waliouwawa Niger

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa anatarajiwa kusafiri kwenda Niger kwa ajili ya kumbukumbu ya heshma kwa wanajeshi 71 ambao waliuwawa kwa shambilizi la wenye itikadi kali, mapema mwezi huu. Macron atajumuika katika hafla iliyopangwa kufanyika mwishoni mwa juma mjini Niamey ambapo atatoa heshima...
  7. Nyendo

    Misaada inaweza kuingizwa Syria katika maeneo manne ya mipaka

    Katika takribani miaka sita iliyopita Umoja wa Mataifa na makundi mengine ya misaada ya kiutu, umefanikiwa kuvuka mpaka kuingia Syria kutokea Uturuki, Iraq na Jordan, ikiwa ni maeneo manne ambayo yameidhinishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupeleka misaada ya kiutu kwa mamilioni ya...
  8. Nyendo

    Mapigano ya saa 48 yasababisha vifo vya watu 96 Syria

    Mapigano makali yaliyodumu kwa muda wa masaa 48 huko kaskazini Magharibi mwa Syria yamewaua watu 96, kulingana na shirika linalofuatilia haki za binadamu la nchini humo. Shirika hilo limesema vikosi vya serikali vikishirikiana na ndege za kivita za Urusi, vilikabiliana vikali na makundi ya...
  9. FRANC THE GREAT

    Uturuki yasema imemkamata dada wa kiongozi wa IS aliyeuawa, al-Baghdadi

    Uturuki imesema kuwa, imemkamata dada wa kiongozi wa IS aliyeuawa, al-Baghdadi Uturuki imemkamata dada mkubwa wa kiongozi wa Islamic State (IS) aliyeuawa Abu Bakr al-Baghdadi kaskazini magharibi mwa Syria, maafisa wa Uturuki wanasema. Vyombo vya habari, Reuters na AP vilimnukuu ofisa mmoja...
  10. FRANC THE GREAT

    SYRIA: Mapambano yazuka kati ya vikosi vya serikali ya Syria na waasi wanaoungwa mkono na Uturuki

    Mapambano yazuka nchini Syria kati ya vikosi vya serikali ya Syria na waasi wanaoungwa mkono na Uturuki Wanajeshi wa Syria wamekabiliana kwa mara ya kwanza na waasi wanaoungwa mkono na Uturuki wakisaidiwa na mashambulizi ya makombora kaskazini mashariki mwa Syria. Hayo yameelezwa na kundi...
  11. Volatility

    Trump on North eastern Syria oil fields

    “The oil is, you know, so valuable, for many reasons,It fueled ISIS, number one. Number two, it helps the Kurds, because it's basically been taken away from the Kurds. They were able to live with that oil. And number three, it can help us, because we should be able to take some also. And what...
  12. Z

    Assad Has Used Chemical Weapons 106 Times, Claims BBC

    BBC has completed its investigations in Syria, where they have discovered that Syrian President Assad has gassed civilians 106 times. I used to support Assad, lakini kama hii habari ni ya kweli, basi ni vizuri serikali yake ipinduliwe. Marekani, kazi kwako. Ama wewe waonaje? How chemical...
Back
Top Bottom