sukuma gang

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Sukuma Gang sio watu wa kupuuzwa, itafutwe namna ya kuifuta hii itikadi ili kuleta Umoja wa Kitaifa

    Habari JF, Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli. Aina ya...
  2. S

    Ahaa! Kumbe wanatumia ripoti ya CAG kukamilisha ajenda yao!!!! Mama usiyumbishwe

    Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG?? Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi? Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga...
  3. D

    Kwa Ripoti hii ya CAG, ni dhahiri Sukuma Gang imeshinda mapema mno!

    Katika mchezo wa siasa unahitaji kuwa na akili nyingi sana kushinda "game". Lakini akili ya kwanza ni kumsoma, kumfahamu, kumwelewa aliyeketi kwenye kiti cha "executive" anawaza nini, nini hulka yake, ana uwezo gani wa kuona masafa marefu na tabia yake ikoje na ana uwezo gani wa kuadhibu au...
  4. benzemah

    Mbunge wa Sengerema afunguka mafanikio ya Rais Samia na ukweli kuhusu uwepo wa Sukuma Gang

    Mbunge wa Sengerema, Tabasamu Hamisi Mwagao amesema kipindi cha Miaka Miwili ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa ya Mafanikio katika Sekta mbalimbali ikiwamo Nishati, Maji, Elimu, Afya na Miundombinu katika Mkoa wa Mwanza huku akikana uwapo wa...
  5. N

    Uzi maalumu wa kumpongeza Rais Samia kwa miaka miwili akiwa madarakani

    Tukielekea kilele cha miaka miwili ya Rais Samia Suluhu Madarakani amefanikiwa kufungua mikutano ya hadhara kwa vyama vya upinzani maana walikua wakitamani kwa muda mrefu sana na watanzania tulijiandaa kusikia ajenda nyingi walizokua wameanda kwa zaidi ya miaka 5 lakini mambo yamekua tofauti...
  6. Pascal Mayalla

    Je, tukemee udini, ukanda na ukabila au? Je, neno Sukuma Gang si neno la kibaguzi? Mnaonaje tukiungana kukemea ubaguzi wowote kwa jina lolote?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala hizi za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hizileta kwa mfumo wa swali fikirishi na mimi kutoa tuu maoni yangu lakini kukupa wewe msomaji fursa ya kufikiri, kushauri na kutoa majibu unayoona yanafaa. Swali la leo ni kuhusu kuibuka na...
  7. S

    Sukuma gang ni itikadi siyo kabila

    Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu. Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni...
  8. Sir robby

    Kuna kundi limechukizwa na maridhiano yanayoendelea

    Ni ukweli mtupu yeyote anayebeza na kukejeli maridhiano yanayoendelea baina ya CCM na CHADEMA ni mfuasi wa sukuma gang mtawala wa awamu ya 5 licha ya Mbowe kumwomba kuwepo na maridhiano pale CCM Kurumba Mwanza lakini hakutaka badala yake aliongeza chuki na ukatili dhidi ya CHADEMA. Kutokana na...
  9. N

    Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

    Ndugu hii katuni inamaanisha nn?
  10. J

    Sukuma Gang acheni kuilaumu Chadema kuwa haikosoi Serikali, anzisheni chama chenu cha upinzani mukosoe na nyie

    Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku...
  11. love life live life

    CHADEMA mkitaka kuungwa mkono jiungeni na Sukuma Gang

    Ni ushauri wa bure kwa CHADEMA, mmemtukana sana Hayati ridhikeni sasa tafteni kuungwa mkono na hao Sukuma Gang. Hamkuona wenzenu rufiji wakitaja jina la hayati watu wanalipuka kwa shangwe!?
  12. J

    Rais Samia kuwa makini, Sukuma Gang na CHADEMA wanaweza kuungana

    Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria. Hii inatupa somo kuwa, watu ambao ni mahasimu wakubwa ambao hata hukufikiria wataungana, wanaweza kuungana ikiwa malengo yao yanafanana. SG na...
  13. President of China

    Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

    Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana. Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang. Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka...
  14. mdukuzi

    Sukuma Gang is Real: Waanza kumtisha Rais Samia, wamtumia Msukuma kudai mkoa wa Chato kinguvu

    Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia. Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili. Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais. Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya...
  15. chiembe

    Diamond na mikataba ya Sukuma Gang inavyomtesa

    Pole Diamond, tutarudi hapa kukuanika upinzani wako kwa awamu ya 6
  16. saidoo25

    Sukuma Gang imeanzishwa na wahuni, haipo Kanda ya Ziwa

    Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula ameweka wazi kuwa hakuna kundi linaloitwa Sukuma Gang bali ni wahuni wachache wameamua kutengeneza syndicate ya kuchafua watu wa Kanda ya Ziwa. "Sukuma Gang hicho kitu hakipo hakuna kitu kama hicho haipo na kwanini iwepo yaani kwa sababu zipi iwepo? alafu...
  17. saidoo25

    Propaganda ya Sukuma Gang imeishia wapi?

    FAMILIA ya WATU WAZURI HAWAFI baada ya Rais Samia kuingia madarakani ilimtengezea kitu kinaitwa SUKUMA GANG kwa lengo la kumtenganisha na watu wote waliowahi kufanya kazi kwa uadilifu na matokeo chanya na Hayati John Magufuli. Watu hao ni miongoni mwao ni Job Ndugai, Polepole, Bashiru...
  18. Upekuzi101

    Bado watu wanawakubali kwa kiasi kikubwa viongozi waliokuwa kwenye Serikali ya Magufuli

    Habari za asubuhi Wana JF, Mimi ni Mtanzania wa kawaida na kila siku nipo kwenye mizunguko yangu ya kawaida na wadau wangu wapiga debe, mamantilie, machinga, waosha magari na day workers na watumishi wa umma wote. Kitu nime notice bado watu wanawakubali kwa kiasi kikubwa viongozi walokuwa...
  19. J

    Shujaa Magufuli alikuwa ni jeshi la mtu mmoja aliyetegemea silaha ya kuteua na kutumbua, Bashiru usiamini kama kuna Sukuma Gang

    Kiukweli hii kitu inaitwa Sukuma Gang haikuwa kitu halisi kwa sababu Shujaa Magufuli alikuwa ni Jeshi la Mtu mmoja aliyekamata mihimili yote mitatu. Magufuli hakuwa na Wapambe ila Watu walijipendekeza Kwake ili wateuliwe na wengine walijipendekeza ili wasitumbuliwe. Shujaa Magufuli aliweza...
  20. Nigrastratatract nerve

    Bado Sukuma Gang wanakomeshwa? Umeme na maji unakatwa Sukuma Gang pekee yao? Maji yanakatwa kwa Sukuma Gang tu?

    Mara baada ya Hayati Magufuli kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia sana. Sabaya alivyokamatwa walishangilia wakasema Sukuma Gang wanakomeshwa. Akina Kabudi walipoondolewa pamoja na akina Ndugai wakasema Sukuma...
Back
Top Bottom