sugu

Sugus is a brand of chewy candy made by the Wrigley Company. It originates from the Swiss chocolate company Suchard, who created it in 1931.They are square, and they are 20 mm (0.79 in) in length and width, and 7 mm (0.28 in) thick, including the packaging. There are several flavours, including lemon, orange, pineapple, raspberry and cherry, indicated by the colour of the packaging (yellow, orange, blue, red, and bright red, respectively), which is characteristic of the sweet. The classic packaging (which measured 6.3 by 4.5 cm) involves the sweet respecting the rectangular shape, with white text showing the sugus name (in lowercase) and the specific flavor (in uppercase), all over the packaging. Within the packaging was a small, white light inner wrapper of 6.3 by 1.9 cm surrounding the sweet preventing adhesion to the outer wrapper, for example at times of excessive heat. The name, though only a brand, became the name of this product. It appeared on the market under other brands, with different names, but all are given the name sugus.Sugus is sold in Argentina, Belgium, Brunei, Cambodia, China, Hong Kong, Indonesia, Japan, Macau, Malaysia, Mexico, the Philippines, Portugal, Romania, Spain, South Africa, Namibia, Switzerland, Taiwan, Thailand, Uruguay and Vietnam. It seems to enjoy great popularity in Asia, although being from Switzerland. The brand's Chinese name used in Hong Kong and China is "瑞士糖", literally meaning "Swiss candy".

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Video Tbt: Sugu akiwa bungeni akieleza sakata la wabunge upinzani (Tundu Lissu) kupigwa risasi kwa sababu ya hoja zao bungeni

    Wakuu, Nimekutana na hii video ya zamani Mbunge wa CHADEMA Sugu akieleza kile kilichotokea kwa Mbunge mwenzao Tundu Lissu kupigwa risasi akidai wakileta hoja wanatishiwa kupigwa risasi
  2. TATIZO SUGU LA CHUO CHA CBE KUTOPELEKA MATOKEO YA WANAFUNZI NACTEVET

    CBE nawalalamikia binti yangu kamaliza 2024 Diploma lakini akienda Nactevet anaoneshwa kwamba wahusika wa CBE examinations officers hawajampandoshia matokeo yake yote bila taarifa wala sababu.za msingi. Tunaomba Mkuu wa chuo Prof Thandi Luoga kulifanyia kazi hili.haraka ikiwezekana tumbua...
  3. kulu ya White House yanasema Trump ana ugonjwa wa sugu wa mshipa

    Donald Trump anaugua ugonjwa sugu wa mshipa, Ikulu ya Marekani ilitangaza siku ya Alhamisi, baada ya siku kadhaa za uvumi kuhusu picha zinazoonyesha michubuko kwenye mkono wa rais huyo wa Marekani. Baada ya hivi karibuni kupata uvimbe kwenye miguu yake, Trump alifanyiwa "uchunguzi wa kina"...
  4. W

    SI KWELI PreGE2025 Sugu asema Polepole ni Mnafki

  5. Usioe au kukaa na binti bila kumpiga radar wengi ni mapilot na wachawi sugu

    Wasalaam We ukota binti humjui katokea wapi unaweka ndani au unaendeshwa na nyege unaoa utaumia wengi mapilot wa fighter jet za kichawi, walisha misukule (makuruti katika uchawi) na wengine ni makomandooo wameanza toka wakiwa na miaka 6. Sasa wewe endelea kuokota okota lakini Jua upo na kwenda...
  6. Dawa ya UTI Sugu

    Natoa Sadaka kwa maexpert wangu,mwenye kusumbuliwa na UTI Sugu achukue mahindi mabichi akatekate achanganye na limao lililo katwa katwa kisha achemshe Ukipoa huo mchanganyiko aweke kwenye chupa kisha anywe,kwa siku kama mara mbili au tatu kwa masiku kadhaa,kwa uwezo wa Allah, shida itakuwa...
  7. Live from King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Shirikana Jukwaa la Wahariri, TEF

    Wanabodi Niko hapa King Jada Hotel Morocco DSM: Kikao Kazi Kati ya Shirika la Nyumba la Taifa, NHC na Jukwaa la Wahariri, TEF. Tuanze na wasilisho WASILISHO KUHUSU UTENDAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI Hamad Abdallah Hamad Mkurugenzi Mkuu Shirika la Nyumba la...
  8. W

