stephen wasira

Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Stephen Wasira: Ni utamaduni wa CCM kumwongezea muda Rais anayefanya vizuri

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Stephen Wasira amesema, vyama vingi vya siasa ulimwenguni vina utamaduni wa kuwaongezea muda viongozi ambao wanafanya vizuri kwenye uongozi wao kwa maana ya kutowapinga ndani ya chama wanapogombea kipindi kingine cha uongozi. Amesema...
  2. GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia anakubalika kwa 70% kuliko hata Trump!

    Wanabodi Watch TBC live Akizungumza katika kipindi cha MIZANI, Stephen Wasira amesema alitembea kanda zote za Tanzania kupima joto la siasa. Aidha amesema kwa utafiti wa AfroBarometer uliofanyika mwaka 2024 umeonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 70% wakati Rais wa Marekani, Donald Trump...
  3. GE2025 Rais Samia achangia Tsh. Milioni 50 ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu Maswa

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu. Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia, wilayani Maswa, jana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alisema Dkt. Samia anatambua...
  4. Stephen Wasira: CCM hatukati Mgombea ila tunateua wachache kati ya wengi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema kazi iliyobaki baada ya kuvunja Bunge ni kuendesha taratibu za namna ya kupata wagombea ubunge na kwamba Chama hicho hakitaka mgombea ila kitateua mmoja kati ya wengi. Wasira ameyasema hayo Juni 24,2025 alipokuwa akizungumza...
  5. PreGE2025 Stephen Wasira: Asiyetii Sheria na Katiba huyo ni Gaidi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema utawala bora ni kutii Katiba na Sheria za nchi, hivyo mtu yeyote asiyetii na anataka kufanikisha mambo yake binafsi kwa kuua watu huo ni gaidi. Wasira ameyasema hayo leo Juni 22,2025 alipokuwa akizungumza katika kikao...
  6. PreGE2025 Wasira: Sisi ni CCM hatuwezi kuwa Chama cha Polisi

    Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM bara Steven Wasira amesema CCM sio chama cha Polisi bali wao ni cha CCM. “Tunataka watu wengi wapige kura kwa kuwasikiliza wananchi wanasema nini,sio umepewa hela ngapi na hela mnayopewa mkikakata mtakuwa msema uongo,siwazuii kutumia hela hiyo”...
  7. PreGE2025 Stephen Wasira: Unayesema hakuna maendeleo, wewe ni Kasuku, hujui tumeitoa wapi Nchi hii

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema tangu kupata uhuru Tanzania imepata maendeleo makubwa na kwamba wanaosema hakuna kilichofanyika ni vema wakakaa kimya, wasiwe na tabia ya kasuku kukariri wasiyoyajua. Wasira ameyasema hayo Juni 17, 2025 alipokuwa...
  8. L

    PreGE2025 Stephen Wasira: Kaeni Kimyaaaa Kama Hamjui Nchi Ilikotoka

    Ndugu zangu Watanzania, Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa sana Stephen Wasira Ameunguruma na kuitetemesha Geita. Ametoa ujumbe Mzito Sana ulio wabubujisha watu machozi ya furaha. Embu Soma hapa chini 👎KAENI KIMYA KAMA HAMJUI NCHI ILIKOTOKA - WASIRA MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha...
  9. PreGE2025 Wasira: CCM inasimamia amani, iko tayari kukosolewa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amesema chama hicho kinasimamia amani na kiko tayari kukosolewa ikiwa upizani watasema wanavunja kanuni ya utawala bora. Licha ya kauli hiyo pia amehadharisha kwamba yoyote atakayewakosoa ajipange kwakuwa watamhoji kwamba wamevunja...
  10. Stephen Wasira: Demokrasia sio ruhusa ya kutukana wengine, kama Uhuru ni kutukanana tungeutafuta wa nini?

