Nimeona tunawachekea Wachina mno wanaingia TZ vibaya mno tena wapo wengi, Iko sio jambo la kushangaza mno, jambo la kushangaza je mamlaka zetu zinafahamu hata Chinese people ni wangapi hapa TZ? je wanafahamu kwamba wapo wachina wanafuga Bata na kuku? Je wanafahamu wapo wana maduka mtaani maduka...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watu wengi husubiri siku nzuri zije, nafasi ijitokeze, au mtu fulani abadilishe maisha yao. Lakini maisha hayabadiliki kwa sababu muda umepita; hubadilika pale fikra, maamuzi na tabia za mtu zinapoanza kubadilika.
Maisha yako hayabadilishwi na kile unachofikiri...
Wqkuu salama?
Ni imani yangu tuko vizuri kwa namna yake. Wale wanaokutana na magumu kama ilivyo utofaut kat yetu, niwatie moyo! Nawaombea mpate salama, afua na siha iliyo njema mbeleni.
Taifa linapitia mambo mengi sana yanayozua sitofahamu. Mfululizo wa maswali kulingana na matukio kadhaa...
Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo.
WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela vyenu vidogo.
Hili group huwa halina haraka lipo very systematic, consistent litamjibu kwa wakati wake...
Usipotaka kuamini acha. Ila iko hivi wanajeshi wa Uganda waliokuwa wakishirikiana na kmkm kupiga risasi raia wako ndani kwenye mahabusu za jeshi makambini.
Among other things huko maeneo ya Kibaha walipoanza kuua raia, wajeda walituma watu wao (JWTZ) kwenda kujihakikishia kuwa kama kweli wanaua...
Hadi tunafikia uchaguzi kuna maneno yatakuwa yamesemwa, mipango kufanyika na tutaona mengi.
Za ndani kabisa wanaosukumwa na utaifa, wana ajenda kali na ngumu.
Mimi nasema, Mungu tupe uzima tushuhudie yote yatakayotokea.
Bila shaka kibwagizo cha wimbo tuliipenda wenyewe, kinaendelea kujidhihirisha kwa kasi ya 5G.
Mungu atupatie uhai tushuhudie yatakayotokea nchini.
HIVI NINI MAANA YA STATE CAPTURE?
Wakuu, katika kitu kuna Mzee wangu mmoja kila tukikaa anajutia ni kuuza eneo maeneo fulani ya Dar ambapo kipindi hicho palikua ni km Chaka la Simba tu. Enzi hizo kitambo sana akapaona sio kitu akauza akahama anakwambia leo hii akirudi kupaangalia pale alipouza anajuta ni mji pameshushwa ghorofa...
Ibada hii imefanyika katika Usharika wa Agape Kahama, Jimbo la Magharibi Kahama Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria. Imeongozwa na Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Baba Askofu Dkt. Yohana Nzelu amegusia umuhimu wa maridhiano kwa Serikali.
Video: Kitenge TV
Anaingia JKT, anamaliza kozi za mafunzo, anapata Ajira Jeshi la Polisi .
Anaendelea kufanya kozi Kadhaa wa Kadhaa, anapanda vyeo ,na kweli anakua hata OCD .
Kama sio Sasa, ndivo ilivyokua .
Kwa namna hii Kwa nini tusijitungie Sheria za kutulinda dhidi ya kushatakiwa pale tunapotimiza majukum...
Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto.
Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi.
Basi tambua kuwa hawa watu hata waamie kwenda sayari venus, wataanza kupigana tena wao kwa wao kwa maana asili yao ni resistance...
Wakuu,
Hiki ndio ambacho kimefanyika leo huko Ngorongo!
Kwani alikuwa hana taarifa kuwa Wamasai wamepewa order ya kuhana? Kwani alikuwa hajui kuhusu wajomba zake wanaokuja kuwekeza? Alikuwa hajui kuhusu resistance iliyotokea huko wakitaka kuendelea kuishi katika ardhi hiyo waliyokuwa wakikaa...
Aisee jiongeze usitongoze msichana weekend hii lazima akupige panga la kisogo lazima kirungu kihusike umtunze hela ya kijora au dera apate mtoko wa sikukuu. Kukataliwa hutakataliwa hata kidogo kikubwa ni maokoto.
Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji?
Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada...
Wataalam wa mambo... twende kazi....
Kwani huwa inachukua muda gani mtoto kuwa na rangi wa wazazi wake..? Au kufanana na wazazi wake hata mmoja tu.
Baba mweusi, mama mweusi lakini mtoto katoka mweupee. Ndiyo najua kuna ile rangi nyeupe ya kitoto lakini kama wazazi ni weusi baadae inabadilika...
Watu wengi wana tabia ya kudharau watu wa mtaani kwake au marafiki zake aliokua nao mara tu baada ya kupata ajira na kupata marafiki wapya wakiamini hao marafiki wapya ni bora kuliko wazamani.
Ukitaka kuamini kwamba kazini una marafiki bora au la subiri siku uachishwe kazi (Termination) ndo...
Hii ni kwa ma men.
Wengi wenu hamna wapenzi, mko single sema tu mna mabinti ambao wanawauzia bidhaa zao ingawa mnawaita wapenzi. Hata kama jana mlikutana mkazurura (kula bata) ukagharamia kila kitu, 60k- 70k ilikutoka.
Leo asubuhi mwambie akutumie 10k chap una shida utaona sarakasi zake...
Ripoti ya CAG imeshazimwa, kelele zimeisha tunasubiri ripoti ijayo tuone tumeibiwa kiasi gani tena. That's how life goes in Tanzania. Maisha ya vimemo nakujuana.
Lakini haya kwanini yanatokea? Yanatokea Kwa Sababu irregularities nyingi zinatokana na matamko ya viongozi wakuu wa nchi na hivyo...