steven wasira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kumchagua Wasira kama Makamu Mwenyekiti ni tusi kubwa kwa vijana na wanawake wa chama hicho. UWT na UVCCM mbona mko kimya?

    Wakuu, CCM soon inaelekea kutimiza miaka 50. Lakini kuna mambo ndani ya chama hicho bado haya-make sense kabisa. Kwa hivi karibuni, huko Dodoma kulikuwa na tukio la kumsimika Steven Wasira kama Makamu Mwenyekiti wa chama hicho. Maana yake ni kwamba, Wasira anakuwa Mwanaume 8 kushika nafasi...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa

    Unaweza ukawa ni mvutano mpya kuhusu Katiba kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira, kusema kuwa hoja ya kutaka mabadiliko ya Katiba kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 imechelewa. Wasira ametoa...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania UDSM inaanza kupoteza ushawishi,viongozi wakubwa wa kitaifa serikalini na kwenye chama wamesoma vyuo vingine

    Kama ulidhani kusoma UDSM ingekuwa kete ya wewe kuonekana unafaa zaidi fikiria mara mbili: Samia Suluhu Hassan Emmanuel Nchimbi Amos Makala Steven Wasira Hawajahi kukanyaga UDSM Mzumbe university inaenda kuireplace UDSM ba miaka 20 ijayo UDOM inashika hatamu
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchambuzi: CCM kumteua Steven Wassira ni onyo kwamba watashinda uchaguzi wa 2025 kwa gharama yoyote, CHADEMA ijipange kwa uchaguzi wa 2030 na si 2025

    Habari za mwisho wa wiki wadau na kheri ya mwaka mpya. Lakini kwanza nitie angalizo kwamba mie si mwanachama wa chama chochote bali ni mtaalam tu niliejifunza kufanya chambuzi na mambo mengine khasa ya kimataifa zaidi. Hivyo kuna wakati najikuta naangalia kinoendelea hapahapa nchini mwetu na...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira ameupata Ubunge akiwa na miaka 23 leo ana miaka 80. Nini hajafanya Tanzania mpaka apewe umakamu?

    Nawauliza CCM Stephen Wassira Nini hajafanya Tanzania kuanzia akiwa mbunge kwa umri wa miaka 23 mpaka Leo ana miaka 80 Bado anakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM? Hizi ni zalau Vijana mlio kusanyika Dodoma kweli mkienda kumchagua Wasira for your future or kwa ajili ya wazee wenzie? Soma Pia...
Back
Top Bottom