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya hivyo anastahili kuchukuliwa hatua ikiwemo kukamatwa na kuhojiwa polisi. Amesema lengo la uhuru ni...
  11. PreGE2025 Wasira: Wananchi jiandaeni Kutiki, No reforms Inaelekea Mwisho

    My Take Nyundo ya Mahakama Je inaweza kuwa ndio mwisho wa huo ujanja ujanja wa kutembeza bakuli la tonetone? 🤣🤣 Pia soma Breaking News: - Pre GE2025 - Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA Ni Kutiki tuu hiyo Oktoba === Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen...
  12. PreGE2025 Wasira: CCM iliundwa kuwa Chama cha kudumu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema chama hicho hakikuundwa ili kuwa chama cha muda bali kiliundwa ili kuwa chama cha kudumu Akizungumza leo Mei, 28 2025 wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa jengo jipya la Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma...
  13. Stephen Wasira alaani tukio la kushambuliwa kwa Padre Kitima, atoa wito kwa polisi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua za kisheria

    "Kama M/Mwenyekiti CCM (Bara), nimepokea kwa masikitiko taarifa ya tukio la kihalifu dhidi ya Pr. Dkt. Kitima katika ofisi za Baraza la Maaskofu. Natoa pole zangu na kulaani kitendo hiki. Polisi wafanye uchunguzi wa kina, kuwabaini wahusika na kuwachukulia hatua kali za kisheria." - Makamu...
  14. PreGE2025 Wasira: Martha Karua kama anadhani anaweza kushughulika na migogoro, aende DRC au ashughulikie matatizo ya Kenya

    Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira amemkosoa vikali mwanasheria na mwanasiasa wa Kenya, Martha Karua, kwa kile alichokitaja kuwa ni kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, hususan kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu...
  15. PreGE2025 Wasira: Wanawake mchague Rais Samia, amewapigania kimatendo

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewaomba wanawake kote nchini kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha ushindi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Ilazo jijini Dodoma...
  16. PreGE2025 Wasira: Demokrasia sio vurugu, ni kushindana kwa hoja na maelewano

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema maana ya demokrasia ni majadiliano, hoja na maelewano kwa lengo la kuimarisha umoja na ushirikiano katika kujenga taifa. Amesema demokrasia sio vurugu kama ambavyo baadhi ya wanasiasa hususan wa vyama vya upinzani...
  17. PreGE2025 Wasira: Amani ni lazima sasa kuna wanaosema haki, na sisi tunasema ndani ya amani kuna haki

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru na kuwapongeza viongozi wa Dini kwa ushauri kuhakikisha Nchi inaendelea kuwa na amani hususan kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu na kubariki uchaguzi huo uendelee huku, kikisisitiza kuwa haidharau maoni yanayotolewa. CCM imesisitiza kuwa haipuuzi...
  18. Stephen Wasira: CCM tunahubiri amani kwa sababu ndani yake kuna haki

    MAKAMU Menyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema ni vema wananchi wakafahamu kwamba katika amani ndani yake kuna haki, hivyo Chama kitaendelea kuihubiri kuhakikisha inapatikana haki. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mjini Dodoma alipokuwa...
  19. J

    PreGE2025 Wasira: CCM tunahubiri amani kwa sababu ndani yake kuna haki

    WASIRA:CCM TUNAHUBIRI AMANI KWA SABABU NDANI YAKE KUNA HAKI. Asisitiza Chama hakiwezi kukubali mtu au kikundi cha watu kuvuruga amani iliyopo Na Mwandishi Wetu, Tabora MAKAMU Menyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema ni vema wananchi wakafahamu kwamba katika...
  20. J

    PreGE2025 Wasira apokelewa Sikonge, awasilisha ujumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM

    WASIRA APOKELEWA SIKONGE, AWASILISHA UJUMBE WA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili wilayani Sikonge Mkoa wa Tabora na kushiriki mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ya wilaya hiyo. Wasira amewasili wilayani humo leo Aprili 17, 2025 akiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…