Ilikuwa imebaki mwaka mmoja tu Simon Sirro atimize miaka 60 na yeye kustaafu kwa heshima.
Ametibua nini? Mpaka akag'olewa?
Pia, soma=> Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI
Wewe apo! Yes wewe apo sio mwingine... nina swali moja naomba nikuulize, ambalo ukijibu baadae nitakuambia maana ya hili swali langu.
Kwamfano unatembea mtaani halafu njiani kwa bahati nzuri ukaokota shilingi laki moja (100,000/=) Sasa ukawa una furaha sana unatembea huku unapanga utaitumiaje...
Thread hii, inatokana na baadhi ya teuzi za wakurugenzi wa TANESCO na MSD kutoka nje ya mfumo. Nina declare interest kwamba sina shida na teuzi ya MSD. Ni mmoja wa colleagues tuliyekuwa tukifanya naye kazi nje ya mfumo. Ninaamini anastahili, na ataweza.
Tatizo linatokea hapa.
1. Hivi inakuwaje...
Naona makada na viongozi wa chama tawala wanapigia sana chapuo hii kitu. Kuwa lazima tukope ili kutekeleza maendeleo ya taifa letu . Na pia wanasisitiza kuwa tukisubiri kukusanya mapato ili kutekeleza maendeleo tutachelewa.
Swali je mapato na tozo havikusanywi? Je, hayatoshi?
Je tumeamua...
Habari za kazi waungwana
Mie nina swali fikirishi kwa walio oa au kuolewa. Swali lenyewe liko hivi: Pale mzazi wa mke wako au mme wako anahitaji kutolewa figo, kwa kuwa figo zake zimefeli. Sasa basi mwenza wako akataka kutoa hiyo figo kwa mzazi wake, utamruhusu?
Picha haihusiani ila uzi bila...
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu
CCM na CHADEMA karibu kila chama kimekuwa kikijinasibu kina wafuasi wengi wanaowaelewa
Hoja yangu ni hii Taifa letu limeleta chanjo milioni 1 ambazo hadi sasa inasemekana zimetumika chanjo chini ya laki nne
Kwa muda sasa najua wafuasi wengi wa CCM hawana...
Habari wanachama wa JF,
Swali langu mimi ni kuwa bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 ni trillioni 34 na pointi kadhaa sasa najiuliza hadi utawala wa Hayati Magufuli R.I.P, makusanyo ya kodi kwa mwezi ni trillioni 2 ambako ndani ya mwaka mzima ni trillion 24 tena hapo bila kushuka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.