Tumaini TV imeondolewa king'amuzi cha Startimes, kunani?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Wakuu, sasa hivi Tumaini TV haipo kwenye king'amuzi cha Startimes ilihali waliiweka sasa najiuliza ni kitu gani kilichopelekea kuondolewa?
Sasa hivi Tumaini TV ipo kwenye king'amuzi cha Azam.
 
Ili ionekane kwenye local channel inabidi uingie mkataba na startimes na uwe unalipia kila mwezi au kwa mwaka,hii ni tofauti kama haupo kwenye local channels japo na huko Kuna charge. Wameshindwana kwenye kulipana. Kuendesha channel ya TV ni gharama mno.
 
Kwani kigezo cha kuwa 'local channel' ni kipi?
 
Kwani kigezo cha kuwa 'local channel' ni kipi?
TV zote za nje hutoa ofa bure Kwa local channel moja TU TV ya Taifa TBC. Ndio maana hata ukichomoa kadi ya Startines TBC inaonekana bila shida channel zingine zote lazima waingie mkataba wa malipo na Startines
 
Back
Top Bottom