stories of change

Stories of Change is a 2008 documentary film by BRAC Pathways of Women Empowerment.
The documentary focuses on the lives of five women aging from 16 to 60, coming from different walks of life, from different professions, religions and regions of Bangladesh.The film screened at various film festivals:
Jeevika: South Asia Livelihood Documentary Festival, Delhi (August 28–31, 2008)
Asiatica Film Mediale, Rome (November 15–23, 2008)
Goan Peoples' Film Festival: Celebrating Life and Livelihoods (November 21–29, 2008)
Kolkata International Documentary Film Festival (January 26–30, 2009)

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Stories of Change 2024

    Tanzania pamekuwa na ubadhilifu wa mali za Umma Kila siku lakini hakuna uwajibishwaji wa wale wanaohusika hadi inapelekea kuwa KAWAIDA na wengine hutamani kuiba! Hii ni Kwa sababu 1. Hakuna usimamizi nzuri wa sheria 2. Muhimili kama BUNGE hawatungi Sheria Kali ikiwa mtu atabainika kuiba fedha...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini post yangu ya stories of change ilifutwa

    Kama kuna sababu za kufuta mnijulishe lakini kufuta bila kutoa sababu yeyote naona si vizuri
  3. JamiiForums Tanzania Wazo La Kukuza Uchumi kwa Wakulima an Vijana

    Mabadiliko ni Muhimu sana. Tufanye wenyewe kama mtu na mtu au serikali kwetu au taasisisi cha umuhimu ni mabadiliko. Tunashindana kupata stories bora ambazo zitaleta maendeleo chanya. Natamani kuona mawazo ya Wa Tanzania wenzangu ya kiuchumi na tuangalie namna gani kwa pamoja tunaweza...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wenzangu wa JF mmeshaandika kuhusu Tanzania tuitakayo kwenye Stories of Change?

    Habari Wanawake wote wa JF, Salaam ziwafikie mliko Wanaume pia hakika mnastahili pongezi kwa kuwa waibua mijadala na watoa maoni yanasaidia katika ujenzi wa Taifa letu kwa ujumla. Leo naongoe na wanawake, jeshi kubwa, nina swali kwenu je, mmeshaanza kuandika, mmeshiriki shindano na kupost...
  5. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 How Tanzania can take it's economy to another level in 5- 25 years through investing in technology

    In the next 25 years, Tanzania has the opportunity to leverage technology to propel itself to the next level in various sectors, including education, healthcare, agriculture, governance, and infrastructure development. These are few examples; Education: Technology can revolutionize education in...
  6. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bahari ya maarifa: Safari ya Prince kuelekea Tanzania tuitakayo katika maendeleo ya tasnia ya habari na mawasiliano

    Katika pembe ya kusini mwa Tanzania, katika kijiji kidogo kilichofichwa na milima na misitu, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye Prince. Prince alikuwa na ndoto kubwa ya kuleta mageuzi katika tasnia ya habari na mawasiliano nchini Tanzania. Aliamini kuwa kupitia nguvu ya habari na mawasiliano...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Leo, 1967 na Kesho

    Ninaandika story hii nikiwa ghetto, hivyo hii ni story ya Ghettominds. Hivi karibu kumekuwa na ongezeko la lawama kwa serikali na vijana wa nchi hii. Imekuwa ni kama mpira wa mchezo wa tennis kwani hakuna anaetaka kukaa na kitenesi hivyo basi kuishia kutupiana tuu kitenesi. Kitenesi nacho...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’. Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka MSHINDI. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linaloelezea TANZANIA...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Uzinduzi wa awamu ya Nne wa Shindano la Stories of Change 2024, Zaidi ya Tsh. Milioni 50 Kushindaniwa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Vilevile, inaratibu Mtandao wa JamiiForums.com...
  10. JamiiForums Tanzania Niseme nini kuhusu ushindi wa Stories of Change?

    Kila kitu kilikuwa kama maigizo kabla ya kuona rasmi napokea muamala kama mnavyoona hapo juu. Sina la kusema zaidi ya kuwashukuru JamiiForums kwa kunipatia hela hii ambayo sitahitaji ushauri wa jinsi ya kuitumia. Nimefungua akaunti hii muda mrefu sana, nikawa napata vijisent vya hapa na pale...
  11. JamiiForums Tanzania Athanas Myonga aibuka Mshindi wa kwanza wa Shindano la Stories of Change 2023

