swala

  1. C

    Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

    Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo, Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri...
  2. A

    KERO Halmashauri nyingi zinachelewesha kuthibitisha watumishi kazini

    HR haswa upande wa halmashauri nyingi ni kero, hawashughulikii swala la uthibitishwaji kazini watu wamekaa takriban miaka miwili hawajathibitishwa. Hakuna maelezo kamili ni uzembe uliopitiliza
  3. Sigonella Island

    Nahamu sana ya kula mishkaki ya swala, nitapata wapi duka la Nyamapori

    Kuingia mwezi huu mtukufu wa Ramadan nahitaji sana kupata nyama ya swala, nyati, pofu pia nahitaji kupata mayai ya mbuni na firigisi zake. Ili kufanikiaha upatikanaji huo nahitaji anayejua mahali nyama hizo zinapouzwa anijulishe hapa nifatilie vitoweo.
  4. hamis77

    Kisa cha Isra na Miraj kuhusu Muhammad kwenda mbinguni kuchukua swala tano ni kisa cha uwongo

    Hoja ziko kama tatu au hata tano, zinazothibitisha kuwa Muhammad hakuwahi kufika Yerusalemu katika Msikiti wa Al-Aqsa, wala hakuwahi kwenda mbinguni kuchukua sala tano. Hoja ya 1. Kipindi hicho hakukuwa na msikiti wowote pale Yerusalemu. Muhammad alizaliwa mwaka 570 AD. Akafariki 632 AD...
  5. Fbn

    Mchambuzi IBRAHIM RAHBY ni mzuri sana wa mataifa sio imani yako ila swala la IRAN mbona unakwepa na mda mwengine unakwepa nchi yako

    Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC. Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake. Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda kupewa uwaziri ,Ndugu yetu tumekusoma sasa.
  6. Humble__

    KERO Miundombinu ya Vyoo na majitaka Majengo ya UDOM kitivo cha Elimu (COED) ni hatarishi kwa wanafunzi

    Nimeona mdau mmoja kachangia kuhusu udom Binafsi nimefika pale hasa hayo majengo ya COED ambayo ndio wanaishi wanafunzi wa TIBA na EDUCATION watoto sio wanateseka na uchache wa sehemu za kulala pekee ambapo kuna vyumba watoto wanalala chini chumba kimoja watoto 10 vitandata vipo vinne Pia...
  7. ERTUGRUL BEY

    Kwa suala hili BAKWATA hamjatenda haki

    Utangulizi: Uislamu unasema hivi "ukiona uovu basi kwanza uondoe kwa mikono yako,ukishindwa kwa kauli na ukishindwa kabisa basi kwa kuchukia moyoni mwako,na huu ndio udhaifu wa imani" kwa maana yule anayechukia jambo moyoni mwake ni mdhaifu wa imani,kwasababu option ya kwanza na ya pili ndio...
  8. Pakome

    G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  9. mcTobby

    Hili suala la udini ni kama kuna mtu anatafuta huruma

    Kwa mtu mwenye akili timamu waraka wa TEC Ulikuwa clear na ulieleweka kwa wote wenye Dini na wasio na dini .Na hakuna mahali waraka ule umemshambulia mtu kulingana na nafasi aliyoko. Sasa ninachokiona ni kama kuna mtu anaitumia hii kete ya udini ili kutafuta kitu kinaitwa SYMPATHY na...
  10. Its Pancho

    Mnawalaumu bure tu Bakwata na waislamu kwenye swala hili la zima la maandamano..

    I salute my kinsmen.. Ujue nimefikiria sana kuona kauli hizi za viongozi wa Bakwata kwa yanaoendelea kwa kumsapoti mkuu wa nchi wakati wenzao kule TEC wao wametoa tamko kali sana kuwa Vijana waliokamatwa waachiwe haraka, Hawajaisapoti serikali kwa namna yoyote ile TEC wamenyooka sana Ila sasa...
  11. Mwachiluwi

    Wauaji wataomba msamaha kwa Mungu na atawasamehe?

    Wauaji wataenda mbele za Mungu na kuomba msamaha na Mungu atawasamehe maana kasema ijapokuwa dhambi zenu nyekundu mimi nitazing'arisha kama ziwe nyeupe kama sufii Na yatima na wajane na wakiwa wataenda muomba Mungu awaadhibu wale waliofanya mauaji ndani ya familia yao Hapo inakuwaje sasa...
  12. Superbug

    Kwa swala la maandamano, nitaungana na serikali

    Kumbukeni mnaotaka kuandamana Bado mnataka serikali ifanye yafwatayo Kwa watoto wenu. 1. January waende la kwanza. 2. January waende form one. 3. January matokeoa ya 7 yatoke. 4. January matokeo ya F4 yatoke 5. Mkale Xmas Moshi nk 6. Mfungue shule. 7. Muda huu std 4 wako mitihani ya taifa. 8...
  13. stakehigh

    GE2025 CCM sio chama kirahisi hivyo kwenye suala la Dola

    Hakuna watu walitikisa ccm kama Tanzanian Youth Democracy Movement, wengi wenu mlikua bado hamjazaliwa, tujikumbushe kidogo ni wakina nan hawa kikundi hiki kilikua na wanachama Moussa Membar (kiongozi), Mohammed Ali Abdallah, Mohammed Tahir Ahmed, Yassin Membar, na Abdallah Ali Abdallah...
  14. S

    Kuna anguko litatokea, ni suala la Muda

    Hakuna atakaye amini Ukanda wa azania
  15. Mr Why

    Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira na huzuni

    Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira, huzuni na mshangao kwa madai ya kuwa Ibada ile ilijaa mahubiri yanayokinzana na kanuni za Kiislamu ikiwemo Haki pamoja na kuingiza Siasa na Maslahi ndani ya...
  16. P

    Polepole apuuzwe kuhusu gesi

    Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.: 1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market...
  17. Kimbesa11

    Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

    Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu. Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama? Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini...
  18. O

    Nafikiri Nokia wajitafakari kwenye suala la smartphone na viswaswadu

    Kama Nokia anataka kurudi ajitafakari Sana bado ana nafasi. Simu za Nokia ZOTE smart na viswaswadu ni GHALI kishenzi LAKINI Zina hardware mbovu Sana hasa KWA smart za SASA . Naposema hardware mbovu sina maana hazidumu ninamaanisha hardware zisizo na performance nzuri, mfano camera, zinaganda...
  19. Dennis Robert Shughuru

    Kujenga viwanda vya magari sio suala gumu, bali ugumu upo kwenye mambo yafuatayo

    Kiwanda cha magari hakigharimu fedha nyingi sana mfano ukiwa na tsh billion 300 unaweza fungua kiwanda cha magari kizuri cha kisasa navyosema ni ndogo ni pale navyo-compare na smelting na refining na sio na kitu kingine Gari linatumia vitu vifuatavyo kulitengeneza Steel kwa ajili ya bodi ya...
  20. DR HAYA LAND

    Tatizo la baadhi ya wafuasi wa Chadema , huwa wanakosea sana katika kuelezea mambo ikiwemo swala la kutaka Mbowe kuongea jambo kuhusu wanayoyapitia.

    Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe . Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?. Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu . Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu...
Back
Top Bottom