Marekani wana taasisi mbili ambazo naamini zingetusaidia sana kama tungeziiga. Ya kwanza ni ya National Economic Council ambayo kazi yake ni kumshauri rais wao kuhusu uchumi wa nchi yao na muelekeo wa uchumi wa dunia. Ofisi hii ni ya wachumi waliobobea.
Ya pili ni Congressional Budget Office...