    Baada ya miezi mitano (5) tangu Msimu wa Tatu wa Stories of Change 2023 ulipotangazwa, kuanza na baadaye kufuatiwa mchakato wa Majaji kufanya uhakiki wa Vigezo vilivyowekwa, hatimaye usiku wa leo Oktoba 7, 2023, Washiriki waliofanikiwa kujishindia zawadi mbalimbali watafahamika/julikana. Kuhusu...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ulishiriki Stories of Change? Tafadhali angalia PM yako

    Katika mpango mkakati wa JamiiForums (JF) wa miaka 5 (2020-2024), JF ilidhamiria kuendesha shindano lenye kuwawezesha wananchi kushiriki katika kuongeza ubora wa maudhui ya Kiswahili yenye kuchochea mabadiliko. Shindano hili lianza rasmi mwaka 2021 na huendeshwa kila mwaka. Mwaka 2023 kuanzia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Straika wa timu yetu ya mpira wa miguu ni kama Mayele au Baleke

    Mara zote mshindi mtarajiwa wa shindano la 'stories of change' huwa anafahamika. Na mshindi huyo huwa habadiliki hata mara moja, labda kwa mtu asiye na macho ya rohoni. Sifa zake ni rahisi tu, anapaswa kukamilisha kazi ya shindano kama alivyoipokea. Na kufahamika kwa mshindi huyo ndio sababu ya...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Mpango wa kuandaa vijana wenye ubora na uwezo wa kusaidia kuleta maendeleo katika kiwango cha timu ya taifa ya Tanzania katika mpira wa miguu

    1. TATIZO LINALOIKUMBA TIMU YA TAIFA YA MPIRA WA MIGUU TANZANIA. Kiujumla timu ya taifa ya Tanzania imekuwa na muendelezo wa kiwango kibovu ambapo kizazi cha kuanzia miaka ya 1990 hakijawahi kuishuhudia timu hii ya Taifa katika kiwango bora hasa katika mechi za mashindano. Timu hiyo ya Taifa...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania SoC03 Siasa, Uongozi, Utawala na Uwajibikaji: Nini hatima ya Tanzania yetu?

    Siasa, uongozi, na utawala ni mada ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzungumza juu yake kwa sababu zinahusisha masuala magumu ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hata hivyo, mada hizi zina umuhimu mkubwa katika jamii kwa sababu zinaweza kusababisha athari za kudumu kwa raia wote. Katika makala hii...
  16. JamiiForums Tanzania Namna ya kuweka andiko lako ndani ya jukwaa la Stories of Change

    Jinsi ya kushiriki Shindano la STORIES OF CHANGE Kama tayari una Akaunti ndani ya JamiiForums.com, fungua Kivinjari chako (Browser) kisha ingia jukwaa la Stories of Change 2024 Bonyeza 'Start Discussion' halafu chagua 'Stories of Change 2024' itafunguka sehemu ya kuweka Tittle au Kichwa cha...
  17. JamiiForums Tanzania Washirika wenzangu wa Shindano la Stories of Change 2023 mnafuata vigezo vilivyowekwa kweli? Milioni 20 sio mchezo ujue!

    Kama tunavyojua mchongo ushaanza na nimeona kuna milioni 20 za kubeba. Watu tunaotaka kuchota hizi milioni 20 tunafata vigezo kweli au mnafikiri ni kazi rahisi kuzipata? Mtu unaandika tu ovyo ovyo kama uropoka, vigezo hufati halafu unajiwekea asilimia za kushinda! Kuna baadhi ya Vigezo na...
  18. JamiiForums Tanzania Vigezo na masharti ya kushiriki katika Stories of Change 2023

    Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’. Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka mshindi. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko ambalo linachochea mabadiliko kuhusu...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanachama Bora Jamiiforums 2022

    MWANACHAMA BORA JAMIIFORUMS STORIES OF CHANGE 2022 Picha zilizopo hapo chini zinajieleza zenyewe. Nawashukuru sana JF kwa heshima hii waliyonipa. Huu ni mwaka wa pili mfululizo napewa heshima hii. Leo nimefika JF na nimekabidhiwa zawadi zangu. Huo mfuko ndimo zilimo hizo zawadi zangu. Zawadi...
  20. JamiiForums Tanzania Kulwa Masanja Isenge anyakua milioni 5 katika Shindano la 'Stories of change' 2022

    Baada ya takriban miezi 4 ya kusubiri kumjua atayejishindia zawadi ya andiko bora kwenye kinyang'anyiro cha storie of change 2022 siku imefika, leo ndio leo, washindi watatangazwa na kupewa zawadi zao. Mshindi wa Shindano la “JF Stories Of Change” atakayejinyakulia kitita cha Tsh. Milioni 5...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…