swali fikirishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Hivi Jeshi lipo kwa ajili ya kulinda wananchi au mtu mmoja?

    Naomba tuijadili hii mada bila mihemuko wala uchawa. Tumeona maelfu ya wananchi wameuwa, na inasemekana kuna hadi wanajeshi wameuawa na polisi, hii yote ni kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja tu. Sasa swali la msingi ni hili; hivi jeshi lipo kwa ajili ya kumlinda rais au wananchi.
  2. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Ni kweli wana-Mbeya ni wasahaulifu kiasi hiki.?

    Wasalaam. Yuko wapi Mdude Nyangali? Ni kweli mmesahau yaliomkuta au mmeamua kujizima data na kuungana na wadhalimu? Au ndo ile slogan kifo ni kifo tuu.?
  3. Bueno

    JamiiForums Tanzania Nina Swali fikirishi nahitaji kupata ufafanuzi kuhusu Wanyama Pori

    Wakuu, naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kidogo kwenye hili. Naomba kueleweshwa kwa mfano Simba wengi namaanisha wengi wakaamua kutoka MBUGANI kwenye Hifadhi ya Wanyamapori wakaingia mjini watu wataokutana na Simba hao wanatakiwa kufanya nini ili wasidhurike?. Naomba hili swali nijibiwe na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Ikiwa tulishindwa kujenga matundu ya vyoo, tutaweza kupata pesa ya uchaguzi kwa pesa za ndani?

    Hellow! Nijuavyo, makusanyo ya ndani yanatosha pekee kulipia mishahara kulipia watumishi wa umma, pesa ya miradi mara nyingi ni mikopo na misaada. Na ukweli huu ndio sababu hata ujenzi wa matundu ya vyoo, wanakijiji wamekuwa wakibanwa wachangie, wengine Hadi wanakamatiwa mifugo Ili ipatikane...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Kwanini chadema wanamjadili Zitto zaidi ya wanavyojadili matumizi ya tone tone?!!!!!

    Hali ipo hivyo kuanzia kule juu mpaka chini, tatizo nini' mbona inashangaza sana?!!!!!!
  6. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: je ni kweli waziri wa fedha yuko juu ya mteule wake?

    Wasalaam. Kuna ushahidi kwamba rais anamlalamikia waziri wa fedha kwa ubadhirifu badala ya kumchukulia hatua. Mawaziri wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibu wa sheria. Wabunge wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibbu wa kanuni za bunge. Hii...
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi; Je, Tanzania imedhibitiwa na Zanzibar?

    Najiuliza hili swali inakuwaje kila sector nyeti nchi hasa ofisi ya Rais imeshikiliwa na mzanzibar? Na ukimkuta mtanganyika anakuwa Hana meno na aamininiki kwa chochote!! Je, Tanzania imethibitiwa na Kama Nyerere alivyokuwa amewadhibiti wazanzibari? Mmeshasikia mtu anatekwa Zanzibar kwanini...
  8. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi, ni kwanini Mbowe anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani?

    Wasalaam Inashangaza sana kuona mtu mzima bwana Mbowe anatumia nguvu kubwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili hali wanaCHADEMA wamemkataa na wanataka mabadiliko ndani ya chama na nchi kwa ujumla. Iko wazi kabisa Mbowe anashirikiana na maCCM kuhakikisha anaendelea kuwa madarakani na kuendelea...
  9. Brojust

    JamiiForums Tanzania SWALI FIKIRISHI KUHUSU ROHO, MWILI NA NAFSI.

    Habari za leo; Ingawa kuna controversial nyingi sana kuhusu mwanzo wa dunia na ulimwengu basi leo nimeamka na swali hili kuhusu wanyama au viumbe wengine. Watu wengi na baadhi ya maandiko ya kisayansi na kiimani husema kwamba binatamu ana sehemu tatu zinzocontrol ubinadamu wake. Ambazo ni...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Barafu ya mlima Kilimanjaro ikiyeyuka yote, je hifadhi ya mlima Kilimanjaro itaendelea kupata watalii wengi?

    Habarini, Kama sikosei takwimu zinasema hifadhi ya mlima Kilimanjaro ndo inayoongoza kwa kuingiza fedha nyingi zaidi za kigeni hapa nchini kuliko hifadhi zingine. Najiuliza hivi zile barafu pale juu zikiisha, ile hifadhi itaendelea kuvutia watalii kweli🤔 Ninaposema barafu, namaanisha glaciers...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Zama za Iddi Amin na kaburu Peter Botha zimerejea Tanzania?