    Sugu mbioni kuhamia Chauma au CCM, Tulia kaachia jimbo wazi lakini Chadema hawamruhusu kugombea ubunge

    Ukimuona yupo tulivu, usidanganyike. Ndani kuna moto wa kisiasa unachemka. Saa iko kwenye dakika ya 88 na sasa ni ama zake aingie kama sub abadili matokeo au akubali kusugua benchi "mitano tena". Jimbo la Mbeya mjini limegawanywa kuwa Uyole na Mbeya jiji Tulia tayari kavamia jimbo jipya la...
  9. Sugu, jimbo la Mbeya Mjini liko wazi, jiunge na chama kikuu cha upinzani CHAUMMA usepe na kijiji

    Kwa sasa Sugu njia nyeupe Mbeya Mjini. Ni yeye tu aachane na siasa za darasani (academic politics) aende saiti
  10. Sasa ni dhahiri kuwa Tulia amemkimbia Sugu hadi kulazimisha kuundiwa jimbo

    Marehemu Samuel Sitta alilwahi kuita siasa za Tanzania za maji taka. Ni kweli. Ukiangalia majimbo mapya yaliyoanzishwa hivi karibuni, unagundua hili. Mfano, ' Tulia Akson rasmi, amemkimbia Joseph Mbilinyi aka Sugu. Ni aibu sina mfano. Hawa, hata ukiwapambanisha kwa usupu, Sugu ni msupu kuliko...
  11. Sugu boss wako Mbowe ameenda kumuona mwenyekiti Tundu Lisu mabusu wewe umesusa!

    Jamani sugu sijamwona kabisa katika kumpigania Tundu Lisu, au kulani vitendo vya polisi, yeye kama mwenyeki wa kanda ya kusini, yupo kimyaaaaa, ni kama Hajui kuwa mwenyekiti wake wa taifa amekamatwa, Kama Mbowe ameenda kumuona wewe ni nani hasa? Umeshindwa kutoa hata kauli ya kulaini kupigwa...
  12. Z

    Sugu na Lema nao kujiunga G55?

    Kuna kila dalili kuwa wanachama wengi waandamizi wa Chadema wapo nyuma ya G55 ni suala la muda tu,. Chadema ipo kwenye mchakato wa kuzaa Chadema Asili. Punde Lisu ataachiwa Chadema yake anayo itaka yeye.
  13. Mwaka 2019 nilinusurika kupokea kichapo kutoka kwa mabaunsa wa mbunge Sugu

    Wakuu shobo mbaya sana aisee!! Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa mjini yaani sipitwi na habari za siasa Siku moja nilienda na rafiki zangu huko msalato...
  14. Mwaka 2019 nilinusurika kupokea kichapo kutoka kwa mabaunsa wa mbunge sugu

    Wakuu shobo mbaya aisee!! Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa mjini yaani sipitwi na habari za siasa Siku moja nilienda na rafiki zangu huko msalato Dodoma kula...
  15. L

    Madaktari wa China wasaidia vijana wa Kitanzania kushinda Kifua Kikuu sugu kisichosikia dawa

    “Leo nimeweza kujumuika na watu wengine wa sehemu mbalimbali duniani kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani, hii yote ni kutokana na hatua ya kuokoa maisha ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China visiwani Zanzibar,” alisema Seif Hassan Mbarouk mgonjwa wa kifua kikuu Zanzibar , huku...
  16. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akijivua uanachama Chadema, nitampigia kampeni Tulia Ackson achukue ubunge wa Mbeya Mjini

    Nasikia kina Sugu na MBOWE wanataka kuanziaha chama chao ambacho kipo sponsored na CCM na wameahidiwa kwamba chama hicho kipya ndio kitabeba viti vingi vya upinzani. CHADEMA wameshasema No Reform no election, kina Sugu waroho wa madaraka wanadhani wataenda bungeni kirahisi, nawahakikishia...
  17. PreGE2025 Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20 March, 2025

    Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20|03|2025 MY TAKE; Viongozi wa chama kilichokupa nguvu ya Kisiasa tunakuja Kwenye kanda yako. Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague moja. Kumuunga Mkono Tundu Lissu au uamue kufa kisiasa. Nategemea Kesho ueleze ni Jinsi gani...
  18. B

    Mwenye vitabu hivi

    Habari humu ndani. Nahitaji vitabu vifuatavyo: JANGA SUGU la WAZAWA, Vuta nkuvute, nzowa kama sijakosea pamoja na Nagona
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…