mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,336
- 4,824
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema hakuna chombo chochote cha serikali wala chama cha siasa kinachoweza kuahirisha uchaguzi mkuu wa mwaka huu, hivyo Watanzania wajiandae kwa uchaguzi huo.
Wasira amesema watu wanaotoa hoja kwamba uchaguzi mkuu hautafanyika hadi yafanyike mabadiliko ya Katiba wanajisumbua kwa kuwa makubaliano yalishafanyika madiliko ya Katiba yatafanyika baada ya uchaguzi, hivyo hakuna anayeweza kuahisha kufanyika kwa uchaguzi mkuu kwa namna yoyote.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, jana, Wasira alisema kuwa kuhusu suala la Katiba mpya makubaliano yalifanyika na kukubalika kuwa hilo litafanyika baada ya uchaguzi mkuu.
Pia soma > Pre GE2025 - Stephen Wassira: Wanaosema Uchaguzi haufanyiki hadi reform, hiyo ni ndoto ya mchana. Uchaguzi utafanyika na CCM ijiandae kushinda!