    Kwamba sasa hivi ndugu yako akiitoweka na watu wasiojulikana hautamuona tena au utakutana na maiti yake. Mbona hapa kwetu haya mambo hayakuwepo? Hata kama yalikuwepo sio kama hivi. Style ya special branch ya makaburu. Style ya State research bureau ya Amin.
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi kwenye ajira

    Kwa hizi nchi zinazopigana vita nyakati hizi; Ukraine, Urusi, Israel, Palestina, Lebanon n.k Nyakati hizi, kuna wanaoenda kuomba kazi za jeshi kweli? Je wakileta maombi kwa vijana wa kutoka Afrika waende wakaajiriwe kule, wapo watakaoenda?
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Watanzania ni hawana uchungu kuliko Wakenya?

    Fikiria juu ya ufisadi wa Kagoda, Meremeta, Richmond, na ule wa enzi za Jakaya. Je , sasa hivi? Mahindra tech, Waarabu waliouziwa bandari? Mbona Watanzania hawaipiganii Nchi yao kama Wakenya? Mama anaenda Oman kusalimia Wajomba. Kodi za Watanganyika hazitumiki?
  14. The Dictator

    JamiiForums Tanzania SWALI FIKIRISHI: Kama kungekuwa na kuchagua ni namna gani ufe ungechagua kifo cha namna gani?

    Kifo ni moja kati ya fumbo kubwa sana kiumbe hai (binadamu) tumeumbiwa kutokujua hatma yetu. Lakini, lait kungekuwa na jinsi fulani mtu anaweza kuchagua ni vipi roho yake iachane na mwili huu wa nyama; ni kifo cha namna gani ungechagua? 🤕Pamoja na hilo; ni kifo cha namna gani unaomba sana...
  15. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Kanda ya Kaskazini ingelikuwaje endapo utawala wa kimajimbo /Kikanda ungeruhusiwa Tanzania?

    Tetesi zisizo rasmi ni kuwa baadhi ya watawala wa Tanganyika walikuwa wakiwahofia watu wa ukanda huo! Sina uhakika kama hayo ni ya kweli au ni porojo tu. Hata wengine wameenda mbali kwa kidiriki kusema kuwa Nyerere alilazimia kutokuruhusuKanda hiyo kumtoa Rais wa Tanganyika. Ingawa yote hayo...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huyu mkushi kauliza swali fikirishi sana

    Anaitwa Allawi Mahamoud ni moja kati ya members wa movement ya wakushi yani vijana wa kiafrika wanao challenge mafundisho ya kiimani ya dini zilizo LETWA Afrika kwa majahazi. Ameuliza " Ni nani ananufaika na uwepo wetu duniani?"
  17. W

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi; Hivi kwanini wanaoponda sana mikoani ni watu wa mikoani zaidi kuliko wa Dar?

    Hili linanishangaza sana! Kutana na mtu wa Arusha au moshi umsikie anavyoponda Kanda ya Ziwa na mikoa mingine. Nenda Ruvuma ukutane na mhehe umsikie anavyoponda Ruvuma. Nenda kusini ukutane na mwalimu ajira mpya kutoka kigoma au nzega huko na aliyeisotea ajira kwa miaka mitano huku macho...
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Kuna ubaya endapo baadhi ya nafasi Serikalini zitajazwa na wageni?

    Sababu mojawapo iliyosaidia Korea Kusini kuendelea ni viongozi wake kutambua mapema walichokuwa wanakihitaji na kutumia kila fursa waliyoipata kuifukuzia. Inawezekana, hata sisi tungefanya kama wao, nchi yetu ingekuwa kama yao, au zaidi. Hilo ndilo limenipelekea kufikiria kuwa ikiwa tutawaazima...
  19. Congo

    JamiiForums Tanzania Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

    Naomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje? Wajuzi wa mambo ya ndege tafadhali.
  20. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi kwa wadau wa elimu kinachoendelea shule za umma

    Niende moja kwa moja kwenye mada,. kutokana na kuwepo na ushindani wa ufauru wa kishule kimkoa nk, tumeona watendaji mbali mbali ngazi ya taifa mpaka wilaya wakija na mikakati mbali mbali ya kuinua ufauru ila Kuna masula haya yameibuka na kama kumekuwa Kuna kuigana hapa bila kuwa na mbinu...
Back
Top Bottom