steven wasira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Steven Wasira acha kiburi, dharau, kejeli ya madaraka. Kuna siku utazitaja dhambi zako you committed against humanity!

    Msikilize hapa dharau, kejeli, masimango ya kiburi cha madaraka HARAMU
  2. DuaZaMama

    GE2025 Steven Wasira: Hatuwezi kuahirisha uchaguzi

    "Kwangu mimi 'No reforms no election' haina mashiko...wanasema tuahirishe uchaguzi, hatuwezi kuahirisha ni jambo kubwa, ni jambo la kikatiba, - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Stephen Wasira.
  3. DuaZaMama

    GE2025 Steven Wasira akichambua No reforms No election na October Tunatiki

    "....(No Reforms no election) na yenyewe ni kauli mbiu, nchi lazima iongee...hakuna wakati ambapo kumekuwepo na nchi bila maneno..."-Makamu Mwenyekiti CCM -Stephen Wasira.
  4. chiembe

    Kassim Majaliwa njia moja kwenda kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya Steven Wasira

    Namuona Khassim Majaliwa akirudishwa kwenye chama halafu 2030 akagombee nafasi nyeti kabisa ya kitaifa
  5. DuaZaMama

    PreGE2025 Wasira: Tutapendekeza wagombea wanaokubalika na wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema wagombea wakiwamo wabunge wanaomaliza muda wao watakaochukua fomu Julai 2, 2025 na kuzirudisha, baada ya vikao vya chama hicho, watatazamwa na kupendekezwa wagombea wanaokubalika na wananchi Amesema baada ya Rais Samia...
  6. DuaZaMama

    Wasira Azuru Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Magufuli

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccmtanzania) Tanzania Bara, Stephen Wasira amezuru kuburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli, Chato mkoani Geita. Wasira amezuru kaburi hilo leo Juni 18, 2025 akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama katika mkoa huo pamoja na...
  7. S

    Kigezo cha kustaafu kiwe ni ugonjwa ama kifo, na siyo umri kama ilivyo sasa. Case study ni Steven Wasira.

    Kuna sababu gani ya msingi kumuondoa ofisini mtu mwenye taaluma na ujuzi wake ktk umri wa miaka 60, rais wa nchi (kazi ngumu zaidi) ana zaidi ya miaka 60? Samia ana miaka 63. Wasira ana miaka 81. Wana nyadhifa kubwa zinzoamua mustakabali wa watanzania. Kwann watumishi wa chini huku...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Wasira: Hali ya kisiasa Tanzania ni Tulivu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya. Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
  9. mdukuzi

    Tulisema Steven Wasira amezeeka amechoka apumzike alee wajukuu,kiko wapi sasa

    Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini Ratiba zimevurugika Mara mgongo,mara miguu,mara kifua Uzeeuna...
  10. R

    PreGE2025 POTOSHI Makamu Mwenyekiti wa CCM Steven Wasira kugombea Ubunge Bunda 2025

    Siyo umbea sikiliza mwenywe NCHI HII TUMELOGWA. NA HII NI KWA VILE ANAJUA ATAIBA KURA ATASHINDA! TUME IKO UPANDE WAKE ATAIBA KURA ATASHINDA
  11. Cute Wife

    PreGE2025 Amani Golugwa: Wasira wewe siyo msemaji wetu, acha kutusemea kitu ambacho hukielewi

    Wakuu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa amesema watu wa CCM wamegeuka kuwa wasemaji wao, lakini wao msemaji wao ni mmoja tu, Brenda. Anasema ukiwasikiliza wasemaji wa CCM kama wasira, makalla wamekuwa kama wasemaji wao, wanawasaidia kufikisha ujumbe lakini, wakome maana...
  12. Sir John Deere

    PreGE2025 Hii tabia ya kudharau Wananchi haifai. Nimwambie Wasira kuwa watanzania wakitaka kuzuia uchaguzi mkuu Inawezekana

