Assad Has Used Chemical Weapons 106 Times, Claims BBC

Habari kama hii inawezekana ni kweli au ni propaganda za wamagharibi ili apinduliwe(rejea Saddam na silaha za sumu Iraq) muhimu kwa sasa ni kuhakikisha Syria inakuwa na amani ili Wakimbizi warejee waijenge upya nchi yao hayo mambo ya silaha za sumu yatatuliwe baadae na chombo huru ili wahusika waadhibiwe ila amani na utulivu wa nchi vipewe kwanza kipaumbele.
 
Bora TBC kuliko BBC
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom