Pasaka na eid wake zimepita kibabe na kutuachia majeraha mifukoni kila unayethubutu kumpiga kizinga anakutolea nje visingizio vikiwa ni ada,kuumwa na mvua.
Bado una nafasi ebu nenda kafanye ukaguzi kwenye mikoba na mabegi na nguo zako huenda ukabahatika Kama ambavyo mimi leo Mungu hajanitupa...