suluhisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usitumie usaliti kama suluhisho

    "USITUMIE USALITI KAMA SULUHISHO" Elewa tabia za kudanganywa na mpenzi wako. Watu hudanganya kwa sababu nyingi na sio kila wakati kuhusu ngono. Wakati mwingine watu hudanganya (usaliti) kwa sababu wanatafuta uhusiano wa kihisia, kujaribu kukabiliana na hasara au migogoro au kutafuta ku escape...
  2. JamiiForums Tanzania 50kms kwenye Highway: Tuanze kufikia suluhisho ambalo ni kuweka vivuko vya juu au chini vya waenda kwa miguu

    Mimi nashauri badala ya kuongeza vibao ya 50kms/ kwenye barabara kuu Tuanze kufikia suluhisho ambalo ni kuweka vivuko vya juu au chini vya waenda kwa miguu Mfano: Barabara ya Arusha kwenda Dar; kutokea Arusha hadi Same miji inaunganika kwa kasi sana, sasa bila kuanza kufikiria suluhisho...
  3. JamiiForums Tanzania Suluhisho la msongamano wa magari na changamoto ya wamachinga jijini Mwanza

    Jiji la Mwanza lina changamoto ya msongamano wa magari kwa sababu barabara inayounganisha Mwanza na Tanzania ina njia mbili tu. Hiyo ni barabara ya Kenyatta. Barabara inayounganisha Mwanza na njia ya Kenya ina njia 3.Ni barabara ya Nyerere. nini kifanyike? Magari ya Abiria yasiingie katikati ya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la usugu wa changamoto katika utoaji wa huduma za kijamii

    Kushindwa kukamilika kwa wakati katika miradi mbalimbali yamaendeleo na kusuasua kwa utoaji wa huduma kwa ufanisi pamoja na kukosekana kwa ufanisi na weledi katika kusimamia na utoaji wa huduma hizo ni moja kati ya changamoto kubwa nchini. Moja kati ya sababu inayopepelekea kutokea kwa hali hii...
  5. JamiiForums Tanzania Suluhisho la kudumu la Machinga ni kuifumua dhana nzima ya Ujasiriamali na Kujiajiri

    Moja ya kosa kubwa ambalo limefanyika kwa muda mrefu toka dhana ya Ujasiriamali ianze kupigiwa chapuo, ni kusahau na kushindwa kuambatanisha dhana hiyo na elimu ya uwajibikaji kwa jamii, sera madhubuti za uwezeshaji kwa wafanyabiashara wa kati na elimu ya maadili ya biashara (business ethics)...
  6. JamiiForums Tanzania Suluhisho la Machinga sio kufukuzwa, mji ubomolewe

    Hello JF, Suala la Machinga kufanya biashara mjini Kariakoo na sehemu nyinginezo limekua ni tatizo la miaka nenda rudi bila ufumbuzi wowote, imekua kero kwa wapita njia na wafanya biashara wengine,,,,,,, Binafsi sidhani kama kuwafukuza waende sehemu nyingine ni suluhisho, wataenda kwa muda...
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Suluhisho la upotoshwaji wa taarifa mitandaoni na udukuzi nchini tanzania

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litalenga zaidi kuzuia UPOTOSHWAJI WA TAARIFA MITANDAONI na UDUKUZI katika Nchi yetu ya Tanzania. Nitazungumzia mambo yafuatayo: Nini chanzo cha upotoshwaji wa taarifa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wanaume wametutawala muda mrefu bila suluhisho la matatizo mengi, tumuunge mkono Rais Samia atatuvusha

    Tangu nchi yetu kupata uhuru tumekuwa chini ya utawala wa wanaume kama wakuu wa nchi, sasa mwanamke amechukuwa kwa mala ya kwanza. Kwakuwa tumekuwa na matumaini ya kuishi maisha bora bila mafanikio chini ya wanaume basi tumuunge mkono mwanamke tunaweza kuvuka vikwazo vilivyo dumaza maisha yetu...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji suluhisho la mafuriko mto msimbazi na siyo kujikita kwenye usafiri Jangwani tu

    kwa mda mrefu jiji la Dar hukumbwa na mafuriko katika mto msimbazi yanayopelekea nyumba kadhaa kando kando ya mto msimbazi kuzingirwa na maji huku baadhi ya barabara kama magomeni eneo la jangwani kutopitika. inashangaza kuona serikali inapanga kujenga daraja jangwani kama ndiyo suluhisho la...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Ubepari ulivyochangia kushuka kwa malezi na anguko la uwajibikaji. Nini suluhisho?

