startimes

  1. kinojet

    JamiiForums Tanzania Startimes king'amuzi kinahitajika

    Nahitaji king'amuzi cha Startimes cha antenna naremote yake vyote viwe vinafanyakazi vzr . Anaeuza anicheki no 0786570530
  2. StarTimes Tanzania

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Habari zenu wanaJamiiForums Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu? Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi. 1. Utaje tatizo lako 2. Taja sehemu unayoishi 3. Pia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wenzangu, hivi Emirates FA Cup mnaiona kupitia startimes?

    Natumia kisimbusi cha startimes na hivi karibuni waliahidi kuonyesha mashindano ya emirates kwa kuanzia kifurushi cha 21,000/= Ajabu ni kuwa mi sioni chochote, kila nikitembelea channel zao za michezo, premium, focus, life na arena zote hamna kitu. jana ilikuwa chelsea na hull city saa...
Back
Top Bottom