    Nimemsikia anasema hakuna wa kuzuia uchaguzi mkuu katika nchi hii. Naona kama anakosea na anapitiliza sasa. Hii nchi siyo mali ya mtu au chama cha siasa. Pia soma: Pre GE2025 - Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae Watanzania wakiamua kuzuia uchaguzi...
  13. mwanamwana

    PreGE2025 Mzee Wasira: Hakuna anayeweza kuahirisha uchaguzi mkuu, watanzania wajiandae

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema hakuna chombo chochote cha serikali wala chama cha siasa kinachoweza kuahirisha uchaguzi mkuu wa mwaka huu, hivyo Watanzania wajiandae kwa uchaguzi huo. Wasira amesema watu wanaotoa hoja kwamba uchaguzi mkuu...
  14. Cute Wife

    PreGE2025 Pambalu: Tuachane na Wasira tupambane na Samia

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka! === Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) taifa, John Pambalu amewashauri wanachama wa chama hicho kuacha kupambana kisiasa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kwa kudai...
  15. R

    PreGE2025 Wasira azijibu hoja za Mzee mwenzie Jaji Warioba kabla ya kujibiwa na Tundu Lissu

    Hellow! Si vyema kupoteza muda kuomba mtanange na mjukuu wako TUNDU Lissu aliye upinzani ilhali ndani ya chama chake anaye Mzee mwenzie, hasimu wake tangu unajanani waliyewahi kugombea Jimbo la Bunda mjini Mzee Warioba. Kikao Cha TUNDU Lissu na Mzee Warioba ni BUSARA za Mwenyekiti wa CHADEMA...
  16. Cute Wife

    PreGE2025 Wasira: Mabadiliko yalishafanywa na sheria za uchaguzi zilipatikana, kulazimisha viwepo wanavyotaka wao ni Udikteta wa Kidemokrasia

    Wakuu, Mambo yanazidi kuchanganya, ni vuta n' kuvute. Wasira anasema sheria za uchaguzi ni matokeo ya maridhiano, ambapo wananchi wote wakiwemo CHADEMA walishirikishwa kutoa maoni kabla ya miswada kupelekwa bungeni na baadaye kupitishwa baada ya kupitiwa kuwa sheria. Wasira anaongeza...
  17. Ojuolegbha

    PreGE2025 Mzee Wasira apokelewa rasmi Mwanza, ateta na kamati ya siasa ya mkoa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Stephen Wasira amepokewa rasmi mkoani Mwanza na kuzungumza na Kamati ya Siasa ya mkoa huo, katika Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Mwanza. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  18. J

    PreGE2025 Wassira: CCM tutaendelea kushika dola kwa kupigiwa kura sio kwa mtutu wa bunduki

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki. Pia, amesema CCM imebeba maono na fikra za ukombozi na kwamba itaendelea kuwa wakili wa kuwatetea...
  19. A

    Lissu: Mabadiliko hayatatokana na Steven Wasira, Wasira ni debe tupu.

    Mwenyeketi wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wao kama chama kikuu cha upinzani hawamutegemea Steven Wasira kwa ajili ya mabadiliko bali watapambana na Rais na serikali. Hakika CHADEMA ilichelewa sana kupata Mwenyeketi mwenye msimamo thabiti...
  20. Mindyou

    PreGE2025 CCM kumchagua Wasira kama Makamu Mwenyekiti ni tusi kubwa kwa vijana na wanawake wa chama hicho. UWT na UVCCM mbona mko kimya?

    Wakuu, CCM soon inaelekea kutimiza miaka 50. Lakini kuna mambo ndani ya chama hicho bado haya-make sense kabisa. Kwa hivi karibuni, huko Dodoma kulikuwa na tukio la kumsimika Steven Wasira kama Makamu Mwenyekiti wa chama hicho. Maana yake ni kwamba, Wasira anakuwa Mwanaume 8 kushika nafasi...
Back
Top Bottom