    Habari! wanajukwaa, nimekuwa msomaji wa bandiko mbalimbali za wanajukwaa hili kwa kipindi kirefu hata kabla sijajiunga rasmi humu bandiko hizo zimeniongezea maarifa na kunihabarisha kwa kiasi kikubwa. Leo nami napenda nitoe mchango wangu kuhusu uhusiano kati ya ubepari na athari zake kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba suluhisho la kuondoa kitambi

    Habari waungwana, Kama mada inavyoonekana hapo juu naomba mwenye kujua suluhisho la kuondoa kitambi anisaidie, nilijifungua kwa operation mwaka jana 11 na sikufunga tumbo sasa badala ya kuendelea kupungua ndo kwanza tumbo linazidi kukua nakosa raha jamani hasa ukitaka kuvunja kabati nguo...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Suluhisho kupunguza utapeli unaofanywa na madalali

    Salaam Wakuu. Kwanza kabisa kila mmoja anafahamu Watu wengi katika kupata ardhi zao au nyumba za kupangisha wametumia watu wanaoitwa madalali. Tunafahamu kwa uchache juu ya shughuli zao wanazofanya kila siku. NAMNA WANAVYOFANYA KAZI Mara nyingi kazi za madali hawa hazina formula maalum...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Sababu ya mwanaume kunasa kwenye uke na suluhisho lake

    Watu wengi ambao hua wanasikia kwamba mwanaume amenasa kwenye uke wa mwanamke hua wanadhani labda kuna mambo ya kishirikina yamehusika hasa kama ni mme au ni mke wa mtu kitu ambacho hua sio kweli wakati wote. Tatizo la uume kunaswa kwenye uke sio hadithi au imani kama watu wanavyofikiri, ila...
  14. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Suluhisho la Ukosefu wa Ajira Tanzania: Jinsi ninavyoweza kupunguza ukosefu wa Ajira kwa 10% Ndani ya siku moja

    Nawasalimu ndugu zangu wanajukwaa. Kutokana na changamoto za upatikanaji wa Ajira Tanzania na Duniani kwa ujumla wake kama Taifa tunatakiwa tuwe na Mawazo, mipango na ubunifu mbalimbali ili kutatua changamoto hii, tuweke mapendekezo mbalimbali yafanyiwe kazi. Miongoni mwa mapendekezo hayo ni...
  15. JamiiForums Tanzania Revenue Intelligence Bureau (RIB) suluhisho la upotevu wa mapato ya Serikali

    Ila ana point kweli huyu mwamba, maana hv ndo tunaweza kuepukana na simcard tax za Mzee Mwigu. Kwa hio kajamaa kanamaanisha na sisi Tanzania tutakuwa na ka CIA ketu na ka FBI au sio? Ila sisi ni kwenye mambo ya hela. Sawa, nimekuelewa. === REVENUE INTELLIGENCE BUREAU (RIB) (Kumradhi Mama...
  16. JamiiForums Tanzania Kuhusu Tatizo la Uchafu Dar, Madrassatul Abraar tuna wazo litakalokuwa suluhu ya kudumu

    Naomba kwanza tumsikilize Mkuu wa Mkoa. Video clips zinachelewa kupanda lakini In shaa Allah tutazipandisha, ni muda tu. Baada ya kumsikiliza mkuu wa mkoa na tatizo la uchafu na biashara kuwa kiholela mitaa ya Dar. AlhamduliLllah Madrassatul Abaraar darasa la vifaa vya ujenzi tumekuja na...
  17. JamiiForums Tanzania Jifunze njia pekee ya kupamabana na USALITI kwenye mahusiano

    Nimeamka asubuhi leo na kukutana na threads kadhaa za watu wakilalamika kuhusu usaliti unaoendelea kwenye mahusiano yao. Na kwa miaka ya karibuni, 'uaminifu' kwenye mahusiano imekuwa ni kitu adimu sana na ukikipata basi ni bahati na itabidi upambane usikipoteze. Kila mtu ataongea mengi na atatoa...
  18. JamiiForums Tanzania Suluhisho la matatizo ya bandarini: Iundwe Wizara itakayodeal na masuala ya Bandari tu

    Nimewaza hapa na kujiuliza , je, ningekuwa kiongozi ningetatua vipi kadhia za Bandari ya Dar es Salaam na Bandari zingine kwa manufaa ya taifa? Suluhisho nambari moja ni kuunda wizara maalumu itakayodeal na masuala ya Bandari tu. Bandari ya Dar es Salaam pekee inaingiza fedha nyingi zaidi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Nini suluhisho la kukosa usingizi kwa mama mjamzito?

    Naomba msaada wenu. Wife wangu amekuwa na tatizo la kutopata usingizi wakati wa usiku na mjqmzito wa miez 3. Hii hali imekuwa tete sasa. Kwa maana anaweza asilale hata wiki nzima wakati wa usiku lakin ikifika midaa ya 12. Hapo anapata usingiz mpka midaa ya saa 4. Sasa hofu yangu ni afya yake...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa walio Dar es Salaam tu: Hili ndilo suluhisho la uhakika kukabiliana na gharama zilizopanda za internet

    Kama upo Dar maeneo ya Kariakoo, Mjini posta, Msasani, Peninsular, Upanga, Kinondoni ya Morocco, Mikocheni, Masaki, O'bey, n.k Kuna fiber za kutosha kama zuku, Raha, Gofiber, n.k Fibre ni internet ya waya, unavutiwa waya hadi sehemu ulipo nyumbani kwako, ni internet ya waya lakini kuna kifaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…