Nimepokea taarifa kuwa kuna njama za kumdhuru kwa kumuwekea sumu kwenye chakula Mtetezi wa Wanyonge, Mwenyezi Mungu ni mwemba amnusuru.
Kwa sasa siwezi kuthibitisha kwa undani kilichotokea, lakini naamini ukweli utajulikana.
Kasi yake ya kukubalika kila Kona ya nchi imewatisha, wananchi wote...