Uturuki yasema imemkamata dada wa kiongozi wa IS aliyeuawa, al-Baghdadi

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
5,416
7,828
Uturuki imesema kuwa, imemkamata dada wa kiongozi wa IS aliyeuawa, al-Baghdadi

Uturuki imemkamata dada mkubwa wa kiongozi wa Islamic State (IS) aliyeuawa Abu Bakr al-Baghdadi kaskazini magharibi mwa Syria, maafisa wa Uturuki wanasema.

Vyombo vya habari, Reuters na AP vilimnukuu ofisa mmoja akisema kwamba Rasmiya Awad, 65, alipatikana wakati wa shambulio mnamo Novemba 4 karibu na mji uliodhibitiwa na Uturuki wa Azaz, katika mkoa wa Aleppo.

Afisa huyo, ambaye alizungumza kwa sharti la kutokujulikana, alisema Awad alipatikana katika 'trela' ambalo alikuwa akiishi na mmewe, mkwewe, na watoto watano.

Mkurugenzi wa mawasiliano wa Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, Fahrettin Altun, alisifu tukio hilo la kukamatwa kama;

"Mfano mwingine wa kufanikiwa kwa operesheni zetu za kukabiliana na ugaidi."

Hakuna taarifa za kutosha kuhusiana na dada huyo wa Baghdadi.

Kufuatia kifo cha Baghdadi mwezi uliopita, mtu anayeitwa Abu Ibrahim al-Hashemi al-Qurayshi aliteuliwa kama kiongozi mpya wa kundi hilo lenye msimamo mkali mnamo Oktoba 31.

Baghdadi, ambaye alikuwa ameliongoza kundi la IS tangu mwaka 2014, alikufa mnamo Oktoba 26 wakati wa shambulio lililofanywa na vikosi maalumu vya Marekani katika jimbo la kaskazini magharibi mwa Syria la Idlib.

1573028593639.png

Rasmiya Awad.

VOA
Turkey Says It Captured Sister of Slain IS Leader Baghdadi

Turkey
has captured the older sister of slain Islamic State (IS) leader Abu Bakr al-Baghdadi in northwestern Syria, Turkish officials say.

Reuters and AP quoted a senior official as saying that Rasmiya Awad, 65, was found during a raid on Nov. 4 near the Turkish-controlled town of Azaz, in Aleppo province.

The official, who spoke on condition of anonymity, said Awad was found in a trailer where she was living with her husband, daughter-in-law, and five children.

Awad could be an intelligence "gold mine," the official said.

Turkish President Recep Tayyip Erdogan's communications director, Fahrettin Altun, hailed the arrest as "another example of the success of our counterterrorism operations."

Little is known about Baghdadi's sister.

Following Baghdadi's death last month, a person named Abu Ibrahim al-Hashemi al-Qurayshi was named the new leader of the extremist group Oct. 31.

Baghdadi, who had led the IS group since 2014, died Oct. 26 during a U.S. Special Forces raid in Syria's northwestern province of Idlib.

It was not immediately clear who Qurayshi was, since IS commonly identifies its leaders with aliases tied to their tribal affiliation and lineage. Those names often change.

Despite losing control over much of Syria and Iraq from a U.S.-led military operation over the past several years, IS still remains a security threat.

VOA News
 
How can she be an "inteligence gold mine" if little is known about her?

And what crimes is she accused of if little is known about her?

Where are her civil rights?
 
Wao hizo haki za Civil Rights hawawapi wahanga wao sasa iweje wenyewe wapewe? Hawa size yao ni maziko baharini tu maanake sio watu.
 
Uturuki imesema kuwa, imemkamata dada wa kiongozi wa IS aliyeuawa, al-Baghdadi

Uturuki imemkamata dada mkubwa wa kiongozi wa Islamic State (IS) aliyeuawa Abu Bakr al-Baghdadi kaskazini magharibi mwa Syria, maafisa wa Uturuki wanasema.

Vyombo vya habari, Reuters na AP vilimnukuu ofisa mmoja akisema kwamba Rasmiya Awad, 65, alipatikana wakati wa shambulio mnamo Novemba 4 karibu na mji uliodhibitiwa na Uturuki wa Azaz, katika mkoa wa Aleppo.

Afisa huyo, ambaye alizungumza kwa sharti la kutokujulikana, alisema Awad alipatikana katika 'trela' ambalo alikuwa akiishi na mmewe, mkwewe, na watoto watano.

Mkurugenzi wa mawasiliano wa Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, Fahrettin Altun, alisifu tukio hilo la kukamatwa kama;

"Mfano mwingine wa kufanikiwa kwa operesheni zetu za kukabiliana na ugaidi."

Hakuna taarifa za kutosha kuhusiana na dada huyo wa Baghdadi.

Kufuatia kifo cha Baghdadi mwezi uliopita, mtu anayeitwa Abu Ibrahim al-Hashemi al-Qurayshi aliteuliwa kama kiongozi mpya wa kundi hilo lenye msimamo mkali mnamo Oktoba 31.

Baghdadi, ambaye alikuwa ameliongoza kundi la IS tangu mwaka 2014, alikufa mnamo Oktoba 26 wakati wa shambulio lililofanywa na vikosi maalumu vya Marekani katika jimbo la kaskazini magharibi mwa Syria la Idlib.

View attachment 1255392
Rasmiya Awad.

VOA
Turkey Says It Captured Sister of Slain IS Leader Baghdadi

Turkey
has captured the older sister of slain Islamic State (IS) leader Abu Bakr al-Baghdadi in northwestern Syria, Turkish officials say.

Reuters and AP quoted a senior official as saying that Rasmiya Awad, 65, was found during a raid on Nov. 4 near the Turkish-controlled town of Azaz, in Aleppo province.

The official, who spoke on condition of anonymity, said Awad was found in a trailer where she was living with her husband, daughter-in-law, and five children.

Awad could be an intelligence "gold mine," the official said.

Turkish President Recep Tayyip Erdogan's communications director, Fahrettin Altun, hailed the arrest as "another example of the success of our counterterrorism operations."

Little is known about Baghdadi's sister.

Following Baghdadi's death last month, a person named Abu Ibrahim al-Hashemi al-Qurayshi was named the new leader of the extremist group Oct. 31.

Baghdadi, who had led the IS group since 2014, died Oct. 26 during a U.S. Special Forces raid in Syria's northwestern province of Idlib.

It was not immediately clear who Qurayshi was, since IS commonly identifies its leaders with aliases tied to their tribal affiliation and lineage. Those names often change.

Despite losing control over much of Syria and Iraq from a U.S.-led military operation over the past several years, IS still remains a security threat.

VOA News
Kosa la huyo mama ni nini hasa? Kuwa Dada wa gaidi na wewe ni gaidi?
 
Kwani huyo dada anakosa gani?mbona hawasemi,au kuwa Dada wa Gaidi ni kosa.
 
Back
Top Bottom