startimes

  1. L

    Kampuni ya StarTimes yaleta matumaini kwa waandaaji wa filamu Kenya

    Kampuni ya Arise (AR) inayotayarisha filamu na yenye makao yake mjini Mombasa Kenya, imepata fursa ya kipekee ya kusaini mkataba wa kuandaa filamu inayoitwa NIA, ambayo inarushwa kupitia kituo cha runinga cha Rembo, kinachomilikiwa na kampuni ya StarTimes. Akizungumza na CRI Kiswahili, Derrick...
  2. U

    Tuache utani Startimes ndio king'amuzi bora sana

    Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia Ligi kubwa za ulaya Lalita spain Bundaslige ujerumani Ligi uholanzi Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa...
  3. Startimes nyenzo muhimu katika kuendeleza na kuimarisha ushawishi wa taifa la China barani Afrika

    Tunaotumia kingamuzi cha startimes sasa tunajifunza lugha ya Kichina kupitia channel ya starswahili hongera kwa Wachina kutumia kampuni yao ya startimes kama jukwaa la kutangaza tamaduni zao pamoja na mafanikio yao. Mataifa shindani kama USA yameendelea kushangazwa na kuongeza kwa ushawishi wa...
  4. D

    Kisimbuzi Cha startimes kinaniambia niingize dekod pin kwenye channel ya ITV. He dkoda pin number ipi

    Leo dekoda imenambia hivyo.. cjui tatizo Nini hebu nitatulieni
  5. Natafuta king'amuzi cha Startimes cha zamani

    Natafuta king'amuzi cha Startimes cha zamani, kisichotumika ili nipate spare! Hapa Dar, Angalia picha
  6. HR Manager at Startimes

    Job Description The Human Resource will perform different HR tasks and duties to support effective and efficient operations of the Human Resource Department and the organizations. Responsibilities Assist with day to day operations of the HR functions and duties. Provide clerical and...
  7. Tumaini TV imeondolewa king'amuzi cha Startimes, kunani?

    Wakuu, sasa hivi Tumaini TV haipo kwenye king'amuzi cha Startimes ilihali waliiweka sasa najiuliza ni kitu gani kilichopelekea kuondolewa? Sasa hivi Tumaini TV ipo kwenye king'amuzi cha Azam.
  8. Sales Administrative Assistant at Startimes, Southern highlands

    Sales Administrative Assistant – STARTIMES SOUTHERN ZONE Office (Mbeya) Job Overview; StarTimes is the Pay tv leading company in Tanzania. We’re proud of being among the best and Top employer in Tanzania. We are hiring a talented Sales Assistant professional to join our team. If you’re excited...
  9. Purchasing and Sales Manager at Startimes

    1. Position Title: Purchasing and Sales Manager Job Responsibilities: Under the guidance of Headquarter, be responsible forgiving feedback of the marketability of products purchased in China through survey; According to the planning of Headquarter, be responsible for finding out the purchase...
  10. Wazoefu wa startimes, msaada

    Nimeweka Leo king'amuzi cha startimes lakini kitu, kinacho nishangaza ni hiyo black color kwenye kuonesha picha, vipi hapo nawezaje kulimaliza hilo tatizo, sipati raha kabisa, au shida itakua Ni TV au king'amuzi chenyewe, TV yenyewe Ni ya chogo kubwa,
  11. F

    Startimes kifurushi kikiisha msiniwekee bango lenu

    Nina utaratibu was kulipa kifurushi kila ninapotaka kutazama tukio fulani kupitia dekoda ya startimes, Leo kifurushi kimeisha tangu asubuhi Hadi chaneli ambazo so za kulipia nawekewa hili dudu Hadi picha ya tv siioni vzr, kwani lazima kulipia. Niko huru, sitaki hili tangazo lenu katika screen...
  12. Shop Managers at StarTimes

    Job Title: Shop Managers – 4 Positions Department: Operations Locations: Dar and Other Regions Reports To: Operations Manager/ Operations Director StarTimes Group was founded in 1988. It is the most influential system integrator, technology provider, network operator, and content provider in...
  13. 4 New Jobs At StarTimes Tanzania, January 2021- Shop Manager

    Job Title: Shop Manager - (4 Posts) Department: Operations Locations: Dar and Other Regions Reports To: Operations Manager/ Operations Director Job Purpose We are hiring Shop Managers to manage our Startimes Shops daily in office Operations, Sales Volume, Customer queries and Complaints. The...
  14. T

    Startimes, hebu kuweni serious kidogo!

    Mmekuwa na tabia ya kukata matangazo kila ifikapo saa saba usiku. Sifahamu matangazo hurejea alfajiri/asubuhi ya saa ngapi. Sina hakika tatizo lilianza lini lakini mwezi Juni niliuliza nikajibiwa “kuna tatizo kwenye minara linafanyiwa kazi”. Miezi mitatu baadae, bado maelezo ni yale yale, “kuna...
  15. Nahitaji remote control ya Startimes TV

    Nahitaji Remote Control ya Startimes TV, iwe mpya au iliyotumika. Aliyenayo anicontact
  16. King'amuzi startimes kinauzwa

    Wakuu nauza king'amuzi changu aina star times ,,, Kina channel 7 za bure kama vile CLOUDS TV,EATV, ITV n.k Bei ni 55000/= Dar es salaam 0762693368
  17. M

    Startimes wanadai tulipie Local channels

    Week mbili zilizopita watoa huduma wa Startimes walinipigia na kuniuliza kwanini nimekaa muda mrefu bila kulipia king'amuzi nikawajibu watoto wakuangalia katuni hakuna hivyo sihitaji hizo channel za kulipia. Wakasema wanafanya upgrading ya software hivyo nisipolipia sitaweza kuona, kuanzia...
  18. Hivi hawa Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo?

    Yoyote anayefahamu Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo anifahamishe..
  19. Nafasi za kazi Startimes

    About us: StarTimes,also as a branding name of Star Media(Tanzania) Limited, is a Technology company that was established in 1988 in China. Pioneer and key player in digital television solution in China and Africa, where we have acquired over 7 million subscribers. We are currently operating in...
  20. Startimes king'amuzi kinahitajika

    Nahitaji king'amuzi cha Startimes cha antenna naremote yake vyote viwe vinafanyakazi vzr . Anaeuza anicheki no 0786570530
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…