studio

A studio is an artist or worker's workroom. This can be for the purpose of acting, architecture, painting, pottery (ceramics), sculpture, origami, woodworking, scrapbooking, photography, graphic design, filmmaking, animation, industrial design, radio or television production broadcasting or the making of music. The term is also used for the workroom of dancers, often specified to dance studio.
The word studio is derived from the Italian: studio, from Latin: studium, from studere, meaning to study or zeal.
The French term for studio, atelier, in addition to designating an artist's studio is used to characterize the studio of a fashion designer. Atelier also has the connotation of being the home of an alchemist or wizard.
Studio is also a metonym for the group of people who work within a particular studio.

View More On Wikipedia.org
  1. Plot For Sale at Kinondoni Studio

    Plot For Sale. Location: Kinondoni Studio. -3rd Corner Plot from main road(Kawawa Rd). Plot size: SQM 450. Price: TZS 800M. Negotiable. Document: Title Deed For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee applies. Contacts: 0784 829565 or 0767 833345 or...
  2. Plot For Sale at Kinondoni Studio

    Plot For Sale. Location: Kinondoni Studio. -3rd Corner Plot from main road(Kawawa Rd). Plot size: SQM 450. Price: TZS 800M. Negotiable. Document: Title Deed For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee applies. Contacts: 0784 829565 or 0767 833345 or...
  3. M

    TBT : Producer Legendary - 👑 Mika Mwamba 🎹, Kumbukumbu ya Beats kali alizowahi kuziandaa

    Ni beats kavu hazina mashairi ( Instrumental ) Kwenye Chati Mkiwa Tamala Baby Gal Mtoto wa Geti Kila mtu na demu wake Chidi na Mzee Yusufu
  4. Tafadhali mwenye 'Video Clip' ya Mtangazaji (Mwanamama) wa Iran State Tv iliyoshambuliwa na Israel akikimbia Studio aniwekee ili niendelee Kucheka

    Israeli huwa hawabahatishi katika Target zao Kudadadeki. Sasa kama huyo Mtangazaji Mwanamama wa Televisheni ya Taifa Iran alikuwa anajifanya Kutangaza kwa Kujiamini na Kutoogopa nini kilimfanya atoke baru (akimbie) Studioni pamoja na Cameraman wake baada ya Kombora Tukuka la Israeli kushambulia...
  5. VIDEO: Ona mtangazaji wa ITV alivyombana Kafulila Studio Live 'unafanya siasa na maisha ya watu?'

    Hapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?! Huyu dada anaitwa nani?
  6. Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

    Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac. Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok. Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho. Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za...
  7. M

    Firebase Studio

    Tech inaenda kwa kasi sana Google wameleta code editor yao ila bado iko kwenye review Unaandika prompt chap then una host firebase ila sasa bado real programmer skills ni muhimu Unasema nin kuhusu hii Ai tool? Kama umeiona sema neno?
  8. Ipo siku watapigana makonde studio

    Sikuhizi Radio za bongo zimekuwa kama vijiwe vya kahawa, NI kubishana tuu kuhusu Simba na yanga, na huu ndio mtaji mkubwa WA CCM! Nchi imeja shida sana hii
  9. kwa uwekezaji huu nlioufanya, Je niendelee na ajira nilipoajiriwa?

    kama kichwa cha habari hapo juu, nimekomaa toka mwaka jana nimebahatika kuunda izo kitu na mwote humo wako watu wanapiga kazi, salon ya kiume mwenyewe pia ni fundi kunyoa jioni na wikiend nakaa kupiga kazi, duka ni la mangi tu la kawaida, je no sahihi au niachane na kufundisha nije kusimamia...
  10. Jinsi ya kutengeza beat simple ya Trap kwenye fl studio

    Habari wakuu. Ningependa kushare nanyi ujuzi wangu mdogo katika kutengeneza beat ya trap. Kwa watakaohitaji FLP yake niunge mkono kwa kusubscribe na niandikie tu katika email hii nami nitakupatia bila wasiwasi. sgbsupertech@gmail.com https://youtu.be/FAs5ySOAN5c
  11. NAUZA VIFAA VYA STUDIO YA KUPIGIA PICHA (PHOTOSHOOT)

    Wadau kama heading inavyojieleza hapo juu nina vifaa vyangu kwa ajili ya kupiga picha indoor na viuza kwa bei kitonga Sana Kuna studio background yenye vitambaa vinne ambavyo ni nyeusi, nyeupe, kijani na kijivu. Soft box mbili, miavuli minne na reflector Taa NNE na fleme zake, pia vitambaa...
  12. "Vision X Tint Studio" walikua ndio Authorized Dealer wa 3M Tint kwa Tanzania. Jamaa walikua wanaweka tint kali na quality sana.

    Gari kua na tinted ni jambo la msingi sana. Inaongeza privacy na usalama, inapunguza joto (heat na UV rays) na kuongeza "muonekano" mzuri. Sasa hawa wawekaji wa Instagram wanatuwekea sawa tint ila quality mbovu sana na ndio maana nyingi baada ya miaka 2 zinabadirika rangi kama sio kubanduka...
  13. W

    Nikiwa kama mzazi namuunga mkono Inspector Haroun (Babu) kumtembezea kipigo mtoto wake baada ya kumkuta studio

    Inspector Haroun (Babu) amemtembezea kipigo mtoto wake akidai kwamba mtoto amempeleka chuo ila anashangaa kumkuta studio Yupo sahihi kwasababu uchungu wapesa anayolipa chuo tunaujua tunaolipia ada. Mzazi au mlezi unaweza kutimiza wajibu mtoto aende kusoma shule za serikali bure lakini utaanza...
  14. Ni wapi kuna Yoga Studio?

    Hello Wadau wa Jamii Forum, Natumai mko poa, ningependa kufahamu kwa yeyote anayefahamu ni sehemu ambayo naweza shiriki YOGA. So far nimepata moja amabayo iko Haile Selassie. Nahitaji machaguo kadhaa kabla sijafanya maamuzi kwa yeyote mwenye kufahamu ama mwenye uzoefu na YOGA tafadhali...
  15. Biashara ya studio

    Mimi ni mkazi wa Dodoma mjini,nina camera cannon mark 3 nina kamtaji kadogo ninataka kufungua kabiashara kadogo ka studio. Ni vifaa vipi vichache vya muhimu naweza kuanza navyo au kama kuna mtu anauza used naweza kuelekezwa kwa ajili ya kubana bajeti. Cont. Call/whatsapp +255 743 796 975
  16. Ukweli usemwe: Israel Mbonyi ni msanii wa studio

    Najua huyu mnyarwanda Israel Mbonyi anapendwa sana na mashabiki wake na kama mnavyojua mapenzi upofu. Ila sio mzuri kwenye kuimba live ameshindwa kabisa kuonesha uwezo kwenye show yake mlimani city. Huwezi mfananisha wa waimba gospel kama Paul Clement . Mbonyi ni aina ya wasanii wanaotoa...
  17. Wanachuo kibao walala nje ya studio za S2kizzy ili warekodi wimbo

    Hakuna ubishi kuwa S2kizzy aka Zombie ndiye producer mkali sana hivi sasa na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuachia hit songs tu na kujijengea heshima ndani na nje ya Bongo. Hivi karibuni S2Kizzy alitangaza ku-record wimbo bure kwa wanafunzi wa chuo, na habari hii ilivutia umati mkubwa. Jana...
  18. INAUZWA Harman Kardon Onyx Studio 6 Wireless Bluetooth Speaker 190,000

    Harman Kardon Onyx Studio 6 Wireless Bluetooth Speaker - IPX7 Waterproof Extra Bass Sound System sauti na mdundo mtamu Call 0628 880 380 190,000tsh tu.
  19. 0

    Kinanda Cha studio kinauzwa

    Habari wadada na wakaka. Nauza kinanda Cha studio ni kama kipya kinatumika kutengenezea muziki yaani MIDI Controller. Kinatumia sauti za program ya computer mfano cubase nk kupata sautii za aina mbalombali Bei ya punguzi sh 480,000. Kikiwa dukani vinauzwa sh 800,000 kwa hiyo nimefanya bei nzuri...
  20. Uhusiano wa producers na studio wanazofanya kazi

    PRODUCERS NA STUDIO.. 1. Kumthamini Producer Master J na Hermy B waliamua kujiweka kando kiasi na kuleta maproducer wengine kusimamia studio hizo. Master Jay alimchukua Marco Chali kutoka Kama Kawa Records takriban miaka 7 iliyopita, huku Hermy B akimtoa Pancho Latino kutoka Dhahabu